Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huko mavyuoni sitegemei kama kutakuwa tena na assignment ngumu ya kufanya wikiend ziwe ngumu Nawashauri wanaoteseka na mapenzi au wanaohisi kutengwa na watu wao wa karibu,ebu ingia humo chat nalo...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Daaaah! Eeeeh bwana eeeh, katika pitapita zangu huko mitandaoni leo nimekutana na hii video. Hivi harakati za utafutaji ndio zimetufikisha huku kweli? Utu uko wapi? Ubinadamu uko wapi? Tena hii...
0 Reactions
11 Replies
583 Views
Nimemsikiliza professor wa shule ya uongozi , chuma cha mjerumani ndugu" slowslow ", kwa Kujiamini kwake na namna alivyojipanga kusukuma kete zake. Niwazi mtu huyu alipata zaidi ya uzoefu wa...
4 Reactions
11 Replies
631 Views
Kwanini jamii ya Leo imekuwa na tabia ya kumhukumu mtu kiurahisi ? Kwanini hampendi kusikiliza upande wa mtu wa pili bila kumhukumu๐Ÿฅบ?? Kwanini mnashindwa kutambua kuwa kuna mambo mtu anayafanya...
4 Reactions
12 Replies
427 Views
Darasa la 1-7 una amka saa 1 asubuhi Form 1-4 una amka saa 1 asubuhi Form 5-6 una amka saa 1 asubuhi Chuo kikuu una amka saa 1 asubuhi Kazini una amka saa 1 asubuhi Huu ni mzunguko wa maisha yako...
5 Reactions
42 Replies
1K Views
Hili ni swali mtu yeyote mwenye Majibu achangie Imagination zangu Baada ya uhuru wa Tanzania watu wengi hawakuwa na elimu wala shughuli yeyote ya kiuchumi, ujinga na umasikini ulikuwa kwa...
0 Reactions
7 Replies
520 Views
Kila ukikatiza mitaa mbalimbali nchini Morocco utakuta mabango, matangazo mbalimbali, binafsi au ya serikali, majina ya mitaa, kila kitu kimeandikwa kwa lugha mama ya kiarabu kisha kwa maandishi...
1 Reactions
5 Replies
396 Views
, ambayo itagharimu shilingi bilioni 9 hadi kukamilika kwake. Katika hafla fupi ya makabidhiano ya eneo la ujenzi na usaini wa mkataba iliyofanyika jana, Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwassa...
0 Reactions
2 Replies
452 Views
WAKATI WA JIONI KUTAKUWAKO NA NURU. Zekaria 14: 6 โ€œTena itakuwa siku hiyo, ya kwamba nuru yake haitakuwa na mwangaza na kiwi; 7 lakini itakuwa siku moja, iliyojulikana na Bwana; si mchana, wala...
0 Reactions
1 Replies
322 Views
Nafikiri hii ilikua kwa ajili ya usalama wa abiria na mali zake ? Au ni kwa ajili ya walipa kodi wengine huyu Abood yeye haimhusu ? Nimeona taarifa kutekwa kwa kada wa Chadema aliekua ndani ya...
1 Reactions
1 Replies
344 Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeanza utekelezaji wa mradi mkubwa wa ujenzi wa ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera kwa gharama ya...
0 Reactions
1 Replies
318 Views
Leo nakuletea baadhi ya makosa ambayo yalipelekea Sababu Mbalimbali kampuni au nchi kushindwa kwenye masuala ya Teknolojia ulimwenguni. 1๏ธโƒฃ Tanzania kushindwa kumruhusu Elon musk Matumizi ya...
1 Reactions
5 Replies
350 Views
Mtu yeyote ambaye katika maisha yote ya utoto ,ujana na uzee kama haujawahi hata kulala kituo cha polisi bado haujakamilika
4 Reactions
49 Replies
1K Views
JamiiForums ni kama ulimwengu wa giza, kwa sababu kuna kila aina ya vitu unavyo vihitaji. Ndio mtandao unaoongoza kuwa na ID fake, asilimia 70% ya wanaotumia JF ni watu wasio julikana. Siri zote...
8 Reactions
22 Replies
657 Views
Polisi Mkoani Geita linamshikilia Mtuhumiwa Mmoja aliyefahamika kwa jina la Nickson Johson (54) Mkazi wa Manispaa ya Geita anayetuhumiwa kuhusika katika Mauaji ya Mwalimu Dorosela Salvatory (45)...
2 Reactions
2 Replies
505 Views
Haya matunda ukiwa mjini unaweza usiyale miaka kadhaa.
9 Reactions
52 Replies
2K Views
Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa shilingi Bilioni 19.6 kwa ajili ya Mradi wa Kuboresha Ubora wa Elimu ya Sekondari SEQUIP mkoani Njombe Kati ya...
0 Reactions
1 Replies
245 Views
Uthibitishaji wa taarifa ni msingi unaowawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi kutokana na Taarifa sahihi mathalani kipindi cha uchaguzi, hili linafanikishwa kwa mapambano dhidi ya taarifa...
0 Reactions
2 Replies
519 Views
Algiers, Algeria โ€“ Julai 17, 2025 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Geophrey Mizengo Pinda (Mb), ameiwakilisha Tanzania katika Mkutano Mkuu wa 44 wa mwaka wa Taasisi ya...
0 Reactions
2 Replies
245 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ