Habari wapendwa,
Nina shida katika ya majina kitambulisho cha (NIDA) na (NSSF) majina sawa ila katika barua yangu ya ukomo wa (ajira) na (certificate) majina tofauti na ya hivyo vitambulisho cha...
Habari wana jamii wenzangu,
Wa DSM poleni kwa mvua zinazoendelea kunyesha, nasikia mlipuko wa magonjwa ya tumbo na vifua (vichomi, nimonia, kukohoa, n.k) vinawaandama, poleni sana. Pia kuweni...
Ninapenda kutoa malalamiko kuhusu huduma duni niliyoshuhudia katika Hospitali ya Aga Khan Iringa.
Nilimpeleka mke wangu siku ya Jumamosi majira ya saa 10:30 jioni. Tulipofika, tulikuta dada wa...
Tuweke hapa orodha ya mashujaa ambao wanafaa kuingia kwenye Jumba la Taifa la kumbukumbu.
1.Julius Nyirenda.
2.Mtwa Mkwawa
3.Kleruu
4.Babu Yangu
My Take.
Strictly no politicians...
Taifa ambalo redioni ahsubuhi wanajadili michezo.Mchana hadi jua linapo zama wanarudi kwenye michezo,usiku wanajadili ngono hadi pakuche.hakuna vipindi vya taaluma ujasiriamali,Kilimo,Midahalo...
Wadau wa JamiiForums,
Habari za wakati huu. Natumaini mnaendelea vyema katika shughuli zenu za kila siku. Leo ningependa tujadili mada yenye umuhimu mkubwa katika maisha yetu: "Ndoto 20...
Wana Jamii,
Tunaongea sana kuhusu "fizikia ni rahisi", au "hesabu za shule zinatosha kuelewa dunia"... lakini leo twendeni mbali zaidi kidogo.
Kuna equation moja ya dunia...
GT
Jamani jamani mambo ya asili yabaki kuwa ya asili miaka nenda rudi bulabo ni Tamasha lilioasisiwa na kanisa pamoja na kabila la wasukuma hapo Mwanza.
Leo nimeshangaa mno kuona hali ilivyokuwa...
Kwenye Video hapo chini Kiongozi mkuu wa Iran supreme leader Ayatollah Khomenei akitumbuizwa na chawa wake mbele ya majenerali ambao wanabubujikwa Na machozi kama Lucas.
Pia ukitizama kwa makini...
Tunaomba msaada wa haraka kutoka kwa viongozi, Afisa Elimu, Mkuu wa Wilaya Ilemela, Mkuu wa Mkoa mje muokoe Watoto wetu.
Sasa Ibungiro Secondary School wameamua kuua Watoto wetu, Watoto migongo...
Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Kimataifa wa Mabaraza ya Habari Afrika utakaofanyika kuanzia tarehe 14 hadi 17 Julai 2025. Mkutano huo utafanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano...
katika uchambuzi wa Bajeti Kuu ya Serikali 2025-2026 uliofanywa na ACT Wazalendo, leo wameonesha namna ambavyo bado serikali haijaweka wazi namna wanaenda kulitibu suala la kikokotoo kwa wastaafu...
Watumishi wengi wanadai taklibani miaka 10, wengine nane wengine Moja. Wengine wameamua kuziacha na wakurugenzi huwa wanawacheleweshea ili tu wazile kwa maslahi yao. Waziri husika achukue hatua...
KAWE KUTOKUWA NA STENDI RASMI YA DALADALA: NANI ALAUMIWE NA NINI KIFANYIKE?
Kawe ni moja ya maeneo yanayokua kwa kasi katika Jiji la Dar es Salaam. Watu wengi wanaishi, kufanyia kazi au kupita...
Jaji Mkuu ameyasema hayo leo mara baada ya kula kiapo.
Amepend2keza kuwepo kwa Mahakama ya Rufaa kwa kuanzia na Mikoa ya DSM, Mbeya na Arusha ili kurahisisha upatikanaji wa haki kwa wakati kuliko...
Wasalaam!,
Nimekaa wiki 1 nzima sijawasiliana na wazazi wangu nikipambana na purukushani na namna ya kulipa hili deni la mama yetu.
Leo napokea simu ya baba yangu, baada ya salamu mzee ananambia...
Nikiwa Rais kutajengwa hospitali kubwa za kisasa zisizopungua nane (8)
Zitakuwa na sifa zifuatazo;-
7t (7 tesla) MRI machine @4 kwa kila hospital kwa kuanzia na baadae zitaongezeka kulingana na...
Watu Huwa wanasema malipo ni hapa hapa Duniani
Kwa Sasa kati ya Gaza na Israel hakuna anayemchaka mweziwe
Na ndio kwanza mashambulizi Yana wiki Moja ikifika mwezi mmoja sijui itakuwaje