Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene amewakabidhi wananchi watatu Hatimiliki za Ardhi wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maadhimisho ya...
1 Reactions
2 Replies
275 Views
Manispaa ya Moshi msiwaumize zaidi wafanyabiashara soko la Mbuyuni Februari 6 mwaka huu,wafanyabiashara katika soko la Mbuyuni Manispaa ya moshi walikumbwa na janga la moto ulioteketeza eneo...
0 Reactions
1 Replies
304 Views
Wafanyabiashara wadogo katika mji mdogo wa Langangabilili, wilayani Itilima, mkoani Simiyu, wameibua kilio kikubwa wakidai kutapeliwa na askari wa taasisi tatu za uhifadhi za serikali waliokuwa...
0 Reactions
2 Replies
302 Views
Salaam. Mimi ni member wa miaka mingi hapa. Sijawahi kuwa na ukorofi na mtu hapa jukwaani wala mtaani. Nimepost jambo langu hili serious imekuwaje mkalipeleka sehemu ya chit-chat and jokes...
3 Reactions
8 Replies
420 Views
Ngozi ya chui hutumika kama ishara yenye nguvu ya uungu na mamlaka katika tamaduni mbalimbali za Kiafrika, inayojumuisha nguvu, uhusiano wa kiroho, na utambulisho wa jamii. Katika Kusini mwa...
0 Reactions
0 Replies
370 Views
Sina uhakika ila nachokijua Sisi tuna ubalozi wa marekani tu nadhani mambo kama visa yanafanyikia Nairobi kwanini wakati Sisi ni koloni la Uingereza.
3 Reactions
73 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya [MUST] mwaka wa kwanza aitwaye Emilian Joseph Duzu [21] kwa tuhuma za mauaji ya Mwanafunzi...
5 Reactions
88 Replies
5K Views
Kwenye haya maisha usipokua Mbishi na ukaishi kibishibishi popote unapoenda ukakaa ukakubari tu watu wakuoneeonee kibwegebwege, mwanangu unakubari tu kila mpuuzi anachukua maamuzi ya kukuoneaonea...
0 Reactions
0 Replies
352 Views
Luka 1:1,3 Luka anaanza kwa kusema: "Watu wengi wamejitahidi kuandika habari za mambo yaliyotukia kati yetu... Nami pia, baada ya kuyachunguza yote kwa uangalifu tangu mwanzo, nimeona vema...
1 Reactions
71 Replies
2K Views
Wakuu katika watu ambao wapo reckless kabisa kwenye swala la driving ni madereva wa Mabus Mabus yameshapoteza ndugu zetu wengi sana na Wengine Kuwapa ulemavu wa kudumu Ajabu ni Kuwa mamlaka...
0 Reactions
9 Replies
564 Views
Ni unyama na ukatili wa kutisha! Asubuhi ya leo Alhamisi, Juni 12, 2025, maeneo ya Bonyokwa wilayani Ilala jijini Dar, wanandoa ambao majina yao hayakupatikana mara moja, wamekutwa wamekufa kwa...
8 Reactions
132 Replies
9K Views
Nishasolve
3 Reactions
45 Replies
1K Views
Hii imetoka kwa mdau mmoja huko jukwaa la afya... Sawa wakuu hakuna kitakachobaki wote tutakufa.. ila zingatia haya kama kijana mwenzangu ambaye ni hustler Ile kauli ya kusema magonjwa fulani...
49 Reactions
143 Replies
5K Views
Wakuu kwa wale wanaolalamika kua michongo yao haifunguki, madeni, mikosi ukata, dawa yao ni hii, watoe sehem ya 10 ya mapato yao hakika hawatajutia maishani kwao daima. Hata kama huendi katika...
0 Reactions
8 Replies
498 Views
Najua mmechoshwa na ' Uhimilivu wa deni la Mama ' sasa twende moja kwa moja kwenye Mada tajwa hapo juu, Zifuatazo ni kazi ambazo kutoboa kwake kupo mbalii sana.. Wafanyakazi wa Sheli za Mafuta...
17 Reactions
50 Replies
3K Views
Kauli maarufu inayohusiana na kwa sasa wanaitwa chawa chawa na ilitamkwa na mwanafalsafa wa Kirumi Tacitus, ambaye aliandika. “Even the worst rulers always find men who will praise them.”...
0 Reactions
1 Replies
341 Views
UKWELI KUHUSU USHIRIKINA: SAYANSI INAYOFICHWA NA MKOLONI HADI LEO By Æfrica Macka Bara ------------------------------------ Leo nadhani hata kipofu ataelewa kile ninachoelezea katika makala...
4 Reactions
8 Replies
982 Views
Shetani na mapepo ni viumbe wasioonekana kwa macho. Hao ndio wanaosababisha vitisho, hofu, nywele kusisimka, unasikia maneno au sauti bila kuona mtu anayeongea, kukandamizwa kifua, kunyolewa...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Mheshimiwa Waziri, Sisi, walimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega, tunakuandikia kwa huzuni na wasiwasi mkubwa kuhusu vitendo vya ukaidi na unyanyasaji tunavyopata kutoka kwa Mkurugenzi wa...
6 Reactions
43 Replies
3K Views
Ebu fikiria mpina hata kama watano tu hivi ndani ya mamlaka, itasaidia sana kuleta competitive culture ndani ya system.
1 Reactions
3 Replies
220 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…