Salaam, Shalom!
Usilolijua ni kuwa, Kila mtu anaye malaika special toka kwa Mungu tangu kuzaliwa aliyeweka kuchukua kumbukumbu zote za mtu Akali akiishi na kuziandika kwenye KITABU maalum.
Killa...
Matangazo yenye taswira za ngono au binti kujiweka kuvutia matamanio ya ngono lazima yaruke na akili za watu, kuweka attention hapo na hata kuishia kununua bidhaa ambayo imetangazwa.
Mara...
KUZINGATIA HITAJI LA KISHERIA LA KUSAJILI NA KUTUMIA MAJINA YA DOT TZ (.TZ DOMAIN NAMES) NCHINI
Kwa mujibu wa Kifungu cha 79 cha Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta, Cap. 172 R.E...
Waraibu wengi hawapendi kumuona mraibu mwenzao anafanya jitihada za kujitoa katika matumizi ya vilevi kama kuvuta bangi, madawa ya kulevya na kutumia pombe.
Ikitokea unafanya jitihada kama...
Wadau,
Tuache masikhara ya kijiografia na tujikite kiuhalisia, wilaya ya NGARA ni Tanzania ama?
Kama ni Tanzania, basi imetelekezwa na warundi/wanyarwanda wamejiotea mizizi na himaya zao,, amini...
Tuambiane ukweli:
Leo, watu wengi wanataka kuwa viongozi si kwa sababu ya kuwahudumia wengine, bali kwa sababu ya madaraka, heshima, na ulaji.
Lakini uongozi wa kweli haupimwi kwa vyeo wala...
Rockets za aina mbalimbi zitakuwa zinatengenezwa hapa Tanzania na zitakuwa na sifa ya kipee
Zifuatazo ni aina za rockets zitakazokuwa zinatengenezwa Tanzania
Rockets itakayobeba wataalamu na...
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mchungaji Peter Simon Msigwa, ameomba kura za maoni kutoka kwa wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi...
Kumekuwa na ongezeko la matukio kadhaa ya wizi na upotevu wa mali za abiria ndani ya mabehewa ya Treni ya SGR (Standard Gauge Railway), hasa katika safari za usiku au kwenye vituo vya kati...
Kiukweli napenda Sana kuona binadamu anatumia akili kubwa kuingiza hela kubwa. Nachukizwa Sana na vibaka na wezi wadogo wadogo ambao wanaambulia makofi na vipigo hevi vya mtaa mzima kisa wameiba...
Habari za mda huu wana JF
Natanguliza salamu zangu kwenu, natumaini mko vyema kiafya, na kwa wale ambao hamko vyema Mungu awafanyie wepesi.
Niende moja kwa moja katika dhumuni la kuanzisha uzi...
JIJI/MANISPAA nyingi zina miji midogo midogo na inakua sana ila cha kusikitisha hii miji inakua tu bila mpangilio wowote badala yake hii miji inatakiwa ijengwe vizuri na kuwa mizuri bado ipo ipo...
Bado kuna upungufu mkubwa wa nyumba na lodge aisee wageni nchini wanazid kuingia mambo NI MENGI wachina na watu kutoka Mataifa wanamiminika kwenye miradi.imagine anakuja mchina anakuta Una nyumban...
Nauliza hivi nikitaka ufafanuzi iwapo kuna yyt aliyewahi kutumia emamamiko kupata mrejesho wowote.
Nani ni msimamizi wa mtandao huu.
Nani kawahi kupata mrejesho kutokana na malalamiko na kero za...
July 29 mwaka 2025 ndo siku ambayo Microsoft waliweza kuachia Microsoft windows 10 Operating system baada ya kutumia Windows 8 kwa Miaka kadhaa.
Japo rasmi ilianzia kupatikana kuanzia septemba 14...
Akihojiwa Asubuhi ya Leo katika Moja ya Radio jijini Arusha mtia Nia ya udiwani wa kata ya ngarenaro almaarufu dogo janja ambae pia ni mwanamuziki amesema kuwa endapo atachaguliwa kuwa Diwani wa...
Benki kuu imezindua mfumo intergrated core banking system,huu ni mfumo wa kibenki ambao kwa miaka 24 iliyopita tulikuwa tunatumia mfumo kutoka nje ambao tulikuwa tunalipa kwa kuutumia,kwa sasa...