Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwezi Jana nilikuwa phuket kwa kazi fulan sehemu inaitwa Patong! Kilichosaidia nili book mapema Agoda lengo nikifika nibadili hotel maana kwa siku moja mtu unatozwa baht 12,000 Sawa na usd 500$ ...
34 Reactions
75 Replies
5K Views
Familia nyingi za kiafrika watu huwa wabinafsi sana likija suala la kimaslahi. Utu, huruma na undugu huwatoka kabisa na kuendekeza dhulma baina ya wanandugu. Sasa usiombe iwe ni mirathi ndio...
5 Reactions
46 Replies
2K Views
Ujenzi wake unaanza lini? Picha ni kama zinavyojieleza.. ======================================== Update: 27/11/2016 "Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr John Pombe Magufuli amesema...
5 Reactions
181 Replies
59K Views
"Kijana mwenye akili muhimu kwake ni amani na upendo tu kutoka kwa wazazi/walezi. Mengine yote hujipambania mwenyewe. Mzazi anayehangaika kumrithisha mali mtoto ni kiherehere cha uzeeni ambacho...
3 Reactions
16 Replies
698 Views
Tuukubali ukweli Zanzibar ni visiwa vya kipekee sana na Sisi Watanganyika tulipata bahati kubwa kuungana nao Yale maghorofa ya Magufuli pale Magomeni ambayo Ruto anayaigilizia huko Kenya ndugu...
1 Reactions
2 Replies
241 Views
Uzoefu wangu wa kuchunguza Rekodi za Akashic kwa miaka 5 Ufafanuzi wa baadhi ya maneno upo chini katika faharasa. Kazi hii inahusu Mungu, uhalisi, na kusudi la nafsi. Tafadhali fahamu nia yangu...
3 Reactions
15 Replies
721 Views
Hapa nilipo nalia balaa. Nilitarajia na nilikuwa na uhakika kualikwa kwenye Harusi ya Karne ya boss wa Amazon Jeff Bezos na Lauren Sanchez na kuwa mwafrika mweusi pekee kutoka Africa kuhudhuria...
3 Reactions
15 Replies
691 Views
Familia zetu, kila mmoja anatakiwa aanzie mwanzo. Yaani hakuna mwendelezo wa maisha ya uchumi na biashara. Eti wanakwambia kila mmoja ajipambanie... Kama kuna mali wazee waliacha basi watu...
10 Reactions
29 Replies
2K Views
Mahakama ya Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara imemuhukumu kifungo cha miaka 20 jela Mussa Hassan Ntakula (70), Mkazi wa Kijiji cha Ngalinje baada ya kupatikana na hatia ya kosa la udhalilishaji wa...
1 Reactions
14 Replies
918 Views
Meneja Mauzo wa Vodacom Tanzania Plc mkoa wa Kilimanjaro, Sifa Msuha (kulia), akizungumza na madereva bodaboda, wakazi wa Marangu Mtoni katika Manispaa ya Moshi vijijini, Mkoani Kilimanjaro...
1 Reactions
3 Replies
330 Views
https://www.facebook.com/share/r/196jATvBN Wakati anaichambua Nadharia hii ya "utu wema" alimalizia kwa kusema "Tabia njema ni msingi wa maisha Bora"
2 Reactions
2 Replies
284 Views
Umewahi kujiuliza jinsi marubani wanavyopanda ngazi katika taaluma yao? Hapa kuna muhtasari wa viwango vya marubani kulingana na uzoefu wao wa kuruka angani! ✈️👨‍✈️ 🎓 Hatua ya Mafunzo: 🟩 Rubani...
2 Reactions
2 Replies
491 Views
My Take Chadema watatoa povu,furaha Yao ni kuona SSH anashindwa ila wanazidi kuumbuka . --- The Tanzanian shilling has rallied to become one of the top performing currencies in the world, due...
4 Reactions
76 Replies
3K Views
Masoud kipanya, recently posted a cartoon, depicting a SUA graduate working in bank with a line saying "Hii ndio Bongo, nimemaliza chuo kikuu cha kilimo cha sokoine lakini niko kaunta benki", a...
17 Reactions
225 Replies
44K Views
Leo utakuta kuna ma kungwi yanawafundisha wanawake kuifinyia kwa ndani wakijua ndo solution la kumkamata mwanaume. Anaye kufundisha mwenyewe hata mme licha anajua hadi kuifinyia kwa ndani bado tu...
34 Reactions
201 Replies
6K Views
Huenda ikawa coincidence tu lakini ni ni muhimu kuwa makini ni sana watu wanaingia kununua vitu bila kujua kuwa supplier anavyo kwenye stock au Hana au ni dalali au non technical anaefungasha tu...
33 Reactions
78 Replies
4K Views
mimi ni dume rijali, la mbegu, la j.f miaka 35 sijaoa,miezi kama miwili iliyopita nikampata binti baada ya kuongea nae akakubali tuwe wachumba ila muda mwingi sipo nae karibu anaishi kwa wazazi...
9 Reactions
85 Replies
3K Views
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekiri kwamba uharibifu mkubwa na mkubwa ulifanyika katika maeneo ya nyuklia ya nchi hiyo katika mashambulizi ya hivi karibuni ya Marekani na Israel. Abbas...
1 Reactions
5 Replies
432 Views
Anonymous
Pale eneo la Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu (DUCE) na karibu pia na ulipo Uwanja wa Benjamin Mkapa kuna magari makubwa yanaziba barabara na mbaya zaidi magari hayo yanageuzia kwenye geti la uwanja...
0 Reactions
0 Replies
263 Views
Madawa na chanjo ili kushinda ugonjwa fulani lakini zinaacha particles za sumu mwilini kupelekea kuwa prone na magonjwa mwengine. Chemicals na elements katika vyakula ili kushinda ushindani ila...
0 Reactions
0 Replies
161 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…