Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba Kabudi amesema yeyote anayefanya kazi za kihabari bila kuwa na Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Press Card) kinachotolewa na...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba akionyesha Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Press Card) kinachotolewa na Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari-JAB mbele ya...
Habari wakuu,
Sikutaka kupitia kwa dalali hivyo nimekuja kwenu moja kwa moja kama una mjengo unauza tuwasiliane moja kwa moja na mimi tufanye biashara natafuta mjengo mmoja mkali sana, hata kama...
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Humprey Polepole, alilazimika kuongoza magari ili kupunguza foleni Sinza. Siku hiyo kulikuwepo Ajali ya moto katika bar ya Carribean night club Sinza
Ilikuwa 12 Ago 2016...
Nashauri wizara ya elimu ifute somo la uraia, badala yake wanafunzi kuanzia chekechea hadi chuo kikuu wafundishwe somo jipya la mama.
Napendekeza somo lenyewe liitwe
"Mama Samia - Nyota...
Kuna watu humu wanawatusi sana waislamu na uislamu wao. Wanawashutumu mambo mazito mazito. Sasa mimi naomba tufanye hivi... Madrasa tunazijua vizuri mitaani na wengine tunazifikia mpaka kuweza...
Kwa wataalamu wa mipango miji na wajuvi wa mambo, ni eneo gani hapa Dar kwa kijana anayejitafuta, mwenye kipato cha kati anaweza kununua Kiwanja kwa lengo la kujenga makazi ya familia ndani ya...
Daktari bingwa wa watoto kutoka Hospitali teule ya Kibosho Wilayani Moshi Mkoani Kilimanjaro, Magreth Joseph Swai (30) ameripotiwa kujiua kwa kujinyonga kwa kutumia waya wa antena.
Akizungumza...
Huu ni Ushauri ninaoupeleka kwa Mamlaka inayosimamia Usafiri Nchini Tanzania.
Kwa malengo mema kabisa usafiri wote wa umma kwenye barabara zote kutoka Chuo cha Uhasibu kupitia DUCE, Uwanja wa...
Mwenye kuelewa maana ya ndoto hii na anipe tafsiri.
Tulikuwa tuna kampeni za uchaguzi mkuu,
Mimi nilikuwa Mfuasi wa Chama Fulani Cha upinzani lakini nilikodiwa kufanya kampeni kwenye chama...
Polepole kabla hajawa balozi msimamo wake ni kuwa hii ni awamu ya 5 na Samia hatakiwi kugombea tena baada ya kumaliza hii miaka 4 iliyokuwa imebaki
Na amejiuzulu ubalozi kwa sababu mchakato wa...
Fikiria miaka 25 ijayo: Je, maisha yatakuwaje ifikapo mwaka 2050? Teknolojia inakua kwa kasi kuliko wakati wowote katika historia ya binadamu. Leo, tunaona simu janja, magari yanayojiendesha, na...
Wewe Kijana unayejichua na wewe Kijana ambaye unaendeshwa na uzinzi
Fanya hivi
Maliza mwezi mmoja bila sex au kujichua
Hakikisha unakula vizuri na kunywa maji.
Kisha kajiangalie katika kioo...
Katika mjadala wa nguvu za mataifa na udhibiti wa rasilimali duniani, jamii ya Kiyahudi huibuka mara kwa mara kama kundi lenye ushawishi mkubwa sana hasa katika masuala ya kifedha, kisiasa, na...
Foleni zimekuwa ni jambo la kawaida, hasa kwa wanaosafiri kuelekea maeneo ya Mbagala au Buza, ambako safari inaweza kuchukua hadi saa tatu kufika, sehemu ya kufika ndani ya lisaa limoja hata kama...
Kuna watu wanatumika kama vyombo vya kueneza ubaya na kufanya ubaya pasipo wao kujua kuwa ni vyombo.
Katika kitabu cha 48 Law of power .- Ambacho kinazungumzia mbinu mbalimbali za kuwa na Power...
Kesi ya Tundu Lissu imeahirishwa, tena. Sasa ni mpaka tarehe 30 Julai, 2025.
Lissu amenukuliwa akisema:
“Wanachokifanya hiki cha kurudi hapa na kuomba ahirisho kila mara ni kupoteza muda... Ni...
Mimi namtegemea Mungu pekee, sitegemei binadamu...alisema
Ninajiuliza huyo Mungu atashuka kukufanyia wewe jambo fulani? Sio kwamba anapotaka kufanya anafanya kupitia hao watu? Ulipoumwa si mtu...