Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mimi ni mgeni mji huu japo na nakaribia kufunga mwaka 1 hapa Tanga ni mwenyeji wa Mbeya , kutokana na changamoto nilizo zipata wakati nipo Mbeya ilinilazimu kuondoka bila kupenda kuja huku, Kuna...
0 Reactions
17 Replies
759 Views
Wakuu habari za jioni, Mimi Ni mjasiriamali, Nina kibanda kidogo (kiosk), nimekuwa interested na biashara ya ukodishaji wa taa za WASSHA au hata kununua kabisa Kama wanauza, Ila nimeshindwa kupata...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wimbi la kujiua likiwa limepamba kasi na sababu nyingi zikiwa mahusiano ila kuna hii pia ya kujilinganisha nayo ni sababu kubwa katika kumaliza ndoto za vijana mpaka kupatwa na magonjwa ya moyo...
4 Reactions
0 Replies
344 Views
Kwa muda mrefu, wapagazi, waongozaji na wapishi wa Mlima Kilimanjaro wamekuwa wakifanya kazi katika mazingira hatarishi, bila mikataba, bila bima ya afya, na wakikosa kinga ya kisheria – hali...
0 Reactions
0 Replies
251 Views
Mmesahau Yohana Mbatizaji aliwekwa jela kwa kusema ukweli kisha akakatwa kichwa? Paul na Sila waliwekwa jela kwa kuhubiri injili. Msishangae yanayotokea leo kwenye taifa hili na yanamsibu Tundu...
3 Reactions
3 Replies
299 Views
Nimefatilia michuano ya cecafa inayo ENDELEA karatu nimefurahi SANA. Lakini nikajiuliza huu uwanja MBONA UKO VIZURI nani mmiliki wake ILI kama atapata NAFASI ya kunisikiliza tunaweza peana...
2 Reactions
39 Replies
2K Views
Juzi nilikua Arusha nmerudi hapa home mkoa wa Kilimanjaro, kabla sijarud dar nataka Tena kwenda LUSHOTO KUTEMBEA, Arusha nilipapenda sana nkapata na mwenyeji akanitembeza Mitaa, Hali ya hewa nzuri...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Watoto watano wamepoteza maisha kwa tukio la moto lililotokea katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Igambilo, kilichopo Kata ya Misha, Manispaa ya Tabora, usiku wa kuamkia siku ya Jumanne...
0 Reactions
5 Replies
539 Views
Nikiwa Rais wa Tanzania kutatengwa zaidi ya sh Trillion 1 kwa ajili ya maboresho makubwa sana ya soko la kariakoo ili kuondoa changamoto zilizopo mfano;- Frem zitakuwa na standard ambayo ni...
4 Reactions
43 Replies
1K Views
Nimeishi miaka flan pwani na waswahili , kuna tabia ambazo nilikuwa naona za ajabu sana toka kwao lakini wao hawakuwahi kuona shida . Mfano unamkuta baba wa familia kaamka asubuhi kavaa msuli kaja...
11 Reactions
16 Replies
916 Views
Takriban mwaka miaka 3 tangu Serikali JMT kutangaza kuchukua umiliki wa hospitali ya Dar Group kupitia Waziri wa afya wa wakati huo Ummy Mwalimu siku ya makabidhiano na kuiweka chini ya umiliki wa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakati wewe unachangaa na Mwijaku kukosa ubunge, pembeni kuna familia za viongozi wameamua familia nzima ziingie bungeni. Miongoni hapo chini ni wanafamilia wa familia za viongozi wanaowania...
3 Reactions
40 Replies
3K Views
Wakuu Hii mitambo ya kutengeneza barabara inanunuliwa sana kipindi hiki kuelekea uchaguzi, siku zote wanakuwa wapi? au ndo kura zinatafutwa kwa kuhadaa wananchi. Alafu mtambo huo huo baada ya...
0 Reactions
4 Replies
324 Views
Mkuu wa Wilaya ya Kaliua, Dk. Garald Mongela, amewaongoza maelfu ya wananchi wa wilaya hiyo kushiriki uzinduzi wa miradi ya kimkakati iliyozinduliwa na Mwenge wa Uhuru. Katika mwaka huu Mwenge wa...
0 Reactions
1 Replies
276 Views
Siyo Myahudi wala Mzungu hivyo wanakuwa wagumu wa mioyo kumuamini
0 Reactions
14 Replies
429 Views
Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, inatarajiwa kuupokea Mwenge wa Uhuru kimkoa Agosti 3, 2025 ukitokea mkoani Tabora, na kuanza kukimbizwa siku hiyo katika Halmashauri ya Manispaa...
1 Reactions
1 Replies
403 Views
Serikali kupitia Mradi wa kuboresha elimu ya sekondari-SEQUIP imekamilisha ujenzi wa miundombinu mbalimbali katika shule mpya za Sekondari za wasichana Dar es salaam na Ruvuma. Pamoja na dhamira...
0 Reactions
1 Replies
365 Views
Ethan Zuckerman, mvumbuzi wa matangazo yanayoibuka (pop-up ads), hivi karibuni alieleza majuto yake kwa kubuni kipengele hiki kinachochukiwa sana tangu mwishoni mwa miaka ya 1990. Lengo lake...
0 Reactions
3 Replies
286 Views
Ikiwa katika muendelezo wa ziara yake ya kutembelea utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa miundombinu ya barabara, Kamati ya Ukaguzi ya TARURA imetembelea Miradi minne ya ujenzi wa miundombinu ya...
1 Reactions
2 Replies
449 Views
Just like the famous Swahili saying that goes "Hayawai hayawahi sasa yamekuwa" which means "Whatever we are waiting for has finally happened" After days of anticipation, postponements, and...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…