Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huu ni Ushauri ninaoupeleka kwa Mamlaka inayosimamia Usafiri Nchini Tanzania. Kwa malengo mema kabisa usafiri wote wa umma kwenye barabara zote kutoka Chuo cha Uhasibu kupitia DUCE, Uwanja wa...
3 Reactions
33 Replies
928 Views
Watu wanatembea na visasi rohoni/moyoni. Nenda X muna alivyojibiwa
36 Reactions
65 Replies
4K Views
Mwenye kuelewa maana ya ndoto hii na anipe tafsiri. Tulikuwa tuna kampeni za uchaguzi mkuu, Mimi nilikuwa Mfuasi wa Chama Fulani Cha upinzani lakini nilikodiwa kufanya kampeni kwenye chama...
6 Reactions
14 Replies
785 Views
Polepole kabla hajawa balozi msimamo wake ni kuwa hii ni awamu ya 5 na Samia hatakiwi kugombea tena baada ya kumaliza hii miaka 4 iliyokuwa imebaki Na amejiuzulu ubalozi kwa sababu mchakato wa...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Fikiria miaka 25 ijayo: Je, maisha yatakuwaje ifikapo mwaka 2050? Teknolojia inakua kwa kasi kuliko wakati wowote katika historia ya binadamu. Leo, tunaona simu janja, magari yanayojiendesha, na...
3 Reactions
7 Replies
689 Views
Wewe Kijana unayejichua na wewe Kijana ambaye unaendeshwa na uzinzi Fanya hivi Maliza mwezi mmoja bila sex au kujichua Hakikisha unakula vizuri na kunywa maji. Kisha kajiangalie katika kioo...
22 Reactions
138 Replies
6K Views
Katika mjadala wa nguvu za mataifa na udhibiti wa rasilimali duniani, jamii ya Kiyahudi huibuka mara kwa mara kama kundi lenye ushawishi mkubwa sana hasa katika masuala ya kifedha, kisiasa, na...
0 Reactions
0 Replies
419 Views
Foleni zimekuwa ni jambo la kawaida, hasa kwa wanaosafiri kuelekea maeneo ya Mbagala au Buza, ambako safari inaweza kuchukua hadi saa tatu kufika, sehemu ya kufika ndani ya lisaa limoja hata kama...
0 Reactions
3 Replies
253 Views
Kuna watu wanatumika kama vyombo vya kueneza ubaya na kufanya ubaya pasipo wao kujua kuwa ni vyombo. Katika kitabu cha 48 Law of power .- Ambacho kinazungumzia mbinu mbalimbali za kuwa na Power...
2 Reactions
10 Replies
586 Views
Kesi ya Tundu Lissu imeahirishwa, tena. Sasa ni mpaka tarehe 30 Julai, 2025. Lissu amenukuliwa akisema: โ€œWanachokifanya hiki cha kurudi hapa na kuomba ahirisho kila mara ni kupoteza muda... Ni...
2 Reactions
5 Replies
301 Views
Mimi namtegemea Mungu pekee, sitegemei binadamu...alisema Ninajiuliza huyo Mungu atashuka kukufanyia wewe jambo fulani? Sio kwamba anapotaka kufanya anafanya kupitia hao watu? Ulipoumwa si mtu...
1 Reactions
0 Replies
139 Views
Kila mmoja anasema pesa zipo kwenye personal brand! Lakini hawasemi maana halisi ya Personal brand. Kwa lugha ya mtaani personal brand ni kama yule dalali ambaye anajulikana mji mzima. Na kila...
2 Reactions
1 Replies
348 Views
Aisee hiki kinyang'anyiro cha foleni hapo korogwe NI hatari kwanin tahmini haikufanyika kuhusu ujenzi utakavyoathiri hii Barabara yaani kutokea maji chumvi ikifika saa moja unaweza ukashanga...
0 Reactions
0 Replies
222 Views
https://youtu.be/DfwL5QaP64Q?si=VfdAw3erDx0hThYP Uchambuzi wangu UTV Azam media- morning trumpet juu dhana ya viongozi wengi Afrika kusalia madarakani kwa muda mrefu kwa kofia ya demokrasia na...
0 Reactions
0 Replies
230 Views
Kwa mfano mtu alie fanya Masters in Psychology vs mtu alie soma let's say vitabu elfu moja about psychology. Nani anakuwa nondo zaidi katika kwenye eneo husika la kitaaluma kwenye nyanja hiyo ya...
6 Reactions
46 Replies
2K Views
Mfumo wa anwani za makazi umekua changamoto kwenye kufanya application za HESLB, changamoto tunayokutana nayo nikama ifuatavyoo; 1. Mfumo unataka taarifa za mmiliki wa eneo(Nyumba) husika,, hii...
5 Reactions
63 Replies
7K Views
Katika dunia ya leo yenye kasi na mitazamo ya haraka, mara nyingi tumekuwa wepesi wa kutoa hukumu dhidi ya watu kwa misingi ya taswira au taarifa za juu juu. Mojawapo ya maeneo haya ni matumizi ya...
7 Reactions
37 Replies
1K Views
๐Ÿ‘‰ Jesus News Radio Katika jamii nyingi, hasa zile za Kiafrika, wanawake wamekuwa wakichukuliwa kama watu wa pili ndani ya familia au ndoa. Lakini ukweli usiopingika ni kwamba wanawake ndio nguzo...
2 Reactions
42 Replies
2K Views
Serikali mmetufanyia dharau wakulima wa kahawa Mwaka Jana tuliuza kahawa bei ya 7000+ Kwa kilo Mwaka huu mmetoa bei elekezi ya kuanzia angalau sh 5500 Ila ajabu bei imeshuka Jana mnada bei...
1 Reactions
3 Replies
548 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ