My Take
Kazi nzuri ya Serikali ya awamu ya 6 chini ya Mwanamama Ujasiri SSH kuboresha miundombinu ya usafiri wa Anga Tanzania.
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) uliopo Dar es...
Jumapili ya Bwana.
Naomba tujuzane
Yesu alifunga siku 40.
Elia alifunga siku 40.
Siku za mwizi ni 40.
Waisraeli walitembea miaka 40.
40 ya marehemu?
Hii namba 40 ina nini??
Wajuvi wa mambo mtujuze
Habari za leo Mdau, naomba utusaidie kupaza sauti iwafikie taasisi ya Osha...
Wanavyuo wa NIT, Ardhi na Chuo cha Maji 2024 tulilipia pesa 30,000 kwaajiri ya mafunzo semina ya Usalama mahala pa...
Naamini ni wetu sote
Kariakoo- Dar watu wanalala barabarani usiku
Makoroboi - Mwanza watu wanalala nje
Arusha mjini watu kibao wanalala nje vijana jua ni lao na mvua ni yao
Kwa Sasa Kuna...
Najaribu kujiuliza tu wakuu.
Mimi hua napenda kuongea na watu walionizidi umri sana, hususani wale waliosoma enzi hizo kabla ya Uhuru haujapatikana 1940-1959 hawa ni wengi kwenye play list yangu...
KWA Mujibu wa Shirika la Afya duniani mtu mmoja kati ya sita anasumbuliwa na Tatizo la UPWEKE.
Tatizo hili hupelekea stress, magonjwa ya MOYO, kisukari na magonjwa yasiyoambukiza.
KWA wanafunzi...
Huu ukatili haufai katika jamii yetu, mtoto kama huyu kupigwa makofi kiasi hicho sio sawa.
Sijui imetokea wapi na lini lakini kwa kweli haifai wala tusikubali ukatili kama huu.
Taarifa hii ni ya...
Rais wangu Samia, ninakuomba Sana utakapo rejea madarakani, ubadilishe sheria hii kandamizi dhidi ya vijana wa kiume nchini Tanzania.
Sheria yenyewe ni sheria ya makosa ya jinai ( Penal Code...
Hellow!
Mungu alikuamini, akaona unafaa kubeba kiumbe chake na kukilea duniani.
Mungu alipomuumba mtu tumboni mwa mama yake, Kila kitu kilifanyika kwa usahihi
1. Tundu la pua Lina kazi yake...
Imepita zaidi ya miaka 6000 mpaka 6700 Baba WA wanadamu Nabii Adam na Mama wa Wanadamu Hawa kushushwa kwenye ulimwengu huu wa Dunia.
Hatimaye utafiti uliofanywa hivi majuzi wa kisayansi umetoa...
Habari za jioni wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, naomba kuuliza kuhusu swala hili.
Juzi nilisafiri kutoka Dodoma kwenda kibondo, kuna kitu nilinotice kuanzia Tabora, nyakanazi, hadi...
Salaam, Shalom!
Hauwezi kusema ukweli wote bila kuficha, ukabaki salama,
Kanisa la kwanza, hapa kuwa na urafiki kati ya mamlaka na kanisa sababu vitu hivi havichanganani. Yaani uwaambie...
11 MAREKANI
→↓
Ubaguzi wa rangi unapungua marekani japo baadhi ya sehemu mtu mweusi haruhusiwi kabisa kukanyaga na akionekana inaweza ikamletea matatizo Hasa sehemu za Kusini
10 UK
→↓
Uingereza...
Wakuu kwema??
Hivi mtu ukitaka umiliki silaha kama Bunduki,. Pistol yaani utavipataje?,. Utaratibu wake ukoje kuanzia kwenye kununua unanunua wapi?, usajili na Kila kitu..
Na je Kunakua na...
Kila Juni 30, huwa ni Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mitandao Kijamii.
Kaulimbiu ya mwaka huu, “Kuwainua Wanaosema, Kujenga Jamii,” inaangazia jinsi majukwaa kama Facebook, Instagram, X...
Hii ni barabara inayounganisha Kata ya Kandawale na Njinjo na kuelekea Kilwa-masoko(wilayani).
Barabara hii inahudumiwa na TARURA lakini kwenye uhalisia haipati huduma ya kuboreshwa miaka 10's...
Katika pitapita na ulizauliza zangu nimegundua hiki ni moja ya chakula kinachopendwa na wengi wa hadhi zote.
Mimi binafsi niko tayari kula ugali dagaa mwaka mzima bila kunikifu.
Sababu kuu ni...