Tulikua tumeshazoea kusikia watu wanakata miti ili kutengeneza karatasi na vitu vingine, lakini Kwa wachina wamekuja na Teknolojia Yao ya uwezo wa kubadili mchanga kuwa karatasi.
Katika ulimwengu...
Wiki ya mwisho wa mwezi huu hadi mwisho wa mwezi nitakuwa wilayani Tunduru ila wiki moja kabla nitaitumia mkoani Mtwara . Hongereni Sana wana Mtwara kwa uwepo wa Likud mkoani kwenu.
Tambeni...
Basi sasa inadumu imani, tumaini, upendo, haya matatu; na katika hayo lililo kuu ni upendo(1 Kor. 13:13).
Siyo ajali kuwa orodha ya Paulo inayoeleza sifa za kitabia zinazotambulisha...
Kulingana na mila na desturi zetu zinatofautiana kabila hadi kabila na jamii nyingine kwenda jamii nyingine.
Ni kawaida kukuta jamii au tamaduni ya watu hawa haziingiliani na tamaduni za...
Tukisoma mambo ya hesabu agano la kale tunapata kuona Mungu alimjia Musa mlima sinai na akamweleza aende kuwakomboa wa misri kistarabu tuu pia tukija kuangalia Luke 26 malaika Gabriel alimtokea...
Jana Mhe. Rais alifungua Bandari kavu ya Kwala. Hongera sana. Kwenye maelezo ya Mhe. Mbarawa kwa Mhe. Rais alitaja mambo yafuatayo:-
(1) Bandari kavu ya Kwala itahudumia makasha yanayokadiriwa...
Habari Wadau,
Dar es salaam ni jiji linalopanuka kwa kasi sana. Wakazi wengi wanakaa pembezoni lakini kila siku wanaelekea katikati jijini kwa shughuli mbalimbali.
Nimekuwa nikipendekeza route...
Moja kati ya tukio la kushangaza lilitokea mwaka 2010 ni Microsoft iliweza kumdhihaki Apple baada ya Microsoft kutoa simu mpya ya windows unajua ilikuwaje ๐.
Ilikua mnamo mwaka 2010 iliweza kutoa...
YHWH, Mungu Aliye Juu Zaidi, alipanga na kutabiri kwamba atajituma mwenyewe duniani kama Mwana wake mwenyewe: Akikubaliana na nafsi yake, alijitolea mwenyewe kwa nafsi yake ili ajitoe kwa utii kwa...
Habari ,nina swali kwenu wapendwa waumini wa madhehebu ya kilokole,nimepata binti wa kilokole ninataka kumuoa na tuko kwenye mahusiano mwaka mmoja na nusu sasa na tumeshatambulishana...
Mwaka 2022 ni mwaka ambao sitaka niusahau hivi vyote navyoandika huku jamiiforums ikiwemo na huu uzi wa sahivi niliuandaa mwaka 2022
(Kuna mambo mengi sana sijaandika sababu nitazua taharuki)...
Amri 10 za Mungu ni Nini
Amri za Mungu ni nini
Amri za Mungu ni orodha ya amri kuu 10 za Mungu katika Biblia.
Za kwanza nne zinamhusu Mwenyezi Mungu mwenyewe, na zile zinazofuata mpaka mwisho...
Why not arusha Tanzania?
I hope ex president kikwete will help solving this equation!,
Nairobi security status is known to be unstable!..
Tanzania deserve this honour!
Kwa heshima na taadhima.
Nakuomba Rais wetu tuwezeshe sisi ambao tunapigania fursa za biashara za nje ya nchi tuweze kupata huduma ya PayPal nchini.
Ninaandika kwa uchungu sababu nchini fursa ni...
Nimeona watu wakilalamika namna wanavyopitia shida za hapa na pale kipindi cha kuachana ... Kun watu wanaoachwa na kutelekezwa. Hii imekaaje???๐ค๐ค๐ค๐ฅฑ๐ฅฑ๐ฅฑ
Salaam wakuu,
Science inasema, kila kitu kimeundwa na atom, bt maandiko yanasema, kila kitu kimeundwa Mungu.
Science inasema atom imeundwa na sehem 3(proton, neuron & electron bt maandiko...
Katika taarifa inayoenea mtandaoni wizara ya viwanda na biashara imepga marufuku baadhi ya biashara kufanywa na wageni, Je sisi km vijana wa kitanzania tumejiandaa vp kuziba nafasi hzo au sisi...
Mimi najivunia tu kinaniwezesha kusoma habari hapa jamii F basi hata mtandao wa x habari nyingi na nzuri ni za english pia vitabu vingi vilivoandikwa na viongozi au wasomi wa tanzania vingi ni...