Kuna waarabu, wahindi, wazungu, waafrika.
Na ukiangalia kitu kinacho watofautisha ni viwili tu; rangi ya ngozi na aina ya nywele, ila kimuundo wote wako sawa.
Sasa ni kitu gani kilicho sababisha...
Hello wana JF;
Leo nimekuja na hii Mada kwaajili ya kujifariji na kuwafariji wengine,
Ipo hivi; Dunia ni kama Darasa, na kila mwanafunzi ana uelewa wake katika kumwelewa Mwalimu.
Sote katika...
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umesajili Askari Polisi watarajiwa 4,800 wanaokaribia kumaliza mafunzo yao katika Shule ya Polisi Moshi mkoani Kilimanjaro.
Kabla ya zoezi...
Cyanide ni kemikali yenye sumu kali inayoweza kusababisha kifo ndani ya muda mfupi baada ya kuvuta, kula, au kugusa. Mara nyingi cyanide hupatikana katika hali ya kimiminika katika fomu ya...
Hakupanda ndege wala hakuwa abiria kwenye ndege.
Kuna video footage ina trend now inaonyesha angle nyingine kwenye eneo la tukio, inamuonesha jamaa akitembea calmly kutoka ulipo upande ndege...
Ndio maana Serikali inayoongozwa na CCM hawasemi chochote kuhusu malalamiko ya wazazi na wanafunzi kuhusu utaratibu huu mbovu wa kuendelea kubakiza watoto shuleni wakati wa likizo, ili wafanikishe...
Umiliki na Usajili wa Mali
Wapenzi wageni, mabibi na mabwana, leo tunakusanyika kujadili mada muhimu inayohusiana na umiliki na usajili wa mali. Katika ulimwengu wa kisasa, neno "usajili"...
Habarini,
Ni wazi hili la mali za serikali kuu na taasisi zake kutokamatwa kwa utekelezaji wa amri za mahakama linawapa viburi viongozi wa serikali hasa pale wananchi wanaposhinda kesi za madai...
Kuishi Maisha Yenye Amani: Kujilinda na Kuepuka Wivu, Chuki, Ubaya, na Ukatili**
Salamu zangu kwenu nyote! Leo, nimefurahi sana kushiriki na nyie mawazo yangu kuhusu somo muhimu sana: jinsi ya...
Wapo washenzi kwenye hii Dunia wanacheza rafu sana. Wewe uki-play-fair wenzako wanaingia na miguu yote miwili, watakuvunja kua makini.
...........................
Hongera sana kwa wizara husika na mwekezaji azam yaani umefanya maisha kigamboni kuwa mepesi sana tulipitia kipindi kigumu sana nahisi sasa ni wakati wa BRT kuangalia hili la uwekazaji wa azam...
Moja ya majengo mazuri na marefu yanayopendezesha jiji la Dar es Salaam. Lilikamilika mwishoni mwa awamu ya JK. Nilipita mara mbili kwenye ofisi moja nilisikitika kuona jumba hilo la gharama...
Kwako,Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Samia Suluhu Hassan
YAH: MALALAMIKO JUU YA MKURUGENZI WA WILAYA YA BUSEGA NDUGU MAIKO RICHARD KACHOMA
Mheshimiwa Rais,
Kwa heshima...
Mhu 9:10 SUV
[10] Lo lote mkono wako utakalolipata kulifanya, ulifanye kwa nguvu zako; kwa kuwa hakuna kazi, wala shauri, wala maarifa, wala hekima, huko kuzimu uendako wewe.
Kila mmoja wetu...
Kwako MH Rais Wetu MH Samia S Hassan
Awali ya yote pole Sana na majukumu ya Kitaifa ya kila siku
Nikuombe Sana MH Rais ukipata muda uwe na Mkutano Mkuu wa Kitaifa na Wananchi wako,Iwe Dar es...
Wakuu
Mongela wakati akizungumza kwenye ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan huko Simiyu amesema kuwa vichaa hawakosekani lakini watashughulikiwa na Vijana na Wana CCM.
Sijui watashughulikiwa vipi...
Tuseme ukweli,Wabunifu majengo wa Serikali wametuangusha sana ,wamebuni majengo kama mabweni badala ya kuja na majengo yenye mvuto na kuwa si tuu ofisi za Watumishi Bali kivutio Cha Utalii wa Mji...
Maisha yanaenda kwa kasi mno.
Ni miaka mingi imepita ila nawakumbuka ndugu zangu vijana wa kitanzania....kutoka Mbagala, Temeke, Kinondoni na Kariakoo walioenda ukanda wa maziwa makuu kujitafutia...
Kampuni ya Apple imetoa ushauri kwa baadhi watu wenye tabia ya kuweka simu kwenye mchele kama njia ya kukausha maji yalioingia kwenye simu kuacha kabisa tabia hiyo kwani inaweza kuharibu simu...