Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watoto wanatumikishwa kama watumwa mijini – Je, wazazi wao wako wapi? Wadau poleni na mihangaiko. Nimeumia sana moyoni baada ya kuona hali ya mtoto mmoja jirani hapa. Familia moja imeleta binti...
2 Reactions
16 Replies
822 Views
Ashura iliiadhimishwa jumamosi iliyopita. Siku ya Ashura ni kumbukumbu ya kifo cha kipenzi cha dhati ya waislamu Imam Hussain ibn Ali aliyeuwawa kikatili Kwa kulinda uislamu na kuwatetea waislamu...
11 Reactions
144 Replies
5K Views
Wasalaam, Wakati wa makuzi yangu mpaka naufikia umri wa makamu Kuna busara nyingi na mausia "yasiyo ya msingi" ila muhimu niliyokuwa nikipata kwa wazazi/walezi hata na jamaa zangu ambazo naweza...
21 Reactions
58 Replies
2K Views
Je, mimi ni nani?
1 Reactions
11 Replies
497 Views
Wasaalam wote. Huenda visa viko vingi ila, vinafichwa na kimoja kati ya hivyo ni kama hiki ambacho, kimefikishwa kwangu kwa ufupi: ...."Nimefanyiwa ukatili na mtoto wa boss kwa kupigwa sana kisa...
67 Reactions
172 Replies
7K Views
Zama za sasa kumekuwa na Watoto wengi wa nje ya Ndoa, Kukithiri kwa MARADHI na hata UMASKINI. Sababu ya haya yote ni kukithiri kwa ZINAA. Kama unapinga pinga kwa hoja.
37 Reactions
124 Replies
13K Views
Ikitokea imetokea umekufa au upo katika hali ambayo haikulazimu wewe kutumia simu yaani ili utumie simu lazima usaidiwe na mtu je vitu ulivyo hifadhi kwenye simu yako kuanzia kwenye mafile mpaka...
36 Reactions
396 Replies
10K Views
Siku moja, panya wa mjini alisafiri kwenda kumtembelea rafiki yake, panya wa shambani. Panya wa shambani alimkaribisha kwa furaha, akamletea chakula alichokuwa nacho – mbegu, mizizi, na vipande...
1 Reactions
5 Replies
271 Views
Nayatafakari sana maneno yale kwenye Bible takatifu kwamba hapo mwanzo dunia ilikuwa kiza totoro na uso wake ukifunikwa na maji. Kutoka hapo ndio uumbaji ukaanza, kwa kutenga kiza na...
9 Reactions
76 Replies
14K Views
Wakuu wa Jamii Forums, Nina habari njema sana kwa nchi yetu! Tanzania ipo mbioni kupokea huduma za intaneti kupitia satelaiti kutoka kampuni ya Starlink. Hatua hii ni fursa muhimu kwa Watanzania...
13 Reactions
66 Replies
5K Views
Swali la baadhi ya wananchi; Mhe. Waziri GwajimaD, hivi hawa wasaidizi wako hawana msaada hadi useme sisi tukuletee matatizo ya nchi nzima wewe? JIBU: wasaidizi wangu wana msaada mkubwa na...
15 Reactions
22 Replies
732 Views
Raia halali wa nchini Oman kacheza Karata moja kubwa na muhimu mno ambayo itamsaidia zaidi na atamsaidia sana.
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Kama wewe ni Mkristo mkatoliki ni sala, Novena, Rozali au uliwahi funga kuombea kitu na kikafanikiwa? Mfano kwenye kuomba kazi, mke au mume au masomo n.k tushirikishe Pia madhehebu mengine...
3 Reactions
46 Replies
2K Views
Issue ya serikali kufungia makanisa ya Gwajima, ilileta impression kwa wa Tanzania wa kawaida kwamba " Rais ana uchukia Ukristo" , Jambo ambalo si kweli. Serikali ililifungia kanisa la Gwajima kwa...
6 Reactions
108 Replies
4K Views
Wakuu, Kuna taarifa nimeiona huko Marekani nimepatwa na maswali Kuna kauli Donald Trump alitoa kama siku 5 nyuma ambayo chama cha upinzani cha Democrats kimemshikia mabango na kusema anatakiwa...
0 Reactions
1 Replies
247 Views
tumetoka na hesabu tuweke mafuta dege.kufika sheli imefungwa. nini tatizo? mnasabisha timing zinaharibika mtu anatoka na hesabu anafika dege hamfanyi kazi???
0 Reactions
2 Replies
304 Views
Je, wewe ni matokeo ya mazingira yako, malezi yako, au uchaguzi wako?
0 Reactions
6 Replies
285 Views
Mimi siyo mtu wa mshahara ,mimi ni mchungaji mwema.Mtu wa mshahara aonapo mbwa mwitu huwakimbia na kuwaacha kondoo wakiliwa na mbwa mwitu. Mimi hata aje hayawani wa namna gani siwrzi kumkimbia...
2 Reactions
0 Replies
178 Views
Mahakama Kuu ya Zanzibar imewapeleka rumande watuhumiwa sita wanaokabiliwa na tuhuma nzito za mauaji ya Sheikh Jabir Haidar Jabir, tukio lililotikisa jamii ya Zanzibar mwishoni mwa mwezi Mei...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kanisa la Arise & Shine limezindua HEMA KUBWA AFRIKA AFRIKA MASHARIKI. Je ni wa kina nani ni wajumbe wa Baraza la Wadhamini.
0 Reactions
5 Replies
615 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…