Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

  • Closed
Jeshi la Wananchi (JWTZ) limetangaza kuwachukulia hatua viongozi wa ndani na nje ya jeshi hilo na vijana waliohusika katika vitendo vya udanganyifu katika uandikishaji wa majina ya kujiunga na...
6 Reactions
56 Replies
9K Views
Watu wengi wamekuwa wakisikia kuhusu soko la Forex lakini wachache sana wanaelewa kuwa Forex si soko moja tu, bali ni mtandao mkubwa wa masoko yanayoendeshwa katika sehemu mbalimbali duniani. Hebu...
1 Reactions
4 Replies
637 Views
CCM wamekumbuka kuweka kwenye ilani mpango wa miji kuwa na mifumo ya maji taka iliyounganishwa badala ya kila nyumba kuwa na shimo la choo la kuhifadhi kinyesi na maji taka uani wanaloishi nalo...
0 Reactions
0 Replies
197 Views
Natumai wote mko salama. Napenda kushiriki kwa uchungu na tahadhari kuhusu tukio lililonikumba hivi karibuni kupitia jukwaa hili. Niliingia mawasiliano na mmoja wa wanachama humu ambaye...
20 Reactions
289 Replies
9K Views
Wakati kuna kadi za n-card zinazotumika viwanjani na kwenye vivuko, jamaa wa mwendokasi wameleta kadi zao za kutumika kwenye mabasi yao. Wajameni mbona kama maendeleo ya kidigitali hayatusaidii...
1 Reactions
13 Replies
408 Views
Kama ulikua hujui MWANAUME ANAEJITAMBUA anatakiwa kuwa na sifa zipi wacha nikufahamishe;- Wanaume tupo wengi sana hapa duniani, Lakini wanaume wanaojitambua niwachache sana, Sasa...
29 Reactions
79 Replies
6K Views
Anonymous
Wakazi wa Gongo la Mboto - Ulongoni B tunapata shida sana hasa ya kivuko cha watembea kwa miguu kinachovuka SGR kwa kuwekwa mbali mno. Hali hii inafanya wanafunzi na raia wengi kutumia kalavati...
0 Reactions
0 Replies
305 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwakuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za...
0 Reactions
1 Replies
427 Views
Katika tukio la kusikitisha na kuzua maswali mengi kwa jamii, mwanamke mmoja aitwaye Kangw’a Tungu Mahigi (25), mkazi wa Kijiji cha Lugubu, Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, amefariki dunia kwa...
5 Reactions
186 Replies
7K Views
Wanajamvi karibu katika tafakuri jadidi. Mpaka hivi sasa Leo mimi mwenzenu ni mzima wa afya,Labda Hofu kwenu! Nimeona nipepese macho nijaribu kuangalia hili eneo ambalo kwa mtazamo wa Kalooism...
0 Reactions
0 Replies
309 Views
Dereva wa gari linalosafirisha boti maalumu ya uokoaji katika Ziwa Victoria (Ambulance Mwanza), Hamidu Mshamu ameeleza changamoto anazokumbana nazo akiwa katika safari ya siku 14 kutoka Mtwara...
5 Reactions
101 Replies
5K Views
Habari za leo wapendwa, Katika muendelezo wa ziara za mh.Rais katika kanda ya ziwa ,mengi yanatokea,na mengi yataendelea kutokea. Hii inashaabiana moja kwa moja na kauli ya wahenga inayosema...
0 Reactions
21 Replies
1K Views
TV hii inafanya vizuri sana , naomba nimpongeze mmiliki na ningefurahi kumfahamu..
5 Reactions
26 Replies
4K Views
Kipindi kinaendelea sasa ukiwa makini unaona kabisa hawa wazee wanafanya maigizo na ITV kupitia kipindi Chao cha kipima joto
0 Reactions
4 Replies
411 Views
Nchi ya Zambia ni moja ya mtumiaji mkubwa sana wa bandari ya Tz mwaka huu pekee amepitisha zaid ya ton 2M kweny bandar yetu ya Dar na hii ni pamoja na changamoto zote za bandari na umbali kutoka...
0 Reactions
1 Replies
330 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kulia) akimkabidhi zawadi Mkurugenzi mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Profesa Mohammed Janabi kumtakia utumishi...
1 Reactions
2 Replies
390 Views
DMtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umetoa wito kwa Serikali, kupitia Waziri wa Mambo ya Ndani na Jeshi la Polisi, kukaa meza moja na uongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa...
1 Reactions
1 Replies
331 Views
Baada ya Umoja wa Ulaya (EU) kupiga marufuku ndege zilizosajiliwa Tanzania, Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imetangaza hatua ya muda ya kuhakikisha kuwa safari za kimataifa kwa ajili ya...
1 Reactions
6 Replies
658 Views
Ikiwa zimepita siku 8 tu tangu tukio la wanandoa, Antony Ngaboli na mkewe, Anna Amiri, kukutwa wamekufa kwa kuchinjwa kikatili chumbani kwao, Bonyokwa, kijana ambaye jina lake halikuweza...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Kiufupi haka kamji kamejengeka vizuri. Kuna haja ya kupewa jiji sasa! Ingawa Iringa iko concetraced at center lakini kuna uzuri ambao hauko sehemu nyingine. Kwanza pale town center hapana vumbi...
24 Reactions
153 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…