Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Miradi yenye thamani ya zaidi ya Sh.Bilioni 62.6 iliyojengwa katika halmashauri saba za zilizopo katika Mkoa wa Singida inatarajia kuzinduliwa na kukaguliwa na Mwenge wa Uhuru 2025 ambao...
1 Reactions
1 Replies
298 Views
Tarehe 16 Julai 2025, Mahakama Kuu ya Malawi ilitoa uamuzi wa kutangaza kuwa Kifungu cha 200 cha Kanuni ya Adhabu, kinachohalalisha kashfa kuwa kosa la jinai, ni kinyume na Katiba. Mleta maombi...
0 Reactions
3 Replies
713 Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) amewasili jijini Minsk, Belarus kwa ziara ya kikazi ya siku nne kuanzia tarehe 21 hadi 24 Julai 2024...
1 Reactions
1 Replies
364 Views
Ni maambukizi ya viungo vya uzazi vya mwanamke, kwa kawaida huhusisha uterasi, mirija ya uzazi, au ovari. Mara nyingi husababishwa na bakteria ya zinaa, bakteria wengine, UTI iliokomaa na...
5 Reactions
6 Replies
561 Views
Watu wako serious —baada tu ya kujifunza na kujua faida zake wameanza kuyapanda majumba. Huu mmea unasurvive popote hata kama unaishi nyumba ya kupanga, panda kwenye ndoo na uweke chumbani kwako...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Teknolojia tamu bhana!! Ikiwa una simu yako zamani Umeichoka tafadhari usitupe✋, hivi unajua unaweza kubadilisha simu uliyokuwa nayo kuwa Kamera ya ulinzi nyumbani kwako. Inawezekana umeshindwa...
2 Reactions
7 Replies
547 Views
Chama ni jina lililosajiliwa tu ila wahusika wakuu ni watu ambao ndio watendaji wakuu wa hilo jina au taasisi iliyosajiliwa ili iwe na utajo au utambulisho maalum Kimsingi CCM na CHADEMA sio...
1 Reactions
0 Replies
176 Views
Mdogo mtu huwa anapitia misukosuko mingi ila kaka mtu kamwe hajawahi kaa pembeni. Tundu Lissu ana bahati kuwa na kaka kama Alute. Hakika Alute ni mfano wa kuigwa. Apewe tuzo ya kaka bora. Ila pia...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Tukio gani la ajabu umewahi kushuhudia usiku ??? #Funguka
4 Reactions
29 Replies
1K Views
STORM: Stanford's AI Revolution in Research and Content Creation In today's world, where information is abundant but often fragmented and overwhelming, the need for efficient and reliable...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Japanese scientists have begun human trials of a new drug designed to regrow human teeth, offering a potential alternative to traditional implants and dentures. The drug, TRG-035, works by...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Huku Mwanza ni zaidi ya wiki, Matangazo ya TBC Taifa na Bongo FM yanakatika katika na tunawaambia hawachukui hatua yoyote. Hebu rekebisheni matangazo yenu,hivi hamuoni aibu.
0 Reactions
1 Replies
254 Views
Wakuu, naomba kwa mwenye uelewa anisaidie kidogo kwenye hili. Naomba kueleweshwa kwa mfano Simba wengi namaanisha wengi wakaamua kutoka MBUGANI kwenye Hifadhi ya Wanyamapori wakaingia mjini watu...
11 Reactions
112 Replies
3K Views
Polepole hajamshambulia mtu, yeye ametoa hoja kuwa mchakato wa upatikanaji wa mgombea wa CCM ulikosewa Haukufuata katiba na taratibu za chama, lkn badala yake watu wanaomjibu wamejikita...
0 Reactions
0 Replies
200 Views
No matter what you do today don't sink anyone's boat. Because the ocean is wide enough for us all to sail comfortably.
6 Reactions
5 Replies
324 Views
Jana nilienda ofisi ya kata kukutana na afisa maendeleo. Lengo langu ni kuingizwa kwenye mfumo wa wajasiriamali wadogo wadogo ili niweze kupata kitambulisho ambacho baada ya kusajiliwa unalipia...
1 Reactions
0 Replies
252 Views
Yesu wa Nazareti hakuwa tu mwalimu wa dini; alikuwa kielelezo cha uhuru wa kiroho na haki ya ndani isiyotetereka mbele ya mamlaka ya kidini na kisiasa. Alisimama mbele ya taasisi zilizojaa...
0 Reactions
0 Replies
202 Views
Mnavyoona Mafundi, Madereva, Wajenzi, Wavuvi, Watoa huduma, n.k. wanavyoingiza kila siku kiasi ambcho kwa hesabu za mwezi kinaweza kuvuka hata mshahara wa mtumishi serikalini lakini hawana...
6 Reactions
11 Replies
844 Views
Kama itatokea mtu mwenye nguvu na ushawishi ndani ya CCM na akaamua kuhamia Chadema kumchallange Mh Samia, itakuwa rahisi zaidi kwa Chadema kuchukua nchi kuliko kumsimamisha Tundu Lisu . Huyu mtu...
0 Reactions
20 Replies
921 Views
Huwa najiuliza sana kwanini huyu Kiranga na wengine wengi huwa wanajitokeza kwenye uzi wowote ule unao muhusu Mungu na lengo ni kupinga uwepo wake. Haijarishi hujamu mention dk1 ni nyingi hawa...
39 Reactions
180 Replies
6K Views
Back
Top Bottom