Kama mungu ameahidi kuwa hurumia na kuwapa pepo wagonjwa wa Tauni apa duniani, aangalie kwa jicho la pili awa ndugu zetu waliozaliwa na kilema cha kuongea au kusikia au kuona maana wanapata shida...
sijawahi kuelewa hili swala la ulevi hapa tanzagiza, ni kwa nini ni sifa? kwa nini mtu anajisifia kuwa mlevi wakati nchi na jamii nyingi duniani ulevi ni ugonjwa wa akili na watu wanatumia fedha...
Abby na Brittany ni mapacha walio ungana wana miaka 34, taaluma yao ni walimu wa shule ya msingi [elementary school grade 4].
Walimaliza chuo miaka 10 iliyo pita, kipindi wanasoma walikua...
Nasema hivi mtu akija na hoja yeye mashiko kuwa Yesu ni mungu nampa laki 1 niliiweka kwenye kibubu kwa zaidi ya miezi mitatu, ntakupa akiba yangu yote.
Uje umekula mambo ya matusi, sijui roho...
Naanza kutanguliza salamu na shukurani hapa JF. Pili nawasilisha hii mada kwenu wajuzi tusaidiane ni mbinu zipi mtu anaweza kuzitumia kupunguza na kuacha kabisa kuvuta sigara
Baadhi ya mbinu...
Habari za muda huu wana JF,
Leo nimeona nitoe shukrani au kuwapongeza MAIMAMU wa misikiti mbalimbali hapa Jijini Dar es Salaam,kwa kuanzisha utaratibu wa kuwasaidia ndugu zetu walemavu wa Macho...
Habari wana JF.
Leo nikiwa kwenye harakati zangu hapa mjini Dar es salaam nimepanda bajaji Kariakoo to Msasani. Ndani ya bajaji nilikaa na Mdada mmoja mzuri Sana lakini shida nywele(Rasta)...
Lakini bado unasisitiza kuwa Yesu alikuja kufa kwa ajili ya dhambi zako? Kitendawili hapa ni kwamba katikati ya kitabu cha Marko, watu hawakumjua Yesu kwa kweli alikuwa nani. Hata wanafunzi wake...
Salaam sana Wakuu,
Leo nimewiwa kutoa muhtasari wa kitabu cha "Who Will Cry When You Die?" Kilichoandikwa na mwandishi maarufu aitwaye Robin Sharma (huyu ndo ameandika pia The monk who sold his...
Tatizo litakuwa nini? Umasikini, ukosefu wa maadili au fasheni?
Coz unajiuliza huyu mtoto wa miaka 16 ambae saa Tisa usiku yupo club ana jiuza ni kwamba wazazi wake wanakuwa hawajui mtoto wao...
Fake friends are like shadows
They walk beside you in the light 💡
They smile when you shine
They praise when you are rising.
But when darkness falls they vanish
When you stamble they stay silent...
Nimewaza sana Jana na Leo, kuhusu mwenendo wa maisha yangu. Jinsi ninavyo lala na wanawake tofauti tofauti.
Mimi Miongoni mwa watu ambao wamepitia changamoto nyingi tokea utotoni. Pamoja na...
Habari wadau.
Msikilize Shehe maarufu Alhaj DR sule anavyotoa mawaidha msikitini. Kwenye video attached
Dr sule anafundisha wanawake wote wa kiislamu watakaoingia peponi wote watakuwa chuchu...