Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
''Unapoleta siasa kwenye msiba wakati watu wana uchungu wa kufiwa unawaongezea machungu, naamini Rais hakutoa agizo hilo'>>> Askofu Gwajima.
Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akiwa msibani Moshi amemshukia Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa kuleta siasa msibani huko Arusha ambapo alimzuia mbunge wa jimbo hilo Godbless Lema kutoongea na kusema kama ni Rais alimtuma basi kuna tatizo.