Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Salaam,Shalom!! Nalikuwa katika Roho, usiku, ndani ya nyumba, ghafula nikapata uwezo wa kuona nje mawinguni. Naliona jeshi kubwa la Malaika na WATAKATIFU wakiongozwa na jemedari mkuu, Yesu...
28 Reactions
132 Replies
5K Views
Salaam, Shalom! Wengi humu mmetishwa muonapo nyoka, au kuota ndoto za kuona nyoka, Ni kweli, Biblia imemuhusisha Ibilisi na nyoka, Joka la kale, la zamani, akiitwa Joka, pengine Joka linatoa...
5 Reactions
8 Replies
678 Views
Salaam, Shalom!! Yapo majiji mazuri duniani Hilo halipingiki, Lakini, Pana Jiji liitwalo Jerusalem, Jerusalem ni Jiji pekee ambalo lipo duniani na Mbinguni. Na hayupo na hatokuwepo atakayeingia...
8 Reactions
42 Replies
2K Views
Salaam, Shalom! Unatenda mema, unajitunza, unahurumia maskini, na kutenda mazuri duniani na unamwamini Mungu, Kisha unamkataa Yesu, huko ni kupoteza muda, Hizi ni sababu kwanini kumwamini Mungu...
12 Reactions
218 Replies
7K Views
Salaam, Shalom!! Mungu ni Jina la Cheo kikubwa kuliko vyeo na mamlaka yote Mbinguni na duniani. Swali ni je, Mungu analo Jina lake binafsi? Jina la Mungu ni nani? Karibuni 🙏
9 Reactions
549 Replies
21K Views
Salaam ,Shalom! Siku za mwisho imeandikwa Upendo wa wengi utapoa, Yaani ufunge ndoa kanisani, tukushangilie Kisha chakula kiende kuliwa ukumbini Tena kwa kundi dog tu la watu! Kiukwelli zamani...
5 Reactions
37 Replies
1K Views
Polisi mkoani Morogoro wamemnasa dereva mwenye leseni ya kuendesha bodaboda akiendesha basi la abiria!!!
4 Reactions
63 Replies
2K Views
Kanisa la Mungu lipo mioyoni mwetu! Sisi tunamwabudu Mungu wetu wala hatujaua Mtu wala hatujaiba cha mtu wala hatujateka mtu. Jumapili ijayo chonde chonde makanisa yote ya ufufuo na uzima kila...
7 Reactions
24 Replies
1K Views
Je, umewahi kuona wanafunzi wakiwa wamerundikana katika kituo cha daladala huku wakiyaacha mabasi ya abiria hata kama ni matupu? Unajua siri iliyojificha miongoni mwao kama sio wengi wao...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Hakuna kosa lolote kisheria mtu kuwa na Yard ya magari kama kafuata utaratibu. Hizi akili za Chalamila ni za kurudisha nyuma maendeleo. Kusema litafutwe eneo la kujengea yards ni kauli ya kisiasa...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Katika hali ya kushangaza kabla hata ya mchakato wa uchukuaji na urejeshwaji fomu za kugombea nafasi za ubunge na udiwani jimbo la Musoma Mjini mbunge wa jimbo jimbo hilo anaemaliza Muda wake...
0 Reactions
7 Replies
470 Views
Tafsiri ya Kiswahili ya Qur'an 33:53: "Enyi mlioamini! Msiingie nyumba za Nabii ila mruhusiwe kwa chakula, wala si mkingojee kuiva. Lakini mkiitwa, ingieni. Na mkisha kula, tawanyikeni, wala...
1 Reactions
6 Replies
398 Views
INTRODUCTON: Shalom!! Nawakaribisha tena Mbinguni, Mbinguni ndiko tulikokuwako milele kabla ya Mungu kutuleta duniani kupitia pumzi ya uhai Kwa baba na mama zetu wa duniani. Mbinguni ni wapi...
12 Reactions
198 Replies
8K Views
''Unapoleta siasa kwenye msiba wakati watu wana uchungu wa kufiwa unawaongezea machungu, naamini Rais hakutoa agizo hilo'>>> Askofu Gwajima. Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat...
1 Reactions
222 Replies
28K Views
Changia maboresho ya huduma zetu kwa kujaza Dodoso la Kuridhika kwa Wadau kwa mwaka 2024/2025 kupitia link hii Welcome to BoT Stakeholders' Satisfaction Survey Bank of Tanzania (BoT) is conducting...
0 Reactions
6 Replies
319 Views
Habari za muda huu wakuu?? Jumamosi ya tarehe 5/7/2025 nilisafiri kuelekea mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Hai mjini wa Bomang'ombe. Nilifika Moshi mjini majira ya saa Moja usiku. Pale stendi...
0 Reactions
3 Replies
430 Views
Mikoa ya kusini Lindi Mtwara na maeneo ya Ruvuma miaka mingi sana hakuna miundo mbinu Bora barabara ni viraka vitupu Mfano kutoka liwale mpaka nangurukuli Zaidi ya 231km hakuna lami liwale to...
2 Reactions
15 Replies
661 Views
Anonymous
Azam kwanini mmeruhusu biashara ya udalali wa tickets kushamiri. Je, mnajua kuna watu wanashirikiana na watu wenu wa ndani kujua taarifa kama tiket zimeisha kisha wananunua tuseme zimebaki 100...
1 Reactions
6 Replies
410 Views
Mji wa Florence Italy ndo mji wa kwanza kupiga mji mzima paving mwaka 1339, leo hii ukitembelea nchi zilizoendelea ni nadra sana kukuta miji yao inavumbi, kama wao wameweza na sisi Tanzania...
8 Reactions
17 Replies
893 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…