Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mi naona haina haja ya kulaumu wanabii uchwara maana wanatumia fursa ya waliokubali ujinga kama huu uwatawale
2 Reactions
2 Replies
302 Views
YAH: KADI YA MWENDOKASI KWA SHILINGI 1,000/- TU! Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) unautaarifu umma kuwa ili kusafiri kwenye mfumo wa DART, kila msafiri anapaswa kuwa na Kadi ya...
4 Reactions
45 Replies
3K Views
https://www.instagram.com/p/DL6qc3yIgPx/?igsh=MXM2c2ZvZnBuYnR4dg==
0 Reactions
0 Replies
154 Views
Haya ni maneno yatakayotumika kuwakilisha bidhaa iliyozalishwa au kutengenezwa Tanzania. Hongera Rais Mwinyi kwa kuzindua nembo hii ya kihistoria. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
1 Reactions
6 Replies
763 Views
Pongezi kwa Kamishna kwa kudhamiria kutokomeza madawa ya kulevya nchini. Sisi wananchi tuko nyuma yako kwenye mapambano haya. Kazi yetu sisi wananchi tutaendelea kuwafichua wauzaji wa madawa ya...
0 Reactions
0 Replies
264 Views
Achana na siasa, leo nimeshangaa kuona nyuzi za ajira humu JF hazipati engagement kabisa japo watu wanalalamikia kuwa majobless na ugumu wa maisha. Kwani shida ni nini? Kama mdau wa uandishi wa...
7 Reactions
65 Replies
2K Views
Nimetafakari na kujiuliza kama jeshi la polisi lina utaratibu wa upimaji utendaji kazi wa askari wake. Vigezo vya kumpandisha cheo ni muda aliohudumu ama afanye tukio tu? Naomba kufahamu...
0 Reactions
0 Replies
165 Views
Enzi za JK wilaya ya Tarime walikuwa na vijitabia vya ukatili katili wakaanzishiwa kanda maalumu wakatulizwa kibabe. Njombe na Geita wana ujanja wa kizamani,ukatili na kuuana, Ushauri wangu kwa...
3 Reactions
1 Replies
303 Views
Za asubuhi wakuu, huku Mbeya mjini tetemeko limepita yaani sio poa kabisa Hapa usingizi umekata Wataalam mtujuze shida nini
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Inasikitisha sana kuona kwamba Serikali imefumbia macho Vipimo vya kihuni binavyoibia wakulima na kuwafukarisha licha ya juhudi na jasho kubwa wanalotumia. Kwa miaka mingi Sasa Lumbesa...
0 Reactions
5 Replies
337 Views
Yapata mwaka mmoja tangu niweke uzi wangu leo nakuja na huu uzi aisee tanzania hii (bongo) ukitaka kupiga hela za bure unapiga vizuri tu jamii kubwa za watanzania wanateswa sana na umaskini na...
2 Reactions
13 Replies
860 Views
Ni jambo la kificho mno, lisilojulikana na wengine wengi lakini ukweli ni kwamba magorofa mengi uyaonayo yana roho za watu au imevunja mifupa ya watu kwa njia za ajali au yamekunywa damu ya...
10 Reactions
165 Replies
25K Views
1. Shirima 2. Chacha 3. Mwakipesile 4. Rweyemamu 5. Masanja 6. Mwashambwa
1 Reactions
2 Replies
292 Views
Msumi ni Kilometer chache sana kutoka stendi ya mabasi ya Magufuli. Sasa cha ajabu ni kwamba Msumi ipo kama vile hata wakuu wa Mikoa waliopita hapo Dar na wasasa si ajabu hawajui iko upande gani...
27 Reactions
197 Replies
14K Views
Great Thinkers, Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na taarifa za kuwapo kwa kikundi kinachojiita SIIB kinachodai kuhusika na mradi wa Pi Network hapa Tanzania. Napenda kuwatahadharisha...
1 Reactions
10 Replies
745 Views
Jeshi la polisi wilayani Arumeru, mkoa wa Arusha, linamsaka Baba mmoja ajulikanae Kwa jina la Steve, umri miaka 50 anaeishi katika kitongoji Cha olmareti katika Kijiji Cha kivulu, Kwa kosa...
24 Reactions
191 Replies
9K Views
Mimi safi sometimes naona hizi ni hekaya za abunuasi tu hivi inakuwaje wewe watu ndiyo ambao umewaumba then watu hao hao wakupigilie misumari kwenye msalaba bila kufanya kitu? Hivi vitu mbona...
13 Reactions
78 Replies
2K Views
Wakuu habarini. Juzi nilitembelewa na Mshkaji ambae ndio Amepata Uhamisho kuja pande Hizi za Arusha. Nilzungumza nae mengi ila kubwa aliniomba Ushauri kuhusu Wanawake wa Kisonjo.Alifunguka Kuwa...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Mkuu: Bado hujachelewa TUBU leo TUBU kesho TUBU wiki nzima kisha utaanza kuzaa, utaanza kuongezeka, utaanza kutiisha na utaanza kutawala. Nalala hivi Exsultate, Jubilate!
1 Reactions
1 Replies
209 Views
Biblia pamoja na simulizi nyingi za kale kutoka sehemu mbalimbali za dunia zinaashiria uwezekano wa wanadamu wa zamani kuwa na mawasiliano na viumbe wa ajabu waliotoka mbali maarufu kama Ancient...
2 Reactions
7 Replies
439 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…