Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Waziri wa Maji Jumaa Aweso (Mb) amewataka wakandarasi wa mradi wa maji wa miji 28 katika miji ya Wanging’ombe na Makambako mkoani Njombe kuonesha thamani ya fedha kwa kutekeleza mradi kwa wakati...
0 Reactions
0 Replies
218 Views
Kamati ya Makatibu Wakuu inayoongozwa na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt. Jim Yonazi, imekagua na kuridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa uwanja mpya wa kisasa wa...
0 Reactions
0 Replies
401 Views
Awali ya yote.Napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa nafasi hii. Pili,nina imani nitaeleweka na maamlaka husika itatoa au kufanya maamuzi sahihi juu ya kero hii na swala hili. Kero yangu leo hii...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mkoa wa Dodoma ni miongoni mwa maeneo ambayo yamepata fedha nyingi kupitia mradi wa kuimarisha ubora wa Elimu ya sekondari nchini SEQUIP ambapo umepokea zaidi ya Bilioni 36.596 Fedha hizo ambazo...
0 Reactions
0 Replies
246 Views
Endeleeni tu Kupuuza Maandiko yetu hapa JamiiForums na Kuupuza huu Mtandao ila kama kuna Mtandao nyie mlioko Serikalini na huko sehemu Nyeti za Umedani (JWTZ) na Unjaguni (TISS) mnatakiwa muwe...
14 Reactions
47 Replies
5K Views
Zaidi ya shilingi bilioni 200 zinatumika kujenga kituo cha kupoozea umeme katika kijiji cha Nkangamo, mkoani Songwe…mradi unalenga kuondoa changamoto ya muda mrefu ya kupungua kwa nguvu ya umeme...
0 Reactions
0 Replies
220 Views
Hii Ngoma inaitwaje? Utamaduni wa Kiarabu unajumuiaha Ngoma, Chakula na Watu.
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Listen to me young generation The cheapest commodity on earth is access to women. Stop wasting your time, energy, and money chasing what should come to you naturally. That attention you're...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama Hawa ndio washikaji zako , Kama ndio Hawa ndo marafiki zako , Ikitokea umekwama una shida unahitaji either buku tano au kumi either ni urgently au sio urgently sasa katika marafiki zako wa...
9 Reactions
56 Replies
2K Views
Tofauti na mdodoma ni mti gani mwingine mzuri kwa ajili ya kivuli, haupukutishi matawi lakini pia mzizi wake hausambai ila una penetrate chini? Karibu gardeners
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Tecknolojia ya AI imekuja na mambo mengi na wengine wanajikuta kama wamepata rafiki vile, Leo baada ya uchovu wa kazi niliamua kupunzisha akili kwa kuangalia kitu/vitu vipya. Leta na za kwako za...
0 Reactions
0 Replies
259 Views
MKUU wa Mkoa wa Songwe, Jabir Omari Makame, ametoa onyo kali kwa vijana wanaojihusisha kimapenzi na watoto wa kike na wanafunzi wakike, akisisitiza kuwa wasichana hao ni "nyara za serikali" na...
0 Reactions
2 Replies
554 Views
Miji ya Tanzania kitambo back ilikuwa mizuri sana, kabla hawa wajinga CCM hawajaingia hadi kwenye mipango miji. Angalia mji wa mishi ulivyo kuwa msafi kipindi fulani. Now moshi ni chafu imejaaa...
10 Reactions
48 Replies
2K Views
Tanzania kama ilivyo Marekani na CIA (Central Intelligence Agency) , kuna TISS idara ya kijasusi na upelelezi zinazotekeleza majukumu sawa kwa maslahi ya usalama wa taifa. TISS – Tanzania...
-1 Reactions
0 Replies
328 Views
Kilio cha muda mrefu cha wananchi wa Babati kuhusu ujenzi wa stendi kuu ya mabasi sasa kimesikika, baada ya Serikali kutoa shilingi bilioni 19.99 kwa ajili ya kuanza rasmi ujenzi wa stendi hiyo...
0 Reactions
0 Replies
383 Views
Kuna Watanzania wanateseka sio siri na kama tutaendelea hivi kweli lazima umasikini utaendelea kututesa Watanzania, huu sasa ni umaskini wa kutisha. Mimi ni Mtanzania kijana nileyehitimu mafunzo...
35 Reactions
157 Replies
30K Views
HAMJAMBO WADAU Leo ni siku ya furaha duniani je wewe unaiazimishaje siku ya leo. Je ulishawahi kupata furaha maisha mwako? je unayo furaha hata kama ukipitaka hali ngumu. Je unafurahia kila jambo...
6 Reactions
24 Replies
926 Views
Miongoni mwa mambo machache mazuri ambayo yaliwahi kufanywa na Magufuli basi kumteua Salvatory Mabeyo kuwa CDF. Hapana shaka utumishi wake jeshini na Taifa ni wa kutukuka. Moja ya jambo kubwa...
3 Reactions
11 Replies
659 Views
Karbu ni Anot_Wi-Fi🛜 Huduma zinazopatikana ni👇 🫵4G AIRTEL POCKET Bei:Ni elfu 50 tu na GB 20 bure Bando kwa mwezi(1GB=1000): ✨Elf 10=GB 10 ✨Elf 20=GB 20 🫵5G AIRTEL ROUTER(bure) Kifurush 110k kwa...
0 Reactions
4 Replies
273 Views
Hivi sasa ni saa 4 usiku na madakika! Salamu kwenu wanajukwaa! Katika jamii tunazoishi tunashirikiana na watu wengi sana, kila siku inapoanza maisha yetu yanahusisha kukutana na watu mbalimbali...
4 Reactions
65 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…