Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mfalme ameandaa sherehe kubwa ya arusi. Amewaalika watu wote bila upendeleo. Lakini ajabu, wote walioalikwa wamekataa mwaliko! Huyu anasema: "Samahani, naenda kuzika." Yule anasema: "Lazima...
4 Reactions
14 Replies
858 Views
Wakuu sijawahi kula nikasema hiki chakula kitamu na kinazidi na chakula cha nyumbani. Niseme ukweli chakula cha nyumbani kwetu hata kama kimepikwa na mama yangu mwenye umri wa miaka 74 bado huwa...
1 Reactions
4 Replies
393 Views
Huduma ya choo ni muhimu kibinadamu na hongera kwa kuweka vyoo pande zote mbil, shida inakuja mnavifunga kwa kusema vibovu. Sio sawa, kama vibovu vikarabatiwe na ili kuweka hali maridhawa chaji...
2 Reactions
5 Replies
403 Views
NASISITIZA, ITUNGWE SHERIA KUBEBA MIMBA BILA RIDHAA YA MWANAUME LIWE KOSA LA JINAI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mwanasheria wa Tibeli. Andiko hili liwafae wale wapendao HAKI. Andiko hili...
4 Reactions
74 Replies
3K Views
Kiwanda cha magari hakigharimu fedha nyingi sana mfano ukiwa na tsh billion 300 unaweza fungua kiwanda cha magari kizuri cha kisasa navyosema ni ndogo ni pale navyo-compare na smelting na refining...
9 Reactions
65 Replies
2K Views
Wakuu, nimeamua kujiBabu Tale. Nimefikiria mbali sana kimaisha, ikanibidi nitafute wasanii chipukizi wanaopanua makoo yao kwenye viwanja vya mpira nyakati za jioni nikaona wacha niwasapoti...
1 Reactions
0 Replies
198 Views
Habari za mda huu Mara nyingi watu huwa wanajiuliza ni kwa nini Mwalimu au watu wanajifunza Saikolojia ya Mtoto ? zipo sababu mbalimbali lakini zifuatazo ni sababu za msingi kabisa kwa nini...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Mamlaka ya chakula na dawa nchini marekani ilipitisha njia mbalimbali zaidi ya 20 za uzazi wa mpango. Njia mbili tu zimethibitishwa kwa wanaume kuweza kuzuia mimba kwa wapenzi wao nazo ni kondomu...
3 Reactions
11 Replies
707 Views
Umri wa miaka ' 50 ' ni umri sahihi wa ukomavu wa kiakili na kihisia. Ukimkuta MTU ambaye yupo ghorofa ya tano anakuwa amekomaa Sana akili na hisia anakuwa na EI kubwa na IQ kubwa. Miaka hamsini...
31 Reactions
115 Replies
4K Views
Mimi ni mpenzi wa makala ama documentaries, leo wakati naangalia documentaries za The New Detective, nikakutana na stori ya Mtanzania Peter Kupaza ambae alimbaka na kumkata kata vipande dada yake...
49 Reactions
164 Replies
26K Views
Habari wana JFs, Nina rafiki angu wa miaka mingi ambae tumekua karibu kama ndugu ameniomba ushauri kama mtu wake wa karibu, lakini nimepata mtihani kidogo katika kumpa majibu kutokana na uzito wa...
2 Reactions
1 Replies
456 Views
Mwenzenu Makutupora nimekuja kutoa shukurani! Mwenzangu, wanajukwaa wenzangu! Najua imepita muda tangu nitume ombi langu la msaada, lakini ninachoamini ni hiki: Asiyeweza kuwa mwingi wa...
15 Reactions
14 Replies
940 Views
Siku za hivi karibuni kumekua na haya magari mengi sana yenye namba za kufanana, mwanzo nikajua ni viongozi wa serikali ila sasa hivi ni kama mtindo, hata watu wa kawaida wanaweka tu. Tazama...
3 Reactions
16 Replies
937 Views
Anonymous
Nimeona ni vema kulizungumza hili kukiwa na historia inayomtaja Marekani kuwa ni Nchi kinara wa uhuru wa kujieleza na kulinda utu wa watu, lakini hali ipo tofauti katika Ubalozi wao hapa Dar es...
1 Reactions
0 Replies
217 Views
Ni ndoto ya mchana wa leo Nikawa kwenye sehemu kama chumba hivi nimesimama wima. Yule mwanamke alikuwa wa wastani, sio binti mdogo wala mtu mzima, ni mdada. Alikuwa ni mwenye maziwa makubwa...
3 Reactions
20 Replies
862 Views
LATRA tafadhali haya Mabasi ambayo hayana Choo ndani, yasisafiri usiku. Bus lina abiria 60.. kati ya hao abiria 60 kuna wenye magonjwa mbalimbali. Kusafiri umbali wa masaaa 12-18 usiku bila...
20 Reactions
68 Replies
3K Views
Tokea magufuli amekufa tulisikia hiki kibwagizo kwamba CHADEMA ishakufa. Hadi sasa enzi za malkia kibwagizo ni kilekile kwamba Tanzania hakuna upinzani wa CHADEMA okay Nice nakubali. Sasa kwa...
4 Reactions
10 Replies
478 Views
Mkoa wa mbeya,inatakiwa ugawanywe kipolisi ,idara ya usalama barabarani. Ni mkoa hatari kwa maisha ya binadamu, kupitia ajali za barabarani. Mteremko wa Nzovwe jijini Mbeya umeendelea kugharimu...
0 Reactions
12 Replies
726 Views
Abby na Brittany ni mapacha walio ungana wana miaka 34. Wakati wanasoma chuo walikuwa wanalipa Ada (college fees) kila mtu yake. Baada ya kupata ajira wanapokea mshahara wa mtu mmoja. Abby na...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Kwa hiyo mmeamua kutuondolea wale wanaoongea wakaeleweka mmetuletea Watu wa "Nchi za Ilan na Ilaki" kweli hilo ndilo ninyi mnalofurahia? Kwamba Mwenye diploma hata kama hana uwezo wa kuongea au...
2 Reactions
7 Replies
469 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…