Nchi ambazo ni hatari kwa watu weusi kuishi/kutembelea

Sele Mkonje

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
643
844
11 MAREKANI
→↓
Ubaguzi wa rangi unapungua marekani japo baadhi ya sehemu mtu mweusi haruhusiwi kabisa kukanyaga na akionekana inaweza ikamletea matatizo Hasa sehemu za Kusini

10 UK
→↓
Uingereza ina idadi kubwa ya wahamiaji wa rangi mbali mbali. Mji kama London una mchanganyiko wa watu wa Rangi mbali mbali lakini hapo hapo London kuna sehemu mtu mweusi hatakiwi kukatiza

9 INDONESIA
→↓
Ni moja ya nchi ambayo watu weusi hubaguliwa sana hata watalii hupata tabu sana wanapofika huko.

8 JAPAN
→↓
Hii ni mfano wa nchi ambayo imeendelea na bado ina ubaguzi wa hali ya juu.Raia wake hawawachukulii watu weusi kama watu wa kawaida kwa namna moja au nyingine. Japo miji kama Tokyo ubaguzi huu huwezi kuuona sana ila ukiingia ndani ndani utakutana na ubaguzi wa hali ya juu.

7 AUSTRALI
→↓
Raia wa Australia wanafahamika kwa tabia ya ubaguzi wa rangi hasa kwa Watu weusi (Native Oboriginal People) ambao ndo watu wa asili wa Australia kabla ya kuja wazungu. Kuna baadhi ya maeneo watu weusi huweza kujikuta matatani kwa kupita tu

6 UTURUKI
→↓
Nasikitika kuwaambia kwamba hawa marafiki wetu wapya watakaotujengea Reli ya kisasa ni wabaguzi sio tu kwa watu weusi bali hata Race yoyote isipokuwa Wazungu japo mtu mweusi hubaguliwa zaidi kuliko waAsia. Hata ukiwa mtalii huduma utakazopewa ni kiwango cha chini kuliko mtu mweupe.

5 SOUTH KOREA
Raia wa korea kusini hawana tofauti na waturuki huwabagua watu wa aina yoyote wasiokuwa wakorea isipokuwa wazungu ambao hupewa huduma [HASHTAG]#first[/HASHTAG] class na mtu mweusi hupewa huduma ya daraja ya mwisho

4 UJERUMANI
→↓
Watawala wetu wa zamani hawa. Unaweza usikubaliane na mimi lakini ukweli ni kwamba kumekuwa na makundi mbali mbali yamekuwa yakiwatarget watu weusi na kuwapiga. Makundi hayo ambayo yanajulikana kama "SKINHEAD MOVEMENT" yamekuwa yakifanya vitendo hivyo vya kibaguzi

3 URUSI
→↓
Hii ni nchi ambayo ubaguzi wa rangi kwa watu weusi sio na raia wa kawaida tu bali hata vyombo vya usalama kama vile polisi. Makundi kama yale ya Ujerumani "SKINHEAD MOVEMENT" yamekuwa yakifanya matendo ya kibaguzi na kukupa kichapo hata mbele ya Polisi na hakuna hata atakayekusaidia

2 JORDAN
→↓
Jordan ni moja kati ya nchi ambazo zinalalamikiwa sana kwa ubaguzi wa rangi. Watu weusi huchukuliwa kama watu daraja la chini kabisa nchini humo. Kama una mpango wa kwenda kutembea au kufanya biashara nchini humo basi ni bora uwe na taadhari ya hali ya juu

1 INDIA
→↓
Kama nisingeiweka India namba moja basi najua ningepokea malalamiko kibao kwamba sijaitendea haki chati hii. Wahindi wametengenezwa na wakoloni wao kuwaabudu Wazungu. Kitendo cha mtu mweusi kuonekana india ni sawa na kukuta muhindi kwenye shamba la Maharage. Wengi wamepigwa na wengine wameuawa kwasababu ya kuwa weusi. Hata wale wahindi wenye ngozi nyeusi wana miji yao maalum na wakienda miji mingine hubaguliwa kama watu weusi wengine japo wao wanakuwa juu zaidi ya weusi.
★★★ Kama kuna nchi nimeiacha hapa katika list unaweza kuiandika hapa katika maoni★★ ★
Imeandaliwa na Selemani Mkonje [HASHTAG]#mckonjetv[/HASHTAG]
 
Ni jimbo gani hapo u.k?
 
Back
Top Bottom