Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

MAUWAJI HAYA YATISHIA USALAMA IRINGA MJINI.... Askari kanzu wakikata kamba ili kushusha mwili wa kijana Nico Chalela aliyokutwa amejinyonga kiaina huku akiwa amepiga magoti jambo ambalo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mechi hiyo kama itachezwa ,Yanga ataongoza kwa magoli la mapema kabisa,baadaye Yanga watapata penalt ya halali kabisa.mashabiki wa simba wataingia uwanjani na mchezo kuvurugika.
2 Reactions
5 Replies
572 Views
Leo nimeamini wanawake Ni viumbe tofauti sana na sisi. Yaani nimemfungulia kabishara kadogo tu kakuingiza lak1 kwa mwezi ila sasa naona jeuri ishaongezeka. Mfano nikiwa nimemuuzia bidhaa...
44 Reactions
158 Replies
7K Views
Nimesoma sana kuhusu hii dawa SHILAJIT. Hasa ile ya kutoka Himalaya lakini sijui kama inapatikana Hapa Dar. Tafadhali mwenye ufafanuzi anielekeze fika gani inapatikana.
0 Reactions
0 Replies
428 Views
Mkurugenzi wa Mashtaka nchini DPP, amemfutia Kesi na kumfungulia mpya mbili za Uhujumu Uchumia aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dkt. John Marko Pima na wenzake watatu. Kesi hizo...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Zab 143:7 SUV [7] Ee BWANA, unijibu hima, roho yangu imelegea; Usinifiche uso wako, Nisifanane nao washukao shimoni. Tunafahamu kuna wagonjwa wa dharura, wagonjwa ambao huwa hawapangi foleni kama...
8 Reactions
11 Replies
842 Views
Najua kwenye maisha kila mtu ana msukumo wa ndani unaomfanya ajibidiishe kutafuta mafanikio ambao kwa jina lingine huitwa ndoto Sasa je ni kipi ni sahihi kukifanya kwa mtafutaji, awe na ndoto...
2 Reactions
20 Replies
773 Views
DeletedMember281674
Habarini ya Muda huu, Hii Bodi yetu Pendwa ya wahasibu na wakaguzi wa ndani ya TANZANIA (NBAA) Wana changamoto ya Customer Care. Ukiwapigia simu yao ya Landline hawapokei na hata ukiwatumia...
0 Reactions
2 Replies
308 Views
Kuna hali ya kusikitisha inayoendelea kukomaa katika jamii ya Kitanzania, hali ambayo si rahisi kuitambua kwa haraka kwa sababu ina sura ya “uwezo mdogo wa kiuchumi” lakini chanzo chake kiko ndani...
4 Reactions
5 Replies
448 Views
Je, sisi Raia wa Oman tunajua hasa maana ya Balozi (Diplomat) na Mtu kuwa Balozi? au tunapoteua huwa tunakuwa tumeshakunywa Wines zetu za Canada na Ufaransa? Hongereni Watani zangu Washamba Waha...
0 Reactions
2 Replies
278 Views
Utangulizi Stand ya Msamvu, iliyopo katika mji wa Morogoro, ni moja ya vituo vikuu vya mabasi nchini Tanzania. Inahudumia maelfu ya wasafiri kila siku kutoka mikoa mbalimbali. Pamoja na umuhimu...
2 Reactions
9 Replies
882 Views
Tumsifu Yesu Kristu Mkatoliki mwenzangu kanisa linaongozwa na utii Kesho Misa ya Asubuhi...tolea ombi hili tuu...Mungu Aliangazie taifa letu Haki na Amani Azichome roho na mioyo ya wote wanao...
1 Reactions
2 Replies
290 Views
NUMEROLOGY - ELIMU YA SIRI YA NAMBA. NAMBA ZA DENI LA KARMA. DECODING THE MYSTERY OF KARMIC DEBT NUMBERS: KUFUNGUA NA KUSIMBUA SIRI KUHUSIANA NA NAMBA ZA MADENI YA KARMA: JE, KILA MTU ANA...
1 Reactions
3 Replies
693 Views
Anonymous
Kutokea kijiji cha lungongole ifakara mkoan morogoro kuna hii barabara inatokea kilosa road kwenda mpaka kwenye kijiji cha kilama inaitwa mwiche road barabara hii inatumika pia na wakulima...
0 Reactions
5 Replies
566 Views
“Ndoto zako hazistahili gari mbovu.” Hii ndiyo kauli kuu kutoka kwa mwanafikra kutoka mwaka mwaka wa mbele, anayerudi kuandikia kizazi cha sasa — kizazi kilichojaa ndoto kubwa, motisha kali...
2 Reactions
1 Replies
402 Views
Kwa haya machache unaweza kufuatilia nyuzi za nyuma ukaona utabiri wa baadhi yetu hasa kiroho kwamba mwaka huu tutakuwa kimya kama tupo Kandahar huko Afghanistan japo tupo bongo tumeamua kufanya...
1 Reactions
2 Replies
248 Views
Kampuni ya Nothing phone imetoa taarifa rasmi kuwa simu aina Nothing phone 3 itaweza kupokea support ya muda mrefu ya Android support kwa muda wa miaka Saba bila shida yoyote. Mwanzilishi...
0 Reactions
4 Replies
362 Views
Kanisa Katoliki latoa tangazo la kuzuia wanasiasa kuhutubia makanisani.
38 Reactions
141 Replies
10K Views
Wim 1:5-6 SUV [5] Mimi ni mweusi-mweusi, lakini ninao uzuri, Enyi binti za Yerusalemu, Mfano wa hema za Kedari, Kama mapazia yake Sulemani. [6] Msinichunguze kwa kuwa ni mweusi-mweusi, Kwa sababu...
4 Reactions
2 Replies
313 Views
Inawezekana mwaka 2025 ikawekwa kwenye historia ya kuibuka kwa vita ya pili ya Dunia baada ya miaka 84 kupitia ilitokea mwaka 1941. Kalenda ya mwaka 1941 na mwaka 2025 zinaenda kabisa kuendana na...
0 Reactions
5 Replies
280 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…