Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wa Africa tulikua bize na shughuri zetu za kila siku za kuwinda na kukukusanya matunda porini mara pap, mnamo miaka (1840- 1888) ndo tukapata habari kutoka ughaibuni kwamba kuna mtu amekufa kwa...
4 Reactions
10 Replies
390 Views
Wakuu mi huwa sielewi kitu hizi hospital zetu. Mgonjwa anapokufa wanadai ulipe bili ndio wakupe mwili. Kwa nini niwalipe wakati wamefeli kutoa huduma na mteja amekufa. Mfano ukienda gereji na gari...
0 Reactions
10 Replies
528 Views
Ndio! Pamoja na mapungufu yote ya uongozi na uendeshaji wa mwendokasi kuna tatizo kubwa sana la WATANZANIA Watanzania kwa maana ya watumiaji wa mwendokasi na madereva hawa watu sio wastaarabu...
12 Reactions
58 Replies
2K Views
familia ya JamiiForums, Wacha niwaweke sawa kidogo kuhusu safari yangu ya elimu – from the mud to the Masters, bila shortcut, bila kiki, bila kubebwa. I’ve been grinding in silence, and trust me...
6 Reactions
49 Replies
3K Views
Historia ya lugha za programu ni simulizi ya uvumbuzi, fikra za kilojia, na mahitaji ya kubadilisha dunia kwa njia za kimathematika na kielektroniki. Ilianza karne ya 19, muda mrefu kabla ya...
0 Reactions
0 Replies
345 Views
TUMEJENGA MAKANISA, TUMESAHAU NAFSI Na Mjumbe wa Nafsi za Watu Watu wamejenga makanisa. Wamejenga baa. Wamejenga viwanja vya mpira. Lakini hawajajenga nafsi zao. Hawajajenga sehemu za nafsi...
4 Reactions
7 Replies
449 Views
Wazoefu nisaidieni . Ni wapi hiki kikao kilikaa kwa hawa wenzetu..au sijui ni taratibu za kimila.!!? Mkaa anunue bab.. Gesi.. Maji. Wakiishia kununua umeme ni wa AF mbili tu. Hivi hii ni sawa. ?
5 Reactions
28 Replies
772 Views
Babu yangu alifuga nguruwe na walikuwa wengi ila alipigwa vita sana Wana Kijiji. Miaka ilivozidi kwenda wale walio mpiga vita wengi wao walituumiwa kwa uchawi sana. Nguruwe ni mnyama pendwa sana...
17 Reactions
60 Replies
5K Views
Kama kichwa Cha habari kinavyosema ndugu wapendwa,nipende kusisitiza, nyakati kama hizi wanasiasa wengi wanashinda kwa waganga wakitoa Kila aina ya kafara, wanachinja ili kuteka utashi wako kwa...
0 Reactions
1 Replies
185 Views
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeombwa kuwajengea uwezo madaktari wa kisiwani Pemba, Zanzibar ili waweze kutoa huduma za msingi za matibabu ya mifupa na ubongo...
1 Reactions
2 Replies
270 Views
Katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekuwa mojawapo ya nchi za Afrika ambazo zimechukua hatua kali dhidi ya uhuru wa mtandao, ikiwemo kufungia au kudhibiti matumizi ya mitandao ya...
1 Reactions
2 Replies
466 Views
Sielewi shida ni malezi au tamaduni zetu...? Ni nyakati gani kwenye maisha yako, unahisi uliishi na watu au mazingira Mazuri kwako na kuyafurahia.. ? 1. Kipindi Unasoma O level au A level, iwe...
0 Reactions
6 Replies
470 Views
Kuna mambo mengine kama hata wao wenyewe wamekosa mtazamo. Leo hii mfano mtandao kama twitter ambao X uwezi kuingia bila VPN na kuna wafanyabiashara pamoja na mengine ambayo CCM ikiona...
7 Reactions
12 Replies
532 Views
  • Closed
Mwamba member mwenzetu humu na mfanyabiasha maarufu wa range rovers (dungujeshi) na vitu used kutokea Uingereza Chris Lukos ameonesha jumba lake la kifahari liliko mbweni kwenye media. Akihojiwa...
12 Reactions
94 Replies
5K Views
Anonymous
Mimi nina changamoti kuhusu NIDA. Nilijiandikisha Mkoa wa Kagera, Wilaya ya Bukoba Mjini, Kata ya Kitendaguro, Mwaka 2017, Mpaka namaliza chuo Mwaka 2020, Kitambulisho kilikuwa hakijatoka, lakini...
3 Reactions
11 Replies
611 Views
Kuna maandiko mengi sana hapa yanaelezea namna mtu ya kuwa tajiri ila wanasahau jambo kubwa mno. Watakuambia 1.Fanya kazi kwa bidii 2.Tumia kidogo ya zaidi unachokipata yaani ukipata elfu 10...
23 Reactions
70 Replies
4K Views
Anonymous
Hii ni kero kubwa sana , mwezi wa pili sasa Dodoma tunaishi bila ya maji. Makao makuu ya Chama na Serikali inakuwaje maji yanasumbua kiasi hiki. Yanatoka kuanzia saa 7 asubuhi saa tano tu...
0 Reactions
1 Replies
280 Views
Kuna jambo moja ambalo ninaliona kama changamoto kuu kwa vijana wetu wengi – mindset ya “kusoma ili kuajiriwa.” Hii tabia inatufanya tukwame kwenye foleni ya kusubiri nafasi za kazi ambazo mara...
0 Reactions
0 Replies
372 Views
Jana tuliona na wengine kusikia kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii ikionesha watumishi wa umma wakishangilia mitaani (kwa furaha na mbwembwe nyingi) baada ya kutoka "kudroo" chochote kitu NMB...
0 Reactions
8 Replies
449 Views
Je? Hii kodi mtaipataje? Yaani mtu anatumia simu yake kutafuta wateja tena muda mwingine kwa kutumia VPN.
1 Reactions
4 Replies
278 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…