WTF ! Wanawake siku hizi pasua unakuta mdada analea mtoto muda wote busy na simu ku chart online hana muda wakuweka umakini kwa mtoto matoke yake mtoto anapata madhara kwa uzembe wa mama...
โMungu alikuwa na kusudi lake kuipatia Pemba karafuu. Na kusudi hilo lilionekana miaka ya 70 na 80, utajiri wa watu wa Pemba ulivyotokana na karafuu. CCM walipoona watu wa Pemba wanafaidi na...
Watu wanne matajiri zaidi barani Afrika wanamiliki utajiri wa dola bilioni 57.4 (sawa na euro bilioni 48.9), kiasi ambacho kinawafanya kuwa na utajiri zaidi kuliko nusu ya wakazi wote wa Afrika...
Pamoja na majukumu mengine TET kama chombo cha Serikali kimepewa jukumu la kusimamia na kuendeleza Elimu yetu nchini, pamoja na unyeti wa chombo hiki kimekuwa na utendaji kazi mbovu ambao kwa...
Hamjambo Watu wote!
Moja ya mambo yaliyonipa uelewa wa maisha na kupanua akili yangu mbali na kusoma vitabu, kuwa na muda wa tafakuri, kujifunza kwa nguvu za Mungu. Ni pamoja kuishi na Wazee...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema inafahamu hoja kuhusu suala linalohusu tuhuma za rushwa kwa Mkazi wa Kijiji cha Izumba kilichopo Uyui Mkoani Tabora.
Awali, Mwanachama...
Napenda kutoa pongezi na shukhurani za dhati kwa idara ya kupambana na kuzuia rushwa Tanzania na mkoa wa Tabora (TAKUKURU).
Naomba maafisa TAKUKURU Wilaya ya Uyui, Mkoa wa Tabora, muweze...
Barabara ya Makonde inayoelekea Kanisa Katoliki Mbezi Juu imekuwa kero ya muda mrefu kwa watumiaji wake, hususan wa vyombo vya moto, kutokana na mashimo mengi na miundombinu duni. Hivi karibuni...
Hili jambo nimeliona kwa muda mrefu mabosi wengi wenye maduka kutopenda kukaa ofisini duka kubwa lakini boss haoni hofu yoyote kuwaacha vijana hata mwezi mzima bila wao kukaa dukani
Wapo wanaokaa...
Kumekua na tabia ya kundi kubwa la vijana waliokimbia upande wa A-LEVEL Kwa kutokupenda na kupita shortcut kwamba wao wapo deep Kwenye kada kuliko vijana wa A-LEVEL waliopata digrii katika kada...
Kazi ya mama lishe imekuwa inazalisha asilimia kubwa ya mabinti wasiyoolewa.
Wanazaa wakiwa hapo na wanalea wajukuu hapo bila kuolewa, wengi huwa ni vimada tu na tabia hii huanzia kwa mama zao...
wazungu wanasema the Future is here, the more we welcome tomorrow, hivi ndivyo tunaingia kwenye ulimwengu mpya wa Teknolojia Miaka ijayo kuna Tisha sana.
Kampuni moja Toka Israel inaitwa...
Nafika leo natoka Arusha ila nataka nije kulala Kibaha kwa siku 5. Nahitaji mwenye kufahamu Lodge nzuri safi standard kwa bei ya tsh 20,000 mpaka 30,000.
Na nyingine ya 30,000 mpaka 50,000...
Hata nyie mmeshaona hamuwezi kuishi bila twita, rais anatumia, taasisi za serikali zinatumia, viongozi wanatumia. Sasa mnafungia ili iweje? Me naona kama hii Tanzania kweli huko mbinguni ni...
Kwa sasa hii Nchi haipaswi kutembelewa na yeyote anayeheshimika.
Sijui imekuwaje yaani
===
Mwanaharakati maarufu duniani wa masuala ya Elimu, Mjumbe wa Amani wa Umoja wa Mataifa na mshindi...
Wakuu,
Nimekutana na hii uko mtandaoni, sidhani mtu kama huyu ikitokea akapewa uongozi akaweza kuleta mabadiliko au maendeleo yoyote kwa wananchi, kwanza video hii itakupa maswali, Je yupo sawa...
Mbona naona kama nimekuja kuwasindikiza walimwengu? Age 30, kazi mshika chaki, familia na mke mtoto mmoja, elimu degree, uwezo wa kukopeshwa million 15, nina miaka 2 kazini.
Naweza kujenga...