Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naona nguo zimeanza kupauka Sina mishe Sina harakati Mbaya Zaidi Nina simu ya mkopo๐Ÿ˜ž
6 Reactions
60 Replies
2K Views
Kampuni ya Helium One, inayojihusisha na utafiti na uchimbaji wa gesi ya helium nchini Tanzania, imekamilisha zoezi la ulipaji fidia ya zaidi ya milioni 100 kwa wananchi wa Vijiji vya Itumbula...
0 Reactions
3 Replies
381 Views
โ€œIf Allah finds goodness in your hearts, He will give you better.โ€ โ€” Al Qurโ€™aan 8:70 He ni utambulisho wa jinsia ya kiume!
1 Reactions
45 Replies
995 Views
Mstari huu kutoka 1 Wakorintho 7:27-28 (New Century Version - NCV) unasomeka hivi: "Kama hujaoa, usijaribu kutafuta mke. Lakini ukichagua kuoa, hujatenda dhambi. Na kama msichana ambaye hajawahi...
17 Reactions
82 Replies
4K Views
Mods watu wangu wa nguvu badilisheni hapo kwenye heading njaa badala ya njia. Jamaa mjanja mjanja tu. Cuba sasa hivi Kuna njaa Kali. Mgao wa Kila kitu kwaanzia chakula, maji na umeme. Mwana...
0 Reactions
6 Replies
469 Views
Aliingia mfanyakazi wa kawaida katika duka dogo la dawa, uso wake umechoka na mikono yake imepasuka kwa sababu ya kazi nyingi. Akamuuliza mfamasia kwa sauti ya utulivu: โ€œJe, mna marhamu ya...
5 Reactions
12 Replies
705 Views
Habari wakuu. Je Kuna sababu yoyote iliyomfanya Mungu aweze kumlaani nyoka na Hawa pale katika bustani ya Edeni na kutoku mlaani Adam ikiwa wote walikosa? Ni kitu gani special Adam alikuwa nacho...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
โ€œNa anayataka dini isiyokuwa Uislamu, basi hatokubaliwa, naye katika Akhera atakuwa miongoni mwa wenye khasara.โ€ (Qur'an 3:85) Mnategemea nini? Mnauweza moto kweli?
1 Reactions
51 Replies
945 Views
Mlima Kilimanjaroโ€”maarufu kama "The Roof of Africa" ni zaidi ya kivutio cha kijiografia; ni iconic symbol of Tanzania's natural heritage na turathi ya kiulimwengu. Hata hivyo, pamoja na umuhimu...
2 Reactions
1 Replies
423 Views
Waliotamba Enzi za JK? Enzi za utawala wa Rais Jakaya Kikwete (2005-2015) zilikuwa zimejaa rangi na mvuto wa kijamii, hasa katika jiji la Dar es Salaam, ambapo wajasiriamali, wafanyabiashara, na...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Bila kupepesa macho au kumungโ€™unya mungโ€™unya maneno lets keep it one thousand. Hawa watu wanaohubiri kwa maspika, kwa makelele iwe masokoni,njiani au kwenye mabasi au wale wanaoimba gospel...
9 Reactions
30 Replies
2K Views
Kuna wakati unaweza kumsifia mtu kumbe bila kujua unamharibia. Privaldinho alianza vizuri andiko lake ila kumfananisha Mwigulu na mtu aliyekuwa na kashfa kibao za ufisadi na ukwepaji kodi sio...
0 Reactions
6 Replies
400 Views
Mwanafunzi wa Mwaka wa Tatu wa Shahada ya Awali ya Sayansi katika Mifumo ya Habari za Afya (HIS) kutoka Shule Kuu ya Uuguzi na Afya ya Jamii (SoNPH), Lucas Allen Haule ameibuka Mshindi wa Kwanza...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Kila jambo katika maisha ya mtu kwa kujua au kutokujua hupata nafasi katika maisha ya mtu kutokana na uchaguzi wa mtu huyo. Maisha yako ni jumla ya matokeo ya uchaguzi wako. Linda sana nguvu yako...
5 Reactions
9 Replies
386 Views
... Endelee kuzubaa wenzenu uchumi unakimbia huku
0 Reactions
3 Replies
409 Views
Nature ni nature kwa kila kumbe Ni ngumu Sana kwa kiumbe cha kike kujamiiana bila sababu binafsi Iwe mapenzi Pesa Au faida flani. Hivi hivi sio kweli Ngoja nilale kama chura jike
6 Reactions
32 Replies
1K Views
Ukiona umeona mambo ya kustaajabisha basi hujawahi kusikia hili la watu kufanya mapenzi na wanyama Ndio achana na sasa hivi mtu akifanya mapenzi na mnyama huonekana wa ajabu sana au huenda hana...
5 Reactions
48 Replies
4K Views
Robert Heriel Mtibeli ndo Kijana namba moja mwenye akili hapa Tanzania . Namuona Mbali Sana huyu Kijana, maana kwa umri wake wa miaka 31 tu Ila amefanya mapinduzi Makubwa ya kifikra kwa vijana ...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Tumeona mara kadhaa Rais akikataa Wabunge fulani fulani wasipitishwe, kauli maarufu ni hile ya msiniletee Magwajima. Wananchi hawana tena uamuzi kwa kuchagua kiongozi wanayemtaka zaidi ya...
7 Reactions
12 Replies
671 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ