Serikali imeendelea kuweka mazingira wezeshi yanayozidi kuvutia wawekezaji wa kigeni kuja kuwekeza hapa nchini hususani katika sekta ya usafirishaji.
Akizungumza na wandishi wa habari kwa...
Ndugu Watanzania, hususan Wakristo Wakatoliki, salaam za haki, amani, upendo na uadilifu kwenu.
Awali ya yote, napenda kusema kuwa sisi Watanzania hatukufunzwa wala kulelewa tangu utotoni kuelewa...
Napenda kuongelea Ukumbusho wa kifo cha Yesu ambao Yesu aliwaagiza wanafunzi siku ile anafanya nao Karamu ya mwisho (Alhamis Kuu baada ya jua kuzama) NB kwa kalenda ya Kiyahudi, tayari waliisha...
Leo mtoto hatumwi dukani. Wote tunaelekea KAWE kwenye uzinduzi wa Hema la uponyaji. Karibuni Wagombea (waliochukua fomu) wote.
https://www.youtube.com/watch?v=pAiducssxYs
Kama unafikiri haiwezekani basi utakua bado huko nyuma sana ๐!!!
Anaitwa Alyssa Carson atakua mwanadamu wa kwanza kuweka historia ya kukanyaga Ardhi ya sayari ya Mars.
Mwanadada huyu mdogo...
Kuna wale jamaa hela alizotafuta yeye ni zakufanyia maendeleo ila ulizotafuta wewe anachukulia kama ni zakunywea pombe.
MNASHINDA MAZINGIRA YENYE FURSA SAWA KWENU, NA AU MDA MWINGINE YEYE MDA...
Baada ya kuwa Muhamad na watu wake kupora mali. Walikuwa wanakaa kumuuliza sasa mgawanyo wake unakuaje kila mtu afe na chake. Hapo Muhamad alikuwa anapata wahyi haraka haraka na kuwajibu kuwa hizo...
Inawezekana hakuna kati Yetu ambaye atakuwepo ila ๐wape taarifa wajukuu au vitukuu vyako, kuna jiwe kubwa litashuka na kuigonga Dunia mwaka 2182.
Septemba 24, mwaka 2182 Dunia itaweza kukumbwa na...
Hivi ni mimi tu naona haya au
Maji ya kilimanjaro now yana chumvi sijui biashara imewashinda
Maji ya GSM naona mabaya yakiwa ya moto au baridi
Maji ya Dewdrop ni mazuri sana ila siwez...
Tumejionea wenyewe kule chini na mahala pengine kama ulaya Watoto wadogo wanaandaliwa kiwa Wanasayansi na mainjinia wabobezi. Watoto hao wanasukwa na kufinyangwa kiasi kwamba wanaanza kubuni na...
Waislamu wao wakifika peponi Allah amewaofa mabikira 72 kwa kila mwanaume halafu wakaongezewa na pombe.
Upande wetu wakristo kwa madhehebu yetu yote tunaamini huko mbinguni hakuna koa wala...
KWA Mungu SADAKA ni KITU kikubwa kuliko Maombi.
Maombi yakichanganywa na sadaka matokeo yake yanakuwa sio ya kawaida.
Watu maarufu katika Biblia kabla hawajafanya chochote walitoa sadaka.
Mungu...
Kama ulikua huzijui haki zako ukikamatwa na POLICE wacha nikufahamishe;-
Watu wengi hawajui haki zao wakikamatwa na polisi,
Sasa kama huzijui haki zako ni hizo hapa;-
1). Askari akikuweka...
Nyie mnaojiita wahudumu wa hayo MABASI ya VVIP ,pamoja na baadhi ya abiria wenu mnakosa ustarabu.
Inakuaje muhudumu wa basi hutulii sehemu moja, Kila muda unajipitisha pitisha na kuleta migusano...
Seminary na vyuo vya Biblia na theologia ndiko hupika viongozi wa dini.Wakipikwa vibaya wanakuwa liability au mzigo kwa jamii au Nchi .Wakipikwa vizuri wanakuwa Asset kwa Jamii
Sio vizuri kupika...
Habari!.
Fikisha kwa jamii.
Halmashauri ya wilaya ya Muleba imeamua kututapeli pesa zetu za kujikimu,tukiuliza tunapewa majibu ya kutoridhisha. Kwa Mujibu wa maelekezo ya Tamisemi ya Muongozo wa...
Marilyn Monroe ni moja ya wanawake wanaotajwa kuwa na IQ kubwa kuwahi tokea duniani alikuwa na IQ ya 165 kubwa kuliko ya Albert Eisten ambaye alikuwa na 160.Ila cha ajabu licha ya maarifa makubwa...
Watu wameshituka na baadhi ya matukio ya kusikitisha yanayotokea Geita kama mauaji ya Mirembe, Eneck, Albino n.k, Kwa tuliowahi kuishi Geita haya ni matukio ya kawaida mno
Geita Kuna uharifu wa...
Anaandika Edgar Mwakalebela (Sativa) kupitia ukurasa wake wa X:
Kwamba bila video kusambaa mtandaoni mngekaa kimya na hii taarifa ili mfanye vile mnafanyaga siku zote kwasababu waliofanya huu...
Mimi ni mtumishi wa umma,nina miaka 4 kazini ila nataka kuacha kazi.
Nataka kuacha ili niendeshe biashara zangu ndogo ndogo, lengo langu ni kua mfanya biashara na sio mfanyakazi. Najua mshahara...