Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jamani, naandika kwa majonzi makubwa. Jana nilishuhudia ajali mbaya ya mtoto mwenye umri wa miaka sita akigongwa na gari na kufariki papo hapo. Hii si mara ya kwanza kutokea katika eneo la...
2 Reactions
8 Replies
629 Views
Katika kuadhimisha robo karne ya uwepo wake nchini na mafanikio makubwa tangu kuanzishwa kwake, Vodacom Tanzania PLC imeanzisha kampeni kabambe ya nchi nzima ijulikanayo kama "Tupo Nawe, Tena na...
1 Reactions
0 Replies
182 Views
Kila nikitafakari sana kuhusu hili swala la maisha baada ya kifo katika Angle ya hizi dini zetu nagundua sisi wanadamu hatujui hatma yetu baada ya maisha haya. Muislamu anasema hili mkristo...
7 Reactions
39 Replies
1K Views
Kila mtu ambae ana plan ya kujenga nyumba baasi lazima ajenge na flame kadhaa za maduka bila kujali eneo halilpo wala thaman ya nyumba yake!! Juzi nimeona nyumba iko porini ambako hakuna hata...
0 Reactions
18 Replies
11K Views
"Haya madini hayaozi yaacheni siku watu wetu wakiamka na kutambua jinsi ya kuyachimba watayachimba". Hiyo ni kauli ya hayati Baba wa Taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Kiongozi aliyetanguliza...
0 Reactions
0 Replies
179 Views
Cha kushangaza zaidi madhehebu haya yote kudai kuongozwa na "Roho mtakatifu" na husoma kitabu kimoja, (Biblia)ila hamna maelewano kuhusu Mungu wao, tatizo ni nini? 1. Mashahidi wa Yehova. Wao...
2 Reactions
16 Replies
621 Views
🛑 TAARIFA KWA UMMA KUTOKA UDART KUHUSU UFAFANUZI JUU YA TAARIFA YA TUKIO LA ABIRIA WA MABASI YAENDAYO HARAKA KUPANDA PASIPO KUFUATA UTARATIBU
3 Reactions
31 Replies
1K Views
Wasalaam, Mwaka 2019 nilipanga nyumba mpya sehemu nzuri sana hapa jijini Daslaam nilichukua nyumba nzima kwa kodi ya laki 9 kwa mwezi. Nililipia miezi sita kwa cash na hiyo ilikuwa mara ya...
42 Reactions
124 Replies
8K Views
Habari wana JF Kuna changamoto ya taa za kuongezea magari eneo la Serengeti (Temeke), Taa ya kuongoza upande wa usalama kuvuka kwenda keko, taa ya kijani (Green light) haiwaki kwa muda. Watu wa...
0 Reactions
0 Replies
207 Views
Bandari Kavu ya Kwala iko katika eneo la Vigwaza Wilayani Kibaha-Mkoa wa Pwani, kilomita 15.5 kutoka barabara kuu ya Morogoro kwa kutokea katika Mzani wa Vigwaza na kilomita 105.5 kutoka Bandari...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu, Katika pitapita zangu mtandaoni, nimepitia tovuti ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) nimekutana na takwimu hizi za wahitimu wa vyuo nchini kwa mwaka 2024 ambapo fani za Biashara, Elimu...
0 Reactions
2 Replies
756 Views
Huduma hii ya mobile banking inayotolewa kwa ushirikiano baina kampuni hizi mbili kwa kiasi fulani imegeuka kero na zaidi ni huduma inayogharimu hela za wateja bila kujali mteja amepata huduma...
1 Reactions
13 Replies
7K Views
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la Viwanda vingi huku kwetu maeneo ya Wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani. Taarifa ambazo sio rasmi inadaiwa kuwa mpaka sasa kuna jumla ya viwanda 57...
1 Reactions
1 Replies
355 Views
Namna ya kufungua na kumiliki akaunti benki kuu ya Tanzania ,namna ya kununua na kumiliki bondi ,faida zake nakadhalika!Nimeuliza hivi kwa sababu ninataka nimshauri kaka yangu afanye nini hasa...
0 Reactions
2 Replies
241 Views
Binadam alivyo leo kitabia na mwenendo ni zao la mambo 3. 1. Jenetiki alizorithi 2. Mazingira aliyokulia 3. Mazingira aliyomo. Tunakutana ukubwan, si vibaya tuambizane mambo yanayotia kinyaa...
22 Reactions
222 Replies
8K Views
Habarini wadau Mimi nimejiuliza sana , kwann wavulana katika shule za serikali wavae kaptula? Mbona wasichana wanavaa sketi kuanzia chekechea mpk high school? Mimi upande wangu naona kama kuna...
2 Reactions
10 Replies
531 Views
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Hussein Mohamed Omar ametembelea Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB) Makao Makuu Dar es Salaam leo tarehe 22 Julai, 2025...
0 Reactions
0 Replies
192 Views
MDAU Mimi kama mwana chama wa ccm na kiongozi mwakilishi wa uvccm ngazi ya wilaya Bukoba vijijini , Natoa Rahi kwa Ndg KARAMAGI kuwa tabia zake za kuvuruga Jimbo letu la Bukoba vijijini...
0 Reactions
3 Replies
299 Views
Dodoma inakuwa kwa kasi nzuri lakini kumekuwa na changamoto ya washamba wengi. Kutokana na kuwa Makao Makuu kuna watu wengi wanahamishwa kutoka vimiji vidogo wanakuja na ushamba mwingi sana. Mtu...
2 Reactions
1 Replies
232 Views
NSSF WAMPONGEZA RAIS DKT. SAMIA KWA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050 Tanzania National Social Security Fund (NSSF) wamempongeza sana Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
0 Reactions
1 Replies
265 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…