Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

MPOPOMA - Mti usio na kazi Wazaramo walipoona haufai kwa mbao, mkaa wala kwa kuni, wakaususa na kuuita mti usio na maana. Popote ulipomea, haukuguswa wala kushambuliwa na wavunaji wa miti, kwa...
2 Reactions
2 Replies
407 Views
Salaam! Ni binti amepangiwa kuripoti Kondoa girls, Na mimi nahitaji akasome Tabora girls, Kwa mwenye kujua process tafadhali nisaidieni......
2 Reactions
33 Replies
7K Views
Kuna eneo Moja hapa mjini juzi lilikuwa linauzwa million 50. na limekabidhiwa Kwa dalali.. After 2 days..Dalali kaleta mteja akifika bei ya 90million So hapo ya dalali ni 40million .....Baada ya...
15 Reactions
207 Replies
7K Views
Sijui ndoto zina maanisha nini, ila nikiwa mdogo Sana, nadhani darasa la tano au sita niliota ndoto mbaya sana kwenye maisha yangu. Nililia usiku kucha, asubuhi mama akanipa rosari na bibi akanipa...
1 Reactions
5 Replies
712 Views
Ni mbinu inayotumiwa na baadhi ya serikali au vyombo vya mamlaka pale wanapotaka kutekeleza ajenda fulani bila kukumbana na upinzani mkubwa kutoka kwa wananchi. 🔹 Problem: Wanaanzisha au...
1 Reactions
4 Replies
321 Views
Wasalaam,kuota ni kawaida kibinadamu.Ila natamani nijue maana hii ndoto. Nimeota nimeshika Hot Pot ina Pilau nzuri sana.Nikawa napita njiani watoto wadogo wananifuata wanataka niwape. Nikawa...
1 Reactions
5 Replies
413 Views
Nimesikitika baada ya kusoma thread ya member humu anayeitwa Marry Diana jinsi anavyoilalamikia jamii forum na member wake kwamba watu wengi humu ni wabaya kusema ukweli nimeumia sana hivi...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
eti wanaume wangapi wenye nguvu wanaweza shindana na gorrila na kumshinda kwa kumpeleka chini? nimesikia mpaka wanaume 100 eti ndiyo wanaweza mpeleka gorrila chini, nini maoni yako ? … kama...
2 Reactions
21 Replies
985 Views
Awali, Mdau wa JamiiForums.com aliandika kuwa Walimu wa Halmashauri ya Arusha wanatarajiwa kupewa mafunzo kwa ajili ya mitaala mipya ya Kidato cha Kwanza kwa malipo ya Tsh. 3,000 kwa siku ikiwa ni...
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa makadirio ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa mwaka 2025, Sudan Kusini ndiyo nchi masikini zaidi duniani, ikiwa na pato la taifa kwa kila mtu la Dola za Kimarekani 251 tu kwa...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Benki ya CRDB imeshinda tuzo ya dhahabu ya Kimataifa ya Uwekezaji katika Jamii (International CSR Awards 2025) kupitia mbio zake za kimataifa ya CRDB BANK International Marathon. Tuzo hii ya...
0 Reactions
0 Replies
185 Views
Wakuu ukifatilia huu upuuzi tulioletewa na hawa watu wa nje ya afrika, utagundua kuna mambo mengi ni ya uongo uongo sana. Tunahitaji kukataa kuwa manipulated. Nimekuwa nikifatilia uongo wa Biblia...
2 Reactions
11 Replies
365 Views
Barabara ya Segerea-Tabata, ambayo ni miongoni mwa njia muhimu za mawasiliano katika Jiji la Dar es Salaam, imegeuka kuwa chanzo kikubwa cha usumbufu na kero kwa maelfu ya watumiaji wake wa kila...
2 Reactions
2 Replies
409 Views
Wakoloni walitusafirisha kwa majahazi kama watumwa kwenda kwao kuwafanyia kazi bure (manamba) kwenye mashamba, viwanda na majumbani kwao, history mbaya sana hii kukumbukwa, maana sio tu kwenda...
29 Reactions
768 Replies
37K Views
NINA LAANI NA KUKEMEA UNYANYASAJI NA SHAMBULIO LA KIIMANI LINALOFANYWA DHIDI YA WAUMINI WA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA.Ni Vema Viongozi wa Serikali wakatambua kwamba 1.Nikiambiwa nichague kati ya...
4 Reactions
6 Replies
518 Views
Sijui kama watanielewa, nahisi watachukia. Ila kama posho zao zimeongezwa, labda watacheka tu. Lakini ukweli ndio huu, na nimeamua kuusema wazi hapa JF -where we dare to talk openly! Kila...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Salaam Members! Huyu kijana ni nani? Ningependa kujua mawili matatu kuhusu yeye maana siyo kwa jinsi anavyojieleza alivyofanikiwa chini ya SSH. Vijana wengine kumbe tunasindikiza tu.
2 Reactions
39 Replies
2K Views
Baadhi ya Wananchi wanaoishi jirani na eneo ambako limejengwa Kanisa la Arise and Shine linaloongozwa na Apostle Boniface Mwamposa, wamewasilisha malalamiko yao wakidai kuwa ujenzi wa miundombinu...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwema? Likizo yangu inakuja mwezi wa nane. Nilipenda nitembelee Morogoro, Milima ya Udzungwa. Nilishawahi kupaona nilivyokua naenda Ifakara, lakini sina taarifa za taratibu na gharama za...
0 Reactions
6 Replies
474 Views
Endapo utafanikiwa kumla samaki huyu mwenye gamba gumu anayekwenda kwa jina la Oyster basi utakuwa na asilimia 99 ya kuongeza nguvu za kiume ndani ya dakika 10. Samaki huyu atakurudishia uwezo...
0 Reactions
113 Replies
57K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…