Hell
Je ni somo gani umejifunza katika maisha ungependa wajifunze wengine pia
distance relationship ina nionyesha kuwa ni kwanini bank ina tawi kila sehemu. Vipi kwa upande wako
Habari wana jamvi nimekuja na tatizo apo nisaidiwe nina tatizo la kushtuka baadhi ya muda bila kufanya kitu chochote yaan ata kama hakuna kitu cha hatari naweza kuwa nachesea simu nikiacha...
Habari za muda huu ndugu zangu wana JamiiForum, baada ya kukaa na kufikilia sana nataka kununua jiko la gesi la Gesi la Plet 6 (4-Gesi + 2-Umeme), nina familia ya mimi na shemeji yenu tu na sitaki...
Nazani katika kuchezea kwako simu umeshawahi kukutana na ili neno VOICEMAIL, na najua unajiuliza mpaka Sasa hii feature inafanya kazi gani kwenye simu yako ?
Leo nakujuza Sasa โ usisahau kutu...
Watu watano wamejeruhiwa baada ya pikipiki ya magurumu matatu (guta) waliyokuwa wakisafiria, kugongana uso kwa uso na basi la abiria lenye namba za usajili T355 DCP lililokuwa likitoka Dar es...
kuna hadith mashuhuri inayopatikana katika vyanzo vya Sahih ambayo inaeleza kuwa mmoja wa matukio yatakayofuatana na Kiyama ni vita kati ya Waislamu na Wayahudi, na kwamba kila mti na jiwe litatoa...
Kufuatia balozi Polepole kujiudhulu na kwenye barua yake mwishoni kasema yeye atabakikuwa mwanchama mtiifu wa CCM huu ni mtego amewapa.
Yaani Polepole ninaemjua atatoa kauli moja ya kuchafua...
Wananchi 1,908 wametembelea Banda la Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) katika maonesho ya 49 ya kimataifa ya biashara, Sabasaba 2025 yaliyomalizika leo Julai 13, 2025
Hayo...
Mohamed Hussein Zimbwe Junior anatembea na Mkataba wa Yanga!!
Zinazoonekana Mtandao siyo Romans bali ni Ukweli,
Wakala wa Mohamed Hussein alikutana Na Uongozi wa Yanga Palm Hotel akapewa...
Mtumr.Mungu akubariki sana
Maboya
Nimeona clip yake anasema ntue wanawake wanaume mnakufa mapema sana kwa mambo ya kijinga
Kkama unaona mwenzio anakusumbua nenda mbagala akikusumbua nenda...
CCM wakimsimamisha mh Samia apeperushe bendera ya CCM kwa nafasi ya urais kutapelekea CCM kushindwa katika uchaguzi huo na wapinzani watachukua nchi kirahisi maana mh watanzania bara wengi...
Hii barua Ina kasoro kubwa sana ikiwemo hiyo.
Hapo amempa Amri "mwenyekiti" atekeleze Amri husika ,hili ni kosa la "kiufundi".
Utovu wa nidhamu alioonesha ni Kama vile amepishana kauli na bosi...
Ushabiki usiokua na mantiki Wala faida yeyote ile kijana upo kwenye keyboard unaisifia ISRAEL au IRAN wewe ni fala tu
SIMBA na YANGA zimekua dini za vijana wapumbavu upo tayari kumtukana mwenzio...
AJABU LA KWANZA: Haijalishi nyoka au mijusi majike watajamiiana na madume mangapi, lakini wana uwezo wa kuamua ni yai la dume yupi ndio lirutubishwe.
Yaani, watajamiiana na madume hata mia mbili...
๐ฅIfanye porno kuwa bure
๐ฅWafanye watoto wasahau mababu zao (ancestors)
๐ฅMfanye mwanamke ashindane na mwanaume katika ndoa
๐ฅMfanye mwanadamu azame katika itikadi alioletewa na kusahau utu na...
Huu ni ujinga usiostahili kuchekewa. Huna ulemavu au changamoto ya kiafya isiyoruhusu wewe kufanya mazoezi ya kukimbia halafu hata kumaliza 5km kwa kukimbia huwezi. Yaani hata ile pace ndogo ya...