Ukweli nimekuwa na tabia ambayo inanipa wakati mgumu sana hasa ninapoenda sehemu harafu ukute wale mama ntilie hapo ndio nakutana na changamoto.
Mimi chakula kama kina mboga ndogo siwezi kabisa...
Hapana, hakuna Mtanzania halisi ambaye hana kabisa asili ya nje—kwa sababu karibu watu wote waliopo Tanzania leo ni matokeo ya mchanganyiko wa makabila, mataifa, na tamaduni zilizokuja kupitia...
Nashangaa sana hii ni habari kubwa watu hamsini kufa Kwa ajali huko same na jamiiforums yote isijue sio kawaida. Naomba kama kuna Uzi wa hiyo ajali nijue maana Mimi ni mpare na same ni kwetu.
Uoga wa kuchukua risk ni sumu kwa maendeleo. Hili ni tatizo kubwa sana kwa jamii nyingi za Kiafrika, na lina mizizi katika malezi, mfumo wa elimu, dini, na hofu ya kushindwa. Watu wengi wanajikuta...
Mimi ni kijana niliesomea uhasibu kwa ngazi ya Diploma, na pia nimesomea ICT kwa ngazi ya certificate.
Nina changamoto ya usikivu hafifu.
Hali hii ya kutosikia vizuri imekuwa inaninyima fursa...
Hekalu Pacha za Sol na Mon: Kupanda Ngazi ya Kusahau kwa Kimbingu hadi Kurejea kwa Ulimwengu
Ufichuzi wa Siri Zilizofichika
1. Uduality wa Kimwili-Kiroho (Mwili, Akili, Nafsi)
Marudio ya "MWILI"...
Wanajamvi kama nilivyotangiliza heading, mara kadhaa nimekua nikikutana na neno KOBAZI kwenye comment mbalimbali humu jamvini, nimejaribu kufuatilia bila mafanikio.
Juzi nimeuliza nikaambiwa ni...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeeleza kusikitishwa na kulaani vikali kile ilichokiita ukiukwaji wa Haki za Binadamu uliofanywa na Jeshi la Polisi dhidi ya waumini wa...
Kupitia kitabu hiki utajifunza yoga hatua kwa hatua na kumaster mikao [asanas] kwa urahisi zaidi pia utajifunza jinsi ya kudhibiti pumzi yako [pranayama] kwa faida ya afya ya mwili na akili, pia...
Majirani zetu sasa wameongeza route ya Nairobi - Gatwick, London, UK. Kama nyongeza kwa Ile ya route ya awali NBO-LHR.
Nairobi - Gatwick - J5, Ijumaa na j2
Wasalaam
Hayati Magufuli alifanya nini kumaliza ajali za barabarani?Hii sio kitu kwa watawala na wanaowajibika kwa usalama barabarani?
Au tutolee mfano familia za watawala kama swala la utekaji...
Miongoni mwa waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima (Kanisa la Gwajima) akifanya maombi ndani ya gari la polisi baada ya kukamatwa na kuwekwa humo ikidaiwa sababu ni kuandamana na kukataa kutekeleza...
Waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima(Glory Of Christ Tanzania Church) wameonekana kuendelea kuwa na ari kubwa ya kuimba na kufanya maombi huku wakitaja jina la "Yesu" na wengine wakifanya maombi...
Kwenye post yake la Leo kuhusu Makonda amewaasa wananchi wa Arusha kutokumchagua mgombea wa mchongo( Makonda) , ambae wamepewa na CCM na badala yake wamchague mgombea wao wenyewe.
Mpaka hapo ni...
Wakuu
Nimekutana na video hii mtandaoni nadhani iakuwa ni Kenya hii lakini ni tabia ambao hata hapa Tanzania imeota mizizi
Yaani unakuta hata pale Ferry, pantoni likiwa karibu kushusha watu...
AMEANDIKA AHMED ALLY
Nimeona taarifa kutoka kwa @jemedarisaid kuhusu Nyuma Mwiko kumuwekea pingamizi Mgombea Urais wa TFF Wallace Karia, sina mashaka na taarifa zake lakini kamati ya uchaguzi ya...