Wakubwa shkamoni, vijana wenzangu habari zenu.
Sorry guys, namtafuta mama mmoja ambae sijajua nawezaje kumpata wala sina informations zake atakua wapi au mahakama dvtn gani kwa sasa, japo
Sio...
Niliposikia kuhusu tabia za Baltasar Ebang Engonga, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha (ANIF) la Guinea ya Ikweta, alinikumbusha rafiki yangu wa chuo. Rafiki huyu alikuwa...
Habari nilizopata Usiku huu ni kwamba
Mmiliki na Mwanzilishi wa Kampuni ya TOP Maasai Company Limited Ndugu Joram Lukumay Amefariki Dunia. Bwana Lukumai alikuwa mfanyabiashara katika Sekta za...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Aly Senga Gugu, amezindua rasmi kituo kipya na cha kisasa cha polisi cha daraja B Wilaya ya Namtumbo, kilichojengwa kwa gharama ya shilingi milioni...
Habari wana jf.
Nimekua nikisoma makala mbali mbali na material mbali mbali uko mtandaoni nimekua nikitaka kujua na kufatilia je maisha yanakua bora na salama pale unapo amua kuwa mtu mwema sana...
MwenyeziMungu NDIYE aliyeanzisha KWAYA KWA mara ya kwanza wakati wa Mfalme na Nabii Dawood.
Mwenyezi Mungu mwenyewe anapenda sana kuimba na muimbaji...
Sefania 3:17
BWANA, Mungu wako, yuko...
Hivi wakuu Mungu ametuumba sie wanadamu tuje kufanya kazi? Na kuwa matajiri? Na kwanini wengine ni matajiri na wengine ni masikini? Na je kuna watu special wameumba kuwa matajiri na kuna watu...
"Jeshi la polisi lilishatoa maelezo kuhusu gari ipi inayostahili kuwekewa ving'ora na hata wakati mwingine na Mimi nasikia king'ora kimepita na hujui cha kitu gani kwa sababu gari ina namba...
Mkuu wa Wilaya ya Makete mkoani Njombe, Kissa Kasongwa, ameagiza mkandarasi wa mradi wa maji wa Ipelele kufika ofisini kwake haraka ili kutoa maelezo ya kina juu ya kusuasua kwa utekelezaji wa...
Kama ulikua hujui kuwa wanaume KUPIGANIA mwanamke huo ni USHAMBA wacha nikufahamishe;-
Wanaume wengi huishia pabaya kisa wanawake,
Na hasa wale wanaume ambao humpenda demu,
Kiasi...
Dar es Salaam. Tarehe 23 Juni 2025: Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ambaye pia ni Mbunge wa Ilala, Mheshimiwa Mussa Zungu amesema kutokana na vifaa vya kisasa vitakavyofungwa katika...
Kuna mtumiaji mitandao Tanzania ambaye anafahamika kwa jina la "Viola mtetezi" ambaye alijipatia umaarufu kwa kuweka maudhui ya kuwatetea wanaume mitandaoni.
Lakini siku za hivi karibuni Viola...
Wakuu salama,
Nauliza kwa mtu ambaye anataka kuwa Academician na hajafika GPA ya 3.8 kuna procedure zozote anaweza kuzifanya awe academician? kwa Maana ya Tutorial Assistant katika vyuo vikuu...
Waziri wa Afya wa Tanzania, Jenista Mhagama amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Mawaziri wa Afya na Masuala ya Afya ya Jamii Kanda ya Mashariki Afrika (The Regional Streering...
Kama mada inavosema hapo juu, kumekuwa na kasumba mbaya sana kwa shule binafsi na hata za serikali kusambaza namba za simu za wazazi ama walezi wa watoto na majina yao hususani kwa wale...
Kila mara naona kwenye mitandao waandishi wa habari wanamfuata dudubaya kumhoji kuhusu mambo flani flani.
Recently nimeshangaa eti waandishi wamemfuata atolee ufafanuzi kinachoendelea huko middle...