Baada ya Gwajima kukemea utekaji nadhani wote mmeona kilichotokea
Kwa akili ya vidudu haihitaji passport wala visa kujua nani aliekerwa na kauli ya gwajima
Mwizi hawezi kukasirika akisikia...
Serikali Kupitia Mradi wa kuboresha Ubora wa Elimu Sekondari (SEQUIP) imetoa kiasi cha zaidi ya Shilingi Bilioni 5.7 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya ujenzi wa shule mpya mbili za sekondari...
Bodi ya mkopo inapaswa isitishe mara moja kipengere Cha anwani ya makazi yaani National Physical Address (NaPa) kama kigezo kikuu Cha kutoa mikopo Kwa watoto wetu kwani kina changamoto nyingi sana...
Kwa mwanaume ukifika age ya 25 mpaka 35 hiki kipindi ndio cha kujenga Empire yako, tafuta mwanamke size yako oa zaeni watoto jengeni familia yenye nguvu.
Ukishafika age ya 36 mpaka 45 hiki ndio...
Hivi wewe unajisikiaje unapotukanwa Matusi ya Nguoni na Mlevi anaekunywa Pombe mpaka anajinyea? How do you feel?
Yaani mlevi anaekunywa pombe mpaka anashindwa kujizuia haja kubwa anaanza...
Eneo la duka jipya mtaa wa Yangeyange kata ya Msongora kijiwe cha pikipiki kimekuwa genge la vijana kuuza na kuvuta bangi asubuhi mpaka usiku hadharani bila uoga.
Hiyo haitoshi wamekuwa wakikaba...
Wakuu, nilikua nimechill na jamaa yangu hapa tunajiuliza huyu Gwiji atakua na umri gani kutokana na muonekano wake. Sisi tulidhani anaweza kuwa kwenye 46 yrs.
Ikabidi tuingie Google tukakutana na...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza muda huu moto unawaka ktk hizo kotas
Baadhi ya sehemu ya jengo hilo ndio linaugua moto.
Updates.
Mali zote zimeonekana kuteketea katikaApartment namba...
Katika mitaa ya Maseru, mji mkuu wa Lesotho, viwanda vya nguo vilivyokuwa na oda nyingi vimefungwa. Wafanyakazi waliokosa kazi wanasimama kwa foleni chini ya jua kali, wakiinua mabango yanayosema...
Sijui tunaelekea wapi mbona kila kitu cha Mama
==========
Chama cha Vinyozi Tanzania (TBU) leo kimezungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam, kikitoa pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Mazoea yamekuwa desturi, baada ya kuchangia kwa miaka mingi mifuko hiyo hadi kustaafu sasa wastaafu ndio wana kumbana na adha ya kupewa pesa zao utadhani wanaomba kazi upya.
Kwanza...
Mama mmoja anayefahamika kwa jina la MAGDALENA ZABRON NTONELA Mwenye umri wa miaka 65 mkazi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji mkoani Kigoma, ameomba kulipwa mafao ya Serikali Kuu, kupitia mfuko wa...
Wajuzi wa mambo wazoefu ,tupeni uzoefu kwaliofanya kazi za tenderza serikali hasa zakusuplly materia katika mashule na zahanati pamoja na ujenz wake,zikoje nazo zinakujuana nakucheleweshewa...
Kila unachokifahamu kuhusu wewe na kuhusu dunia ni taarifa kutoka kwa Wazazi, Ndugu, Pastor au Shehe, Mwalimu.
Binadamu anapozaliwa huja duniani na kuwekwa kwenye Mwanga, Mwanga ni kitu muhimu...
1. Mwalimu wa kiume anayefundisha shule za wasichana
-Huyu muda wowote kinaumana
2. Mwanajeshi anayefundisha au kusimamia kuruti wa kike
-huyu pia mambo yanaweza kwenda kombo muda wowote kama...
Kichwa cha habari kwenye video ya YouTube mara nyingi hutengenezwa ili kuvutia macho ya watazamaji, si lazima kiwakilishe ukweli wa kilicho ndani yake.
Watu wengi wanaweka vichwa vya kushangaza...
Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe akiangalia mdoli wenye muonekano wa binadamu (Manikin) ambao umeunganishwa na teknolojia inayowezesha mdoli huo kujieleza namna inavyoumwa wakati huduma...
Leo hii majira ya saa 11 jioni katika Block Namba 4 ghorofa ya Saba, Kota za Magomeni Jijini Dar es Salaam imeungua moto ambao chanzo chake, kwa mujibu wa Jeshi la Polisi na Uokoaji Mkoa wa...
Nimesikitishwa kuona maoni ya dhihaka na kejeli kwa mtu aliyefiwa na mkewe kisa chuki na visasi vya watanzania waliokwazwa na kauli zilizowahi kutolewa na baadhi ya viongozi.
Ninawaomba viongozi...
Dar es salaam Vijana wengi ni Maskini ila wanamiliki iPhone na wanajua kunyoa na kuvaa vizuri and that's what give them confidence..
If you visit here hangaika na kilichokuleta.
Ukishaanza...