Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Salaam, shalom! Baada ya Mungu kuruhusu mtu kula nyama, alimkataza Kula Damu ya mnyama. Yaani ukichinja myama au ndege, Damu yake hupasi kuitumia Kwa matumizi ya chakula, ni machukizo maana ndani...
3 Reactions
92 Replies
3K Views
Wana jf kwa anayejua viwango vya mishahara serkalin nisaidieni hz TGS C, TGS B, TGS A.. Nk ndio sawa na sh ngp...? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
18 Replies
12K Views
Baada ya kuusikiliza wimbo wa True Boy (Nay) na kuitazama video yake, nimepata ujumbe kuwa; ๐Ÿ‘‰ Nay anazidi kuushangaa umma wa watanzania kwa namna unavyoshindwa kuchukua maamuzi ya pamoja kwenye...
2 Reactions
4 Replies
493 Views
Hivi hii nchi ina Mkuu wa Polisi kweli? Mkuu wa Majeshi ya ulinzi je, yupo? Mkuu wa Usalama wa Taifa? Au hawajaapishwa kuanza majukumu bado? Inawezekanaje watu wanapotea, kuteswa na kuuwawa na...
2 Reactions
4 Replies
421 Views
Watani zangu wasukuma sio wageni ila ukweli hata sehemu za mafuta jangwani kwa waarabu kuna nyoka waliweza kulinda utajiri. Ni kwamba VITABU vya mungu kwenye biblia yesu aliambiwa ukinitumikia...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Usiku wa leo wanaitaka roho yako! Leo usiku roho yako itachukuliwa! Leo usiku maisha yako yatafikia mwisho, utaondoka duniani... Usishtuke wala usiogope; sio wewe! Maneno hayo aliambiwa mtu...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Ndugu watanzania jambo lolote lililoharamishwa nchi hii huwa limetungiwa sheria kali. Na yeyote atakayelishabikia ama kulitenda jambo hilo huangukia kwenye mikono ya sheria. Si mnaona mimea ya...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Serikali ni vema kuliangalia hili kwa kina na kuchukua hatua za haraka. Mfano kwasasa katika mikusanyiko mingi ya wasanii lazima ukute shoga maarufu yumo na bahati mbaya sana anapewa coverage...
3 Reactions
42 Replies
2K Views
Naomba kufahamu au kujuzwa kwa mwenye ujuzi mkubwa, kwa kawaida malaika Hawa ni viumbe wa Mungu, Gabriel, Mikael, Rafael na Uriel, na asili zao, mfano Gabriel Ana asili ya maji, Uriel Ana asili ya...
3 Reactions
5 Replies
322 Views
Nikiwa Rais wa Tanzania moja ya mradi wa life science ni kurudisha extinction animals waliopotea kama Dinasours woolly mammoth Atlas bear Many others Hizo njia ni kama zifuatazo DNA seguencing...
8 Reactions
76 Replies
2K Views
โ€œUkitumia mitandao vibaya sheria ipo na mamlaka na vyombo vipo vitakupata, sasa wakati mwingine unaona vikampeni havina mbele wala nyuma nikisema mnasema Msigwa ametusemea maneno makali, lakini...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Mradi wa Treni-Ndege ya umoja wa Kisovieti (Soviet Jet Train) ulianza katika miaka ya 1970 kwa wazo rahisi, weka injini za ndege ambazo haziwezi kutumika tena angani, lakini bado zinaweza kutumika...
1 Reactions
4 Replies
458 Views
Nimemkumbuka rafiki yangu wa utotoni Babu Sikare RIP Babu Sikare alizaliwa familia ya kishua,baba yake alikuwa mkurugenzi TANESCO,alijulikana mitaa yote ya Msasani,Oysterbay na Masaki. Vabu Sikare...
6 Reactions
9 Replies
833 Views
Kuna watu wanajua kutunza magari.Huyu anaitwa Gregorios Sachinidis, dereva teksi kutoka Ugiriki, ambaye aliendesha gari lake la Mercedes-Benz W115 240D la mwaka 1976 kwa umbali wa kilomita milioni...
6 Reactions
8 Replies
815 Views
Kuna aina kuu tatu za sumu za nyoka. Kila moja huwa na matibabu yake na hupatikana kwa aina fulani za nyoka. Ndiyo maana mtu akiumwa na nyoka hushauriwa kufahamu nyoka aliyemuuma ili kujua aina ya...
3 Reactions
1 Replies
537 Views
Wasaalam wanajamvi, Nawasalimu kwa jina la Jamhuri..... Licha ya Serikali kupambana kwa juhudi zote kuhakikisha watoto hasa wa kike wanapata elimu kuanzia ngazi zote ili iweze kuwasaidia kwa...
4 Reactions
39 Replies
2K Views
Imeelezwa kuwa tatizo sugu la foleni katika barabara za jiji la Dar es Salaam linaweza kuongeza msongo wa mawazo kwa watumiaji wa vyombo vya usafiri, kuchochea uchovu kwa madereva na abiria na...
1 Reactions
0 Replies
439 Views
Kwa wale waliofatilia MR robot Mtakuwa sio wageni kuhusu mambo ya utawala na ushenzi wa dunia ulivyo kwa watawala. Sasa amekuja na sinema ambayo kumbe serikali kuna ponjoro wengi.
0 Reactions
0 Replies
247 Views
Kama kichwa kinavyosema, naombeni mnijuze maana au tafsiri ya neno hili kwani nimelisikia siku za karibuni na bado sijapata kujua lina maana gani.
1 Reactions
2 Replies
450 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ