Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tangu mwanzo hadi ufunuo sijawahi ona biblia imetamka wazi kuwa manefili yalitokana na uzao wa mtu fulani sijawahi ona hilo andiko.Badala yake maandiko yanakuwa yanaibuka ghafla tu na kuwataja...
13 Reactions
195 Replies
8K Views
“Ujobless si kilema – ni hali ya mpito, lakini pia ni cheche ya mabadiliko.” Katika kona za vijiwe vyetu vya kahawa, mitandao ya kijamii, na hata kwenye foleni za usafiri, sauti moja imeanza...
0 Reactions
4 Replies
288 Views
𝗫𝗶𝗮𝗼𝗺𝗶 𝗯𝗶𝗻𝗴𝘄𝗮 𝘄𝗮 𝗞𝗮𝗺𝗲𝗿𝗮 𝟮𝟬𝟮𝟱 Kwenye Events ya MWC wa mwaka 2025, wachina bhana waliweza kuonyesha simu yao mpya aina ya Xiaomi 15 Ultra ikiwa na muonekano wa kipekee na wa kuvutia kwa mwaka...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Anonymous
Kuna hiki kikundi wanajiita wanatoa mkopo kwa kupitia MO DEWJI Foundation na wanatumia nyaraka za Mo dewji kinyume na sheria na wana kila kitu hadi leseni za biashara na namba zao za mawasiliano...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Dar es Salaam, Julai 2, 2025: MSAFARA wa baiskeli wa Twende Butiama mwaka 2025 umeanza rasmi leo jijini Dar es Salaam, ukiwa na waendesha baiskeli zaidi ya 200 waliojitolea kushiriki safari hii ya...
0 Reactions
0 Replies
217 Views
Fisadi anaweza kulala muda wowote anaoutaka, anaweza kulala mahali popote, anaweza kutembea hadharani muda wowote bila bughuza. Ila wazee wa NO REFORMS NO ELECTION lazima watembee kwa machale makali.
0 Reactions
3 Replies
215 Views
Karibu jamii zote za wanyama utaona hili jambo la mama kumpenda sana mtoto wake. Ng'ombe, mbuzi, kuku, sokwe, binadamu nk nk. Ni kitu gani kinafanya wanyama wawapende watoto wao?
7 Reactions
74 Replies
2K Views
Wakuu sio mara moja au mbili ni mara kadhaa hasa ukipiga simu haipokelewi kwa wakati. Ukija kuuliza unaambiwa simu ilikuwa mbali,ilikuwa ndani mimi nilikuwa naosha vyombo/nafua. Visingizio hivi...
14 Reactions
134 Replies
5K Views
Huwaga nachoka sana na michango ya harusi, sendoff na sherehe nyinginezo. Ahadi na Michango kwa ajii ya Harusi ya Bwana fulani inayotegemewa kufanyika tarehe xxxx Robert - 100,000 Wile - 200,000...
1 Reactions
5 Replies
352 Views
Wakuu natafuta wale waunga bundle za halotel ! Mimi ni mteja mzuri….. Kama upo taja ulipo na mawasialiano yako nikutumie hela. uaminifu muhimu
0 Reactions
25 Replies
1K Views
Naomba mnisaidie, kwa miezi kadhaa kabisa nikinunua kifurushi cha mwezi cha internet kinaisha hata wiki hainaisha wakati Natuma jioni tu Tena kwa Kiasi kidogo kwani mchana huwa ni atumia WiFi ya...
5 Reactions
30 Replies
1K Views
Sikujua mimi ni bahili mpaka nilipoona watu wengi wakiniita mbahili lakini mimi nilikuwa naonaga kawaida tu, Imekuwa ni mazoea kwangu kuwa sensitive sana hata kwa utofauti wa bei ndogo, nahisi...
2 Reactions
4 Replies
324 Views
Kwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali. Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa. Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda...
54 Reactions
444 Replies
15K Views
Tunazaliwa katika zama ambazo simu zimekuwa na akili kuliko watumiaji wake. Mitandao ya kijamii imepata ushawishi mkubwa kuliko wazazi au walimu, ikitoa maarifa yasiyoisha lakini bila hekima...
5 Reactions
10 Replies
762 Views
Habari wadau, natumaini humu kuna wakuu wa fani Mbali mbali wanaoweza kunisaidia katika suala la Ardhi. Niko Mkoani,Nimeenda Halmashauri ya Mji A. Nimepeleka Maombi ya Kubadilishiwa Matumizi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tunaomba tusaidiwe hii wizara ya elimu walizindua kituo Cha huduma juzijuzi na wakatangaza ila ukipiga simu utakuta namba haipatikani au namba haipokewi tunaomba kusaidiwa kufikisha hii taarifa...
0 Reactions
0 Replies
207 Views
Kwa Mujibu wa Takwimu za NBS za mwaka 2023 kutoka Kwenye Chapisho la Tanzania in Figures 2023 Limebainisha masuala kadhaa ya takwimu za msingi za Nchi. Moja kati ya takwimu hizo ni Mchanganuo wa...
26 Reactions
196 Replies
18K Views
Ila Dereva wa Lori inaonekana kama vile hana cha kupoteza na ameshaamua liwalo na liwe Wakongo (akina Bandeko Nangai) wanasema Azomata Azomate..... Kudadadeki.
1 Reactions
1 Replies
448 Views
Mimi nina miaka 26, ni mama wa mtoto mmoja, na naishi na mzazi mwenzangu. Changamoto yangu kaka ni kuchukiwa na watu bila sababu.😭💔 Sijui kama kuna watu wanapitia hali kama yangu, inanitesa sana...
12 Reactions
47 Replies
3K Views
"Kila mtu anasema 'usimuamini mtu' – Je, jamii yetu na waajiri wa sekta binafsi wamepoteza misingi ya uaminifu?" Ni kawaida siku hizi kusikia msemo: “Usimuamini mtu – hata kivuli chako kinaweza...
0 Reactions
6 Replies
400 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…