Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wilayani Mlele, Alhaj Majid Mwanga, ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Mlele ameliamuru Jeshi la Polisi wilayani humo kuhakikisha askari sita wa jeshi la...
0 Reactions
6 Replies
454 Views
Moja kwa moja kwenye mada. Zilipotoka ajira za walimu wapya, tayari serikali ilishapiga hesabu na kutoa fungu ambalo lilipelekwa moja kwa moja eneo husika wilaya au mkoa. Baadaye vijana wetu...
3 Reactions
9 Replies
549 Views
Ni wakati muafaka kwa admins wa JamiiForums na distributors wake kuangalia mbele kwa jicho la kimaono (visionary approach) na kukubali kuwekeza – kifedha na kiuwezo – katika mradi wa kipekee na wa...
0 Reactions
1 Replies
246 Views
Hawa watu watano ni kwa Mujibu wa Akili mnemba. Manabii watano wakubwa na maarufu Tanzania walio hai hadi sasa Nchini Tanzania, kama ilivyo katika nchi nyingine nyingi barani Afrika, kuna...
3 Reactions
40 Replies
3K Views
Canal+ yenye makao makuu nchini ufaransa mwanzoni mwa mwaka huu ilituma maombi ya kununua hisa zilizabaki za Multichoice (DSTV na ShowMax) kwa Dollar billion 1.9 na kuwa mmiliki kamili wa kampuni...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Huu Usafiri wa Mwendo kasi ndo wakijinga namna hii. Nipo kituoni Fery Toka saa 8 mpaka sasa hivi imekuja gari Moja Tu. Kumbe huu Usafiri hauna uwakika Hata kidogo. Nimejuta kukata tiketi mara...
2 Reactions
2 Replies
316 Views
Kuna nini. Maana Jahazi nasikia sauti za watangazaji mpya. Nikienda Wasafi nako watangazaji maarufu siwasikii tena!! Nini kinaendelea maana maredio haya makubwa watangazaji maarufu siwasikii...
5 Reactions
119 Replies
6K Views
Tukio la kushangaza limeripotiwa mjini Mekelle, makao makuu ya Jimbo la Tigray, Ethiopia, ambapo mwanamke mwenye umri wa miaka 76, Woizero Medhin, amejifungua mtoto wa kiume. Tukio hilo limetajwa...
5 Reactions
55 Replies
2K Views
Haijalishi unampenda vipi Hayati JPM, lakini ameacha shida kubwa iliyoanza katika utawala wake. Tatizo shida ya sisi Watanzania huwa tunafurahi na hatujali pale sheria, katiba ikivunjwa na mtu...
6 Reactions
18 Replies
788 Views
Kama Qur'an inavyomtaja Yesu na Mama Yake Bi. Mariam, Je Biblia imemtaja mtume wa Muhammad na kazi zake kwa namna yoyote ile?
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Hivi mpaka magari yanashika Moto Kiasi kikubwa chanzo kinaweza kuwa nini.Tumepita saa nne hapo dereva daladala anasema Moto umeanza saa tisa usiku.
4 Reactions
6 Replies
531 Views
Huwa na jiuliza. Serikali kuanzia Rais mpaka mawaziri Kazi yao hasa ni nini? Yaani wao wakipokea kodi wamemaliza Kazi. Bakressa na Mo hawa wote ukiwafatilia utajiri wao Unatokana na kunyonya...
28 Reactions
231 Replies
7K Views
Kwa wanaoelewa nini kimetokea maana Wastaafu mpaka leo 26.07.2025 kila wakichungulia vibubu vyao hawaoni kitu wakati kuanzia tarehe 20 vibubu vinakua tayari vimeshajaa. Nini kimetokea huko Hazina?
0 Reactions
0 Replies
210 Views
Mwendokasi upande wa DART, kuna changamoto ya uuzaji wa kadi, kwa sasa mfumo ambao unatumika ni wa kutumia kadi kununua tiketi lakini wao wametoa maelekezo kuwa hawatakuwa wanauza kadi siku za...
0 Reactions
0 Replies
361 Views
Ni kijana wetu mdogo mdogo, ameachana na mateso ya kuajiriwa anataka kufanya biashara yake mwenyewe. Ana kijilaki chake cha mchongo, anahitaji kutengeneza 10,000 tu kwa mwezi Msaidieni kwa hilo...
2 Reactions
12 Replies
584 Views
any way Siasa zenu we can't enjoy our silent life. you tube is down leo usiku, na sijui shida nini ila with vpn ipo fresh. siku njema
7 Reactions
49 Replies
3K Views
Kama ushawahi kuona wachimba madini wakiwekeza pesa nzuri na mwisho wa siku madini yakitoka hakuna la kushuku kwa mafanikio yao. Huyu mr dengu za pilipili zenye binzari kali napata mashaka ya...
3 Reactions
12 Replies
823 Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Kwetu sisi ambao tunashinda kitaa hapa na pale wote tutakubaliana kabisa kuwa pole pole alichokifanya ni kama kugonga msumari kwenye geneza Kawafanya...
8 Reactions
24 Replies
1K Views
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeeleza kwamba zoezi la majaribio ya Mabehewa ya Mizigo limekamilika kwa ajili ya kuanza rasmi operesheni ya kusafirisha mizigo inayotarajiwa kuanza June 2025...
0 Reactions
2 Replies
444 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…