Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Siku zinazo kuja itakuwa hata ukitaka kupata ganja halisi, itakubidi upande Dar Express au Kilimanjaro Express ukachukue mwenyewe Arusha. Kila kitu kimemuwa fake. Hata hawa wanao itwa Kuku wa...
17 Reactions
89 Replies
4K Views
Tanzania, kupitia Chuo cha Teknolojia Dar es Salaam (DIT), ina mpango wa kurusha satelaiti yake angani, ifikapo mwaka 2026. Chombo hicho, kitakuwa cha kwanza kurushwa angani na nchi hiyo, baada...
1 Reactions
26 Replies
1K Views
Habari za mchana wakubwa, Naomba kama kuna mtu ambae amesha Wahi kupata changamoto kama niliyo kutana nayo mimi anisaidie, kwa kifupi ni kwamba mimi Niko nchii jirani ya Zambia. Sasa kuna mdogo...
5 Reactions
6 Replies
509 Views
Mradi huu unalenga kuunganisha gridi ya Taifa ya Tanzania na Malawi kutoka Kituo cha Kupoza Umeme Cha Iganjo-Mbeya Hadi Mji Mkuu wa Malawi Lilongwe ambapo utawezesha biashara ya kuuziana umeme...
0 Reactions
1 Replies
824 Views
Ujumbe kutoka Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) ukiongozwa na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Rufani, Jaji Mstaafu Mhe. Awadh Bawazir umewasili Jijini Prishtina nchini Kosovo kwa ziara ya kikazi...
0 Reactions
0 Replies
213 Views
Tulikua kijiweni tunapoteza muda,jamaa mmoja akatuambia anataka ajilipue aende India kutafuta maisha. Nikawaza,then nikaingia youtube kucheck maisha ya wahindi wenyewe tu huko India ni mara mia ya...
21 Reactions
148 Replies
7K Views
Bodi ya mkopo inapaswa isitishe mara moja kipengere Cha anwani ya makazi yaani National Physical Address (NaPa) kama kigezo kikuu Cha kutoa mikopo Kwa watoto wetu kwani kina changamoto nyingi sana...
0 Reactions
13 Replies
993 Views
Ndugu zangu watanzania, somo la hesabu halikwepeki. Hesabu ndio mama wa maarifa yote duniani. Hesabu hazidanganyi. Mathematics co-exist with nature. Mathematics is the language of the universe...
9 Reactions
144 Replies
4K Views
MKATABA WA TAIKON NA MCHUNGAJI JONATHAN KANJUNJU KUHUSU USHIRIKA WANGU KATIKA KANISA LAKE Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Baada ya kukutana na Mchungaji Jonathan Kanjunju wa Kanisa la Cherubim...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
CCM ina hazina kubwa Cheki Mkuu wa Mkoa wa Arusha Kihongosi akionyesha uwezo wake mkubwa wa kuimbisha nyimbo za kizazi kipya https://youtu.be/eJgyNBrkPas?si=MrgfOBY0Fj3NtgUB
1 Reactions
0 Replies
304 Views
Kwenye pitapita zangu vijiwe mbalimbali vya wasap nikakuta kijana anaomba ushauri kuwa kati ya fully funded scholarship ya master's India kozi ya environmental science and ecology kama sijakosea...
19 Reactions
176 Replies
5K Views
Licha ya mavuguvugu yenye viashiria vya kutoweka amani, manung`uniko MENGI, na mwangwi wa uonevu, Bado nikiingia kwenye chumba changu cha Siri kumuuliza Mungu napata majibu chanya sana kuhusu...
1 Reactions
0 Replies
215 Views
UPO NA Imani kabisa kua LISU AKISHIKA NCHI itanyooka Toa evidence kupitia sera zake hapo chini👇👇👇
0 Reactions
11 Replies
396 Views
Shalom shalom Kumekua na kakundi ka watu wachache ambao kwa asilimia kubwa ni wezi na wala rushwa ambao kwakiasi kikubwa wanawakamua wananchi wenzao masikini hapa nchini sehem mbalimbali...
0 Reactions
4 Replies
348 Views
Sisi makabwela tutachelewa sana kutoboa maishani. Tuna jeuri zisizo na msingi wowote. Ni watu wa kupandikiza Hofu kwenye maisha. Hofu zisizo halisi Kumezuka vijitabia vya sisi makabwela ambao...
4 Reactions
19 Replies
757 Views
Twende Direct kwenye hoja/Topic. Naomba kutumia majina ya kutunga ila hoja zote ni uhalisia wa matukio ninayoyaona huku duniani nikakoishi... IKO HIVI ...... 1. SCENARIO 01 Tumuite John. John ni...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Kwa Mujibu wa Takwimu kutoka katika Tovuti ya StatCounter iliyotolewa leo July 13, 2025, Mtandao wa Facebook unaomilikiwa na Kampuni ya meta Umetoa Mialiko ya Watumiaji wa Tanzania zaidi ya 64,915...
3 Reactions
0 Replies
505 Views
Abdallah Katunzi, mhadhiri msaidizi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Julai 9, 2025 akizungumza kwenye mkutano wa Wadau wa Sekta ya Habari kuhusu uchaguzi mkuu, amesisitiza umuhimu wa Kuthibitisha...
0 Reactions
0 Replies
236 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…