Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wizara ya Fedha kupitia Idara ya Sera za Usimamizi wa Ununuzi wa Umma, imeendesha mafunzo maalum kwa waandishi wa habari wa mitandao ya kijamii kuhusu mnyororo wa ugavi, ikiwa ni juhudi za...
0 Reactions
2 Replies
312 Views
Madhara ya hii vita Kama itasimamishwa basi Iran itafanya kila iwezalo kuunda bomu Kwa haraka haraka kama material yote yapo wanaweza kutumia wiki2 hadi mwezi mmoja. Tatizo ni muda Israel hampi...
1 Reactions
6 Replies
578 Views
Kuna waarabu, wahindi, wazungu, waafrika. Na ukiangalia kitu kinacho watofautisha ni viwili tu; rangi ya ngozi na aina ya nywele, ila kimuundo wote wako sawa. Sasa ni kitu gani kilicho sababisha...
20 Reactions
316 Replies
10K Views
Hello wana JF; Leo nimekuja na hii Mada kwaajili ya kujifariji na kuwafariji wengine, Ipo hivi; Dunia ni kama Darasa, na kila mwanafunzi ana uelewa wake katika kumwelewa Mwalimu. Sote katika...
4 Reactions
8 Replies
593 Views
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umesajili Askari Polisi watarajiwa 4,800 wanaokaribia kumaliza mafunzo yao katika Shule ya Polisi Moshi mkoani Kilimanjaro. Kabla ya zoezi...
1 Reactions
4 Replies
632 Views
Cyanide ni kemikali yenye sumu kali inayoweza kusababisha kifo ndani ya muda mfupi baada ya kuvuta, kula, au kugusa. Mara nyingi cyanide hupatikana katika hali ya kimiminika katika fomu ya...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Hakupanda ndege wala hakuwa abiria kwenye ndege. Kuna video footage ina trend now inaonyesha angle nyingine kwenye eneo la tukio, inamuonesha jamaa akitembea calmly kutoka ulipo upande ndege...
12 Reactions
93 Replies
5K Views
Ndio maana Serikali inayoongozwa na CCM hawasemi chochote kuhusu malalamiko ya wazazi na wanafunzi kuhusu utaratibu huu mbovu wa kuendelea kubakiza watoto shuleni wakati wa likizo, ili wafanikishe...
2 Reactions
2 Replies
442 Views
Umiliki na Usajili wa Mali Wapenzi wageni, mabibi na mabwana, leo tunakusanyika kujadili mada muhimu inayohusiana na umiliki na usajili wa mali. Katika ulimwengu wa kisasa, neno "usajili"...
1 Reactions
4 Replies
355 Views
Habarini, Ni wazi hili la mali za serikali kuu na taasisi zake kutokamatwa kwa utekelezaji wa amri za mahakama linawapa viburi viongozi wa serikali hasa pale wananchi wanaposhinda kesi za madai...
0 Reactions
0 Replies
208 Views
Kuishi Maisha Yenye Amani: Kujilinda na Kuepuka Wivu, Chuki, Ubaya, na Ukatili** Salamu zangu kwenu nyote! Leo, nimefurahi sana kushiriki na nyie mawazo yangu kuhusu somo muhimu sana: jinsi ya...
2 Reactions
3 Replies
824 Views
Wapo washenzi kwenye hii Dunia wanacheza rafu sana. Wewe uki-play-fair wenzako wanaingia na miguu yote miwili, watakuvunja kua makini. ...........................
3 Reactions
13 Replies
692 Views
Hongera sana kwa wizara husika na mwekezaji azam yaani umefanya maisha kigamboni kuwa mepesi sana tulipitia kipindi kigumu sana nahisi sasa ni wakati wa BRT kuangalia hili la uwekazaji wa azam...
1 Reactions
5 Replies
441 Views
Moja ya majengo mazuri na marefu yanayopendezesha jiji la Dar es Salaam. Lilikamilika mwishoni mwa awamu ya JK. Nilipita mara mbili kwenye ofisi moja nilisikitika kuona jumba hilo la gharama...
3 Reactions
49 Replies
2K Views
Kwako,Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan YAH: MALALAMIKO JUU YA MKURUGENZI WA WILAYA YA BUSEGA NDUGU MAIKO RICHARD KACHOMA Mheshimiwa Rais, Kwa heshima...
0 Reactions
10 Replies
827 Views
Mhu 9:10 SUV [10] Lo lote mkono wako utakalolipata kulifanya, ulifanye kwa nguvu zako; kwa kuwa hakuna kazi, wala shauri, wala maarifa, wala hekima, huko kuzimu uendako wewe. Kila mmoja wetu...
1 Reactions
8 Replies
396 Views
Kwako MH Rais Wetu MH Samia S Hassan Awali ya yote pole Sana na majukumu ya Kitaifa ya kila siku Nikuombe Sana MH Rais ukipata muda uwe na Mkutano Mkuu wa Kitaifa na Wananchi wako,Iwe Dar es...
0 Reactions
5 Replies
381 Views
Wakuu Mongela wakati akizungumza kwenye ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan huko Simiyu amesema kuwa vichaa hawakosekani lakini watashughulikiwa na Vijana na Wana CCM. Sijui watashughulikiwa vipi...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Tuseme ukweli,Wabunifu majengo wa Serikali wametuangusha sana ,wamebuni majengo kama mabweni badala ya kuja na majengo yenye mvuto na kuwa si tuu ofisi za Watumishi Bali kivutio Cha Utalii wa Mji...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…