Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna watu wanajua X na Y zipo kwenye elimu tu kumbe tunazo kwenye maisha tunazitumia kila siku mfano kujua upana wa chochote kwa nini unatumia kujua urefu na upana. Ushawahi kuulizwa graph yako...
2 Reactions
9 Replies
348 Views
Unakuta mtu anakuja akiwa mnyonge "brother una chaji type c simu yangu imezima naomba nibusti hata asilimia 5" kiroho safi mtu unampa chaji ili achaji kakimeo chake karudi kwenye uhai. Sasa huyu...
11 Reactions
15 Replies
791 Views
Mtu mweusi aliposhika madaraka marekani kulikuwa na kiwango cha uchawa kila kona kwa watu weusi mpaka kwao. Nakumbuka ilifikia kule marekani uchawa ulifikia mpaka kwa wasanii kuanza kumuimba na...
2 Reactions
5 Replies
477 Views
Serikali imeitaka Kamati ya Kusimamia Uteuzi na Nidhamu ya Madalali wa Mabaraza kuhakikisha madalali wanazingatia kanuni katika kufanya utekelezaji amri zinazotolewa na Mabaraza ya Ardhi na Nyumba...
0 Reactions
1 Replies
250 Views
Katika miaka ya karibuni, halmashauri nyingi nchini Tanzania zimeanza kuanzisha shule za serikali zinazotumia Kiingereza kama lugha ya kufundishia kuanzia darasa la kwanza maarufu kama “English...
3 Reactions
7 Replies
676 Views
Ni siku bora kuliko siku nyingine ikiwamo siku ya Jumapili na ni kwa mujibu wa maandiko Exodus 20 hivyo usije na ubishi wako. Happy Sabbath all
1 Reactions
5 Replies
329 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Kituo cha Biashara na Usafirishaji cha Afrika Mashariki (East African Commercial...
0 Reactions
4 Replies
589 Views
Madaktari bingwa wa usingizi tiba nchini Tanzania wamepata mafunzo maalum kutoka kwa madaktari bingwa kutoka India, kwa lengo la kuboresha utoaji wa huduma za usingizi tiba katika taasisi...
0 Reactions
1 Replies
328 Views
Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Wende Luchagula (30) mkazi wa kijiji cha Milonji kata ya Lusewa wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, anadaiwa amewaua watoto watatu wa mke mwenzie kwa...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar Chalamila hivi unajua au umeridhia maroli ya mizigo na mafuta kupita njia ya keko? hujui kuwa haya ndio yanasababisha foleni Dar city center kote kwa kuwa yanapita njia isiyo...
0 Reactions
4 Replies
280 Views
Wanajamvi, nimeona niweke hapa sifa zinazotakiwa ili mtu aweze kusajiriwa kama mwandishi wa habari kwa mujibu wa Section 19 ya Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari, 2016 na Kanuni zake za mwaka...
1 Reactions
6 Replies
541 Views
Mkuu wa Wilaya Rombo, Raymond Mwangwala (watatu kulia) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10 kutoka kwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB Bank Foundation, Coletha...
1 Reactions
5 Replies
570 Views
Huyu dokta wa ajabu naye ithibati inabidi kumchukulia panga. Kama ni CCM basi mtakuwa kisiasa sasa. Mada za ajabu anazoleta sijui ukipiga msamba asubuhi na kipande cha ndizi mbivu kitambi kinatoka.
1 Reactions
6 Replies
360 Views
Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu mara kadhaa napita chimbo kupata huduma sasa nakutana na hawa mabinti kutoka mkoani Kagera sio mmoja wala wawili ni wengi they don't give shit wanapenda...
14 Reactions
172 Replies
9K Views
Ni huzuni na kero kwa hili linaloendelea mjini Morogoro, Fieldforce wamejikita kukamata bajaji, Pia Tarura na sector zingine za kiutawala zote zimetolea macho waendesha babaji kwa kamatakamata na...
0 Reactions
1 Replies
250 Views
Wakuu kwema? kuna jamaa nilimpa pikipiki awe analeta hesabu kwa wiki ila siyo mkataba,pikipiki ilikuwa mpya ameendesha kama miezi 6 akadai eti imepotea maana akimpa ndugu yake,yule ndugu yake nae...
5 Reactions
19 Replies
926 Views
“Lakini mwenye haki wangu ataishi kwa imani. Naye akisitasita, sina furaha naye.” Waebrania 10:28 👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿 Hiyo ni KANUNI. Ikifuatwa hata na mtu asiyemuamini Mungu anaona matokeo. Mungu na...
1 Reactions
1 Replies
200 Views
Nilifika dubai kuingia super market kuna friji zimepangana za vinywaji baridi yani kukuta mpaka coca cola inayofanana na maji ya kunywa hipo. Sasa hawa wa kwetu nikafikiria yani friji...
0 Reactions
7 Replies
472 Views
Kama unafuga kwa kitowewo sawa ila kama unafuga kwa biashara na kupa pole sana. Ni ngumu sana kupata wateja ukilinganisha mbuzi,kuku,ng’ombe na samaki. Embu tujuzane kwa nini
0 Reactions
4 Replies
393 Views
Baada ya malalamiko yaliyoibuliwa na Mwananchi kupitia JamiiForums.com kuhusu Mwanamke Mkazi wa Kijiji cha Izumba Mkoani Tabora, kudai kuombwa fedha na Askari wa Kituo cha Polisi Kigwa kwa...
0 Reactions
1 Replies
488 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…