Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Usafiri wa ✈️ ndege ni Usafiri wa kipekee sana ulimwenguni kwani inasemakana ndo Usafiri salama na wa Amani zaidi kuliko Usafiri wa Gari au boti majini lakini inapotokea ajali mara nyingi...
0 Reactions
8 Replies
594 Views
Yaaan mwezi huu tu NIMEONA watu zaidi ya kumi wamejinyonga Hivi majuzi dk swai nae kajinyonga pale Moshi Nduguyetu Ronaldo mfanyabiashara WA Moshi msaranga nae KAJIUA Leo nimeangalia taarifa ya...
0 Reactions
5 Replies
348 Views
Huyu Kijana nimekuwa nikimuona Ana brag anawatukana wakenya kuwa hawana pesa n.k Ila sasa MTU ambaye hajui matumizi ya H na A na hajui matumizi R na L unaweza kumsikiliza. Huyu ni motivation...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Hili sasa lifike Mwisho. Na Lazima tukumbuke kwamba tuko mwaka gani. Sitaki amini eti, AFYA YA AKILI kwa matukio haya. Hapana Dkt. Gwajima D njoo utuambie shida ni nini. Mauaji ya hovyo...
2 Reactions
4 Replies
307 Views
NILIKUWA NASOMA TAARIFA MOJA YA AJALI YA AIR INDIA KTK MAMBO YALIYOSABABISHA AIR INDIA KUDONDOKA KUNA KIFAA CHA MAMBO YA MAFUTA WALIKIWEKA OFF BADALA YA ON KABLA YA TAKEOFF RUBANI MSAIDIZI KUJA...
6 Reactions
19 Replies
817 Views
JUMLA YA SMS BILIONI 52.8 ZIMETUMWA NA KUPOKELEWA MWEZI JUNI 2025 SAWA NA ONGEZEKO LA ASILIMIA 6 UKILINGANISHA NA MWEZI MACHI 2025 idadi ya sms ndani ya nchi imeongezeka kutoka sms bilioni 50...
0 Reactions
2 Replies
321 Views
🩸 "Sio dharau, ni self-protection!" 1. 👉 Unajiokoa na wivu wa mtaa Mtaa una macho lakini hauna moyo. Watu waliocheka na wewe jana, wakiona unainuka, ghafla wanakuona kama adui. Kuhama ni kukwepa...
1 Reactions
3 Replies
389 Views
Ghafla kila mtu arudi mkoa aliozaliwa wewe utarudi mkoa gani ?? Kwangu mimi nitarudi kigoma ndio nilipo zaliwa Sijui wewe ?.....
2 Reactions
31 Replies
837 Views
Kama ndio tumefikia hapa naanza kuelewa kwa nini wameamua kumkomesha gwajima kwa waumini wake. Sasa tunaona kwa polepole kuanza kuteswa ambao hata sio wahusika. Ili taifa linapita wakati mgumu.
2 Reactions
5 Replies
402 Views
Tafadhali tuzingatie zaidi neno Taifa lolote lile Duniani nikimaanisha hapa inaweza kuwa ni nchi yoyote kama vile Malawi ya Kaskazini, Venezuela, Sudan Kusini na hapa Kisiwa cha Puerto Rico ambapo...
5 Reactions
11 Replies
661 Views
Matatizo yamenikuta niko nchi za watu kwenye ibada ya marehemu makaburini Kwakua akili yangu haipo idle, nikawa nafanya observations mbili tatu. Kwanza, hawa watu wanaeshimu wafu wao, makaburi...
4 Reactions
31 Replies
1K Views
Kama umeishi kwenu au ulikuwa na kwenu penye familia yenu hadi ukaondoka kwenda kuanza maisha yako shukuru sana, watu wengi sana huwa mnachukulia poa kuwa na kwenu lakini ni utajiri mkubwa sana...
9 Reactions
8 Replies
655 Views
KAMA KIJANA MDOGO ANGEKUJA KUNIULIZA KUWA; NI MHUSIKA GÀNI KWÈÑYE BIBLIA AWE ROLE MODEL WAKE. MIMI NINGEMCHAGULIA MHUSIKA HUYU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Leo sitaki kugombana na Mtu...
15 Reactions
83 Replies
5K Views
Habari wanajamiiforum. Muda huu ninaona ni vyema nitoe dukuduku langu ili nipate msaada na ushauri nasaha Nilianza kujitambua kuwa ni mgonjwa wa akili tangu mwaka 2021(msongo).kipindi hicho...
16 Reactions
121 Replies
5K Views
Imekaaje hii? Saa 11:20 alfajiri unapishana na schoolbus zimebeba wanafunzi wadogo wa miaka 4-6 wakipelekwa mashuleni. Unabaki unajiuliza maswali mengi sana kichwani, Hivi Hawa watoto wameamshwa...
122 Reactions
356 Replies
23K Views
TAASISI ya Elimu Tanzania (TET)imetoa rai kwa wazazi na walezi wenye watoto wanaosoma madarasa ya awali, msingi, sekondari ,vyuo pamoja na watu wenye mahitaji maalum kununua vitabu vya mitaala...
0 Reactions
5 Replies
699 Views
Hivi uzio wenye waya wa umeme unazuia kweli vibaka? Kwenye video hapo chin ya CCTV iliyowanasa vibaka wakivunja fensi ya umeme kwa miguu. Yani dawa yao hawa kenge ni rottweilers, Pitbull na...
13 Reactions
70 Replies
4K Views
Nahitaji mtu ambaye anaweza kunisaidia kupata cheti changu cha kuzaliwa harafu akanitumia haraka iwezekanavyo. Scammers usipoteze muda wako, malipo yatafanika face to face na mtu wangu ambaye yupo...
1 Reactions
12 Replies
776 Views
Hakuna DHAMBI tunayoifanya ipelekee kuchukiwa na Mungu wetu. Bado anakupenda sana. Ni hilo tu. Usiku mwema.
5 Reactions
13 Replies
468 Views
Sina historia ya kuwa kiongozi serikalini, sina historia ya kuwa mwanachama wa chama chochote na watakaoniweka madarakani ni nguvu ya wananchi Sina umri wa miaka wa kikatiba wa kugombea Urais ila...
7 Reactions
77 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…