Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

wakuu naombeni mnipe uelekeo wilaya zenye wachina kwenye machimbo au migodi ya dhahabu inayopatikana kwenye mikoa ya Singida na Mbeya NB: Kama kuna wachina kwenye mikoa ya Geita na Shinyanga...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Hello wanajf, Mtandao wa Tiktok ni mtandao unaokuja kwa Kasi Sana. Mtandao huu unatengeneza addiction Fulani ambayo inamfanya mtu asichoke kabisa kuutumia. Nilichokiona mpaka sasa ni kwamba...
13 Reactions
53 Replies
6K Views
Kuna dini hapa nyumbani Tanzania ni wamesoma sana wapo wengi katika Kila sehemu nyeti ya nchi hii, sekta zote Kila Mahalia wao wapo zaidi ya 75% lakini wana IQ ndogo mno. Wao ndo chanzo cha kila...
9 Reactions
21 Replies
836 Views
Macho yako ni kama kamera, akili yako ni kama sensa ambayo kazi yake ni kutafsiri picha, na hisia zako ni kama jiko au shamba ambalo hutengeneza picha au mbegu pasipo kutoa hukumu yoyote kwa...
2 Reactions
16 Replies
663 Views
1. Tarehe ya kulipa mshahara angalia msululu wa watu kwenye ATM. Urefu wa mstari kama robo kilomita urefu..... Unaona kabisa kuwa hawa hata mia moja mfukoni hana , hawezi kusubiri kesho au...
22 Reactions
85 Replies
4K Views
Watu wanaoomba kazi kwa sasa ni wengi mno ila bado waajiri wana changamoto ya kupata wafanyakazi watakaoenda sawa na maono ya kampuni zao. Ni ngumu kupata kijana mchapakazi, mwaminifu na makini...
3 Reactions
5 Replies
394 Views
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Tanzania inauhitaji mkubwa wa nyumba kutokana na kasi ya ukuaji wa miji nchini ambapo inakadiriwa kuwa na mahitaji ya nyumba 26,840,909 ifikapo 2050 ili kukidhi...
0 Reactions
2 Replies
439 Views
Ndugu wa Jukwa mko poa. Binafsi nimemisi kuona Raisi Wa JMT akisafiri kwenda mamtoni. Sijui kwanini ameacha kusafiri Lucas MWANSHAMBWA SIUKO IKULU kuna shida gani kwani mbona anakaimisha tuu...
4 Reactions
8 Replies
461 Views
Kama mbwai na iwe mbwai . Imagine mtu nimepaki mkoko kwenye parking lot ya fremu ya biashara niliyolipia mwenyewe kitaa, Tena ndani ndani afu mtu na reflector yake ya kijani inakuja kuscan chuma...
5 Reactions
24 Replies
954 Views
Kuna watu wanaosema kwamba Mungu alishusha Torati, Zaburi na Injili lakini wanadamu wakavichezea na kuvipotosha vitabu hivyo. Kwa sababu hiyo ikabidi Mungu ashushe kitabu kingine baadaye, ili...
1 Reactions
10 Replies
680 Views
Habari za wakati huu ndugu zangu, poleni na mapambano ya kila siku ya maisha. Mimi ni kijana wa umri wa miaka 30 na Uzi huu utawafaa sana vijana wenzangu wa umri kama wangu au chini yangu. Mnamo...
33 Reactions
90 Replies
10K Views
Katika mambo ambayo yanashangaza sana ni uwepo wa matofali yenye ubora mdogo sana huku mtaani ni aibu kubwa sana kwa nchi mamlaka ziko wapi Mimi nilisoma umbwe miaka flani hivi ile shule imeanza...
7 Reactions
52 Replies
2K Views
Chuma ulete ni aina ya uchawi unaoaminika kutumiwa kuharibu mazao au kuiba mazao shambani kwa njia za kichawi. Katika tiba asili na mila za Kiafrika, kuna dawa na mbinu mbalimbali zinazotumika...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Kuna nchi nimeenda, wana madhehebu mengi sana ya Kikristo, na kila mtu katika nchi hiyo anajisikia vizuri sana kuitwa Mkristo. Kama huna habari, kuna faida nyingi madhehebu yanapokuwa mengi. Hizi...
3 Reactions
54 Replies
2K Views
Mfalme ameandaa sherehe kubwa ya arusi. Amewaalika watu wote bila upendeleo. Lakini ajabu, wote walioalikwa wamekataa mwaliko! Huyu anasema: "Samahani, naenda kuzika." Yule anasema: "Lazima...
4 Reactions
14 Replies
858 Views
Wakuu sijawahi kula nikasema hiki chakula kitamu na kinazidi na chakula cha nyumbani. Niseme ukweli chakula cha nyumbani kwetu hata kama kimepikwa na mama yangu mwenye umri wa miaka 74 bado huwa...
1 Reactions
4 Replies
393 Views
Huduma ya choo ni muhimu kibinadamu na hongera kwa kuweka vyoo pande zote mbil, shida inakuja mnavifunga kwa kusema vibovu. Sio sawa, kama vibovu vikarabatiwe na ili kuweka hali maridhawa chaji...
2 Reactions
5 Replies
403 Views
NASISITIZA, ITUNGWE SHERIA KUBEBA MIMBA BILA RIDHAA YA MWANAUME LIWE KOSA LA JINAI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mwanasheria wa Tibeli. Andiko hili liwafae wale wapendao HAKI. Andiko hili...
4 Reactions
74 Replies
3K Views
Kiwanda cha magari hakigharimu fedha nyingi sana mfano ukiwa na tsh billion 300 unaweza fungua kiwanda cha magari kizuri cha kisasa navyosema ni ndogo ni pale navyo-compare na smelting na refining...
9 Reactions
65 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ