Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kanisa Katoliki latoa tangazo la kuzuia wanasiasa kuhutubia makanisani.
38 Reactions
141 Replies
10K Views
Wim 1:5-6 SUV [5] Mimi ni mweusi-mweusi, lakini ninao uzuri, Enyi binti za Yerusalemu, Mfano wa hema za Kedari, Kama mapazia yake Sulemani. [6] Msinichunguze kwa kuwa ni mweusi-mweusi, Kwa sababu...
4 Reactions
2 Replies
313 Views
Kukulia Vijijini kuna Faida zake Nyingi sana. Nilianza shule mjini Arusha Kaloleni shule ya msingi kwa Sasa hivi nasikia ni shule ya sekondari.Nilisoma pale hadi Darasa la Tatu(3),Nikiwa na...
4 Reactions
14 Replies
639 Views
Shetani amewatekaje watu? 1. Ni kwa kupitia vita vinavyoendelea kati ya Israel na Iran. Shetani ameutumia mgogoro uliopo katika nchi hizo kuwashawishi watu wachukiane, na wamemtii. Matokeo yake...
1 Reactions
38 Replies
1K Views
NYOTA YAKO LEO JUMATATU JUNI 23/2025: UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Ujumbe huu uwaendee vijana watafutaji na wawekezaji hasa wale wanaopenda kuwekeza kwenye ARIDHI. Ingia google andika Tausi portal ingia kwenye menu.Angalia sehemu imeandikwa LAND SALES๐Ÿค Ukiingia...
14 Reactions
67 Replies
6K Views
Kwa moyo mzito na huzuni kubwa, inanibidi kutangaza kwamba nimepata kazi na nitakuwa kazini kuanzia kesho ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ.
3 Reactions
4 Replies
297 Views
Au watu wazima wenye akili za kitoto ( The gullible ones). Story za dini hizi za wazungu na waarabu ni utoto utoto tu. Ni ajabu sana kuona mtu mzima bado ana amini kwa dhati kuhusu mambo ya...
20 Reactions
135 Replies
5K Views
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameendelea kuikosoa vikali Wizara ya Kilimo kwa kuruhusu mfumo wa mnunuzi mmoja katika ununuzi wa zao la pamba, akidai kuwa mfumo huo unaua ushindani na kushusha bei...
3 Reactions
6 Replies
548 Views
Hili ni jambo Wachina wanapinga sana . Wanamwambia padre wa Kichina asikusanye sadaka.
0 Reactions
0 Replies
337 Views
Ieleweke hivyo. Kutafuta visingizio eti kwa sababu ya ugumu wa maisha nikajikuta nimekuwa jambazi au Malaya hiyo ni tabia yako tu hata ungekuwa na hela tamaa ya wizi isingekutoka. Mifano ni...
4 Reactions
36 Replies
1K Views
Kwa heshima na taadhima napenda kuungana na watumishi wote wa umma Tanzania bara (Tanganyika ya zamani). Kupitia ujumbe wa mtumishi aiyesema amepanda madaraja mawili mpaka Sasa tangu awamu ya 6...
1 Reactions
3 Replies
629 Views
Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro ni miongoni mwa Halmashauri kongwe nchini, lakini kwa miaka mingi kumekuwepo na changamoto kubwa ya miundombinu ya barabara, hasa zile zilizo chini ya usimamizi...
0 Reactions
2 Replies
488 Views
Jamii ya Kindi Juu, wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro, imeingia kwenye taharuki kubwa baada ya watu wasiojulikana kufukua kaburi la Victoria Mmasi, aliyekuwa mlemavu wa ngozi (albino), na kuondoka...
0 Reactions
13 Replies
851 Views
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri... Niende kwenye mada Kwa dunia ilipofika sasa usimwamini kiumbe anayeitwa mwanamke hata awe dadako wa kuzaliwa tumbo moja (labda kidogo mama mzazi japo naye...
13 Reactions
34 Replies
2K Views
Tumempoteza daktari bingwa wa dawa za usingizi hospitali ya taifa Muhimbili. Dr.Zhang Junqiao amefariki juzi tarehe 15/06/2025 huko Kigamboni baada ya kuzama majini wakati akimuokoa mwananchi...
39 Reactions
146 Replies
9K Views
kwa huu Ukanda wa Afrika Mashariki kwa tathmini iliyopo, Tanzania ndio inaongoza kwa kudhibiti wa Dawa za kulevya na ndio inaongoza kwa kukamata Dawa nyingi kuliko mataifa mengine, na hata Mataifa...
0 Reactions
3 Replies
380 Views
Mara baada ya kufungwa kwa mashindano mbalimbali yaliyoandaliwa katika kuadhimisha Wiki ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya Duniani, Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na...
0 Reactions
1 Replies
348 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ