Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamikia ucheleweshwaji wa Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Kupoza Umeme cha Imalilo kupitia andiko hili ~ Miaka mitano Serikali inajenga kituo cha kupozea...
Ni wakili mbobezi aliyewahi kuwa mwanasheria mkuu wa serikali.
Pia ni mwanasiasa nguli aliyehusishwa kwenye kashfa nyingi za kifisadi nchini.
Kwa Sasa Andrew Chenge hasikiki kabisa.
Yuko wapi...
Wachungaji 1200 ni wastani wa Wachungaji 40 kwa kila mkoa
Na tumeambiwa hawa ni wawakilishi tu wa kundi kubwa la Wachungaji wa kanisa hilo
Kama ni kweli basi Huduma ya Askofu Daktari Gwajima ni...
Ajira humfanya Mtu awajibike na kushiriki katika nyanja za Kijamii na Kiuchumi
Ajira kwa Vijana Ajira ni nyenzo muhimu kwa maendeleo ya Mtu Binafsi, Jamii na Taifa kwa ujumla. Ajira humfanya mtu...
Hii kitu ilinishinda kabisa..
Nikiwa sina hela sikumbukagi hata kusali
Naamini kusali kunahitaji utulivu wa nafsi , Mambo yako yawe yanakwenda vizuri hata uwepo wa Mungu unauona.
Huna hela...
Habari yenu ndugu na jamaa zangu !
Kwanza ninge elezea kuwa hiki nilicho andika hapa sio hadithi ya kufikirika bali ni mambo halisi yaliyopo mitaani na kwenye yetu.
Kwanza nianze na historia...
Binadamu ni Bidhaa ya mazingira yake .
Wazungu walishamsoma MTU mweusi na kujua udhaifu wake kuwa ni ngono, pombe , na madawa bangi pombe na sigara.
Unapozungumzia Anasa means is endless shit ...
Katika uchunguzi wa hivi karibuni uliofanywa na kampuni ya Top10VPN Threat Prevention Team (TTP), imebainika kuwa zaidi ya dozens ya VPN apps (programu za mitandao binafsi ya faragha)...
Katika mfumo huu, ni kwamba kunakua na sehemu maalum mijini (docking yards) ambapo baiskeli za kukodi zinawekwa, na kama una app ya bikesharing kwenye simu yako basi unai-recharge kwa tigo pesa...
Watu mbalimbali wakiwa kwenye foleni ya matibabu ya macho katika kampeni iliyoendeshwa na taasisi ya Child Eye & Vision Organization (CEVO) katika Hospitali ya wilaya Mabwepande jijini Dar es...
Nchi inatafunwa sana, watu wanakunywa bia zaidi ya M+ wakati kipato chao haki reflect na kile kazi wanayofanya.
Vijana wanazidi jeuri mtaani na wanajipongeza daily.
NRNE.
Tumia busara zako...
Habarini?
Ni matumaini yangu mnaendelea vizuri ikiwa ni pamoja na kufuatilia mpambano baina ya Iran na Israel ambapo tunayo mengi ya kujifunza kutokana na teknolojia za hali ya juu zinazotumika...
GT.
Nguvu ya kanisa katika kutetea haki za wanaoteswa siyo ya kubezwa hata kidogo. Nashangaa Tanzania tunawakashifu wakristo wanapokemea maovu.
Kama hujui ukristu umejengwa juu ya msingi wa...
Waziri wa kilimo anakila haja ya kukazia macho taasisi ya Mfuko wa pembejeo taifa.
Kwa utaratibu wa kuomba mkopo ni lazima uwambatanishe andiko la mradi ambalo linaelezea mpango mkakati wa ombi...
Kuna watu wanauza bidhaa Instagram,lakini kumbe ni matapeli na wezi. Nashauri kuwa makini sana na watu wote wanaofanya biashara online. Mimi binafsi nimetapeliwa na Dada anajiita queen Zipporah IG.
Kuna matukio mengi tangu mwaka 2015 through 2020 hadi sasa ya wateuliwa wa serikali wanaolipwa mishahara ya kodi zetu, wanapotoa maamuzi yanayoathiri hatima ya mtu au kikundi, wanasahau kuwa...
Unapokuwa ktk matatizo tumia akili sana na utulivu wa hali ya juu kutatua matatizo yako, jamii zetu siku hizi zimeharibika.
Wapo watu wanatumia matatizo ya watu wengine kama fursa kwao ya...