Wizara ya Katiba na Sheria Yahudumia 3,000 Msaada wa Kisheria Sabasaba
Watu zaidi ya 3,000 wamepatiwa msaada wa kisheria na Wizara ya Katiba na Sheria, ndani ya siku 13 kwenye Maonesho ya 49 ya...
Nikiwa Rais wa Tanzania kwa mda huu ambao natural satellite bado hazijaanza kutumika ni vizuri tukaanza kuzalisha na kuuza natural satellite zenye uwezo mkubwa sana
Ni kweli kuna uzi nilisema...
Dudu Baya umemaliza kila Kitu. Tuliobahatika kutembea kidogo hapa na pale nchi kadhaa (Team Passport kujaa Mihuri ya Uhamiaji) tunakuunga mkono kwa 99.9%.
Nilikuwa najiuliza sana tu kwanini...
Kuna jamaa namfahamu ni Mlinzi na anapokea Mshahara wa Shilingi Laki Moja na Elfu Themanini za Kitanzania ila ana Watoto Sita na Mahawara Watatu halafu Kutwa tu ukikutana nae Kijiweni ndiyo...
Wakuu,
Leo tunashuhudia jambo ambalo si la kawaida kwenye siasa za Tanzania. Humphrey Polepole mwanasiasa wa muda mrefu wa CCM, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa zamani, Mbunge, na kisha Balozi โ...
Ezbon Mujuni (28) mkazi wa kijiji cha Bunazi Wilaya ya Missenyi Mkoa wa Kagera amehukumiwa kwenda jela miaka 20 kwa kosa la kuchimba na kuiba nguzo 3 za umeme na nyaya zenye thamani ya Tsh...
Wakuu hasa wabobevu kwenye dini na biblia hivi Noah (Nuhu) alijuaje jinsia ya viumbe vyote alivyoambatana navyo kwenye SAFINA?
Mfano; Alijuaje jinsia ya sisimizi, sungusungu, kunguni, siafu na...
Kuna kampuni kibao za mabasi, mahoteli, utalii, n.k. zimekufa kwasababu hii.
Tatizo kubwa la kampuni za Kitanzania ni UBINAFSI. Wengi kampuni zao ni sole proprietorship, wanazuga tu kwa kusajili...
TGOS A
TGOS A 1. (Sh240,000), TGOS A 2. (Sh245,600), TGOS A 3. (Sh251,200), TGOS A 4. (Sh256,800), TGOS A 5. (Sh262,400), TGOS A 6. (Sh268,000), TGOS A 7.(Sh272,000), TGOS A 8(Sh279,000), TGOS A...
Hizi ni baadhi ya aina mbalimbali za Biblia ambazo zipo kwa Kiingereza na Kiswahili, Zina tofautiana katika maudhui na tafsiri wengine wali tafsiri neno kwa neno (literal), wengine maana kwa maana...
Habari ya muda huu wanajukwaa.
Nimelazimika kuandika hapa jukwaani kuhusu taasisi tajwa hapo juu. Tangia mwezi oktoba nilijaza fomu za kuomba fao. Nilijibiwa kama taarifa zimepokelewa na mwajiri...
Yaani mnajitekenya wenyewe halafu tena mnacheka wenyewe. Kwahiyo mmeana Suala la 'Genius' Lissu huko Mahakamani linawaendea vibaya mkaamua kukaa Kikao na Mfumo ili kuja na Jambo la ghafla ambalo...
( Nilikua na miaka kati ya 4-6) Ila kabla sijaanza SHULE ya msingi.
Tumelelewa na singo Maza kwahiyo alikua bize sana kupambania ugali wanae tusilale njaa. Alikua mjasiriamali kwahiyo muda...
Kumbe kwenye huu ulimwengu wa Galaxy Dunia ni moja wapo ya Sayari 1 kati ya sayari trilioni 3 zilizopo kwenye Galaxy Yetu.
Ukisikia neno ๐๐ฎ๐น๐ฎ๐ ๐ ๐ป๐ฎ๐ท๐๐ฎ ๐๐ฒ๐ป๐ด๐ถ ๐๐ฎ๐๐ฎ๐๐ฒ๐บ๐ฎ ๐ป๐ถ ๐ฆ๐ถ๐บ๐ ๐ง๐ผ๐ธ๐ฎ ๐ฆ๐ฎ๐บ๐๐๐ป๐ด lakini...
SABABU ZA NDUGU KUTO KUFURAHI MAFANIKIO YAKO๐ฐ
Kuna sababu kadhaa zinazoweza kuchangia ndugu au watu wa karibu kutokufurahi mafanikio yako. Hizi ni baadhi ya sababu kuu:
1. Wivu na Husuda: Wakati...
Kuna jambo moja watu wengi huchukulia poa hadi wapitie wenyewe: msaidizi wa karibu sana anaweza kuwa mtesi wako mkubwa kuliko hata adui wa mbali. Ndugu zakoโwale mnaoshiriki damu mojaโwakiamua...
Mtu ambaye amekutesa maisha ya utotoni Mwako hata hela ya Shule hakukupa akiamini huwez fika kokote
Chumba nilichokua nakaa alikipingasha akisema maisha magumu hivyo chumba chake kingemsaidia...
Habari wadau mimi ni kijana wa 30+ nina mke na mtoto mmoja ni muajiriwa wa serikali .
Nilimaliza chuo mwaka 2015 ila nikaajiriwa 2021 kipindi namaliza chuo nilipitia wakati mgumu sana wa ukosefu...
Wakuu,
Kwa kawaida hata mtu mwenye miaka 90+ bado anatangaza nia ya uraisi na wananchi wanashangalia na anashinda kwa asilimia zaidi ya 70+ mbunge mwingine hata kusimama tuu ni changamoto
Lakini...