Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) kilichoko Ubungo Dar es Salaam, ambacho kinatarajiwa kutoa zaidi ya ajira 15,000 za moja kwa...
MONDAY MAY 24 2021
Haijawahi kuwa rahisi kwa familia nyingi kumaliza mashauri ya mirathi kwa amani, hata pale inapotokea marehemu alionesha mgawanyo wa mali zake katika wosia aliouacha.
Tafrani...
Ndugu wa-TZ wenzangu, watu wamekuwa wakishangiliwa kutokana na umaarufu wao. Hii siyo tabia iliyoanza awamu ya nne, ni tangu awamu ya pili. Wakati wa mzee rukhsa tuliposhuhudia maeneo ya wazi ktk...
Vicky Kamata ameungukia pua kwenye kesi ya mirathi ya aliyekuwa mume(danga) wake Dr. Servacius Beda Likwelile. Mahakama imesema ndoa hiyo haikuwa halali kwa sababu Dr. Likwelile alikuwa ameoa hapo...
Hadithi ya Barnaba Tillya aliyempoteza mke wake kipenzi,Irene Tillya wakati akijifungua katika Hospital ya Marangu juni 4 mwaka huu inaumiza sana.
Ndiyo ni hadithi inayoumiza unapoanza...
Kipengele cha membership number kinahitaji uingize tarakimu 9 wakati huo kwenye kadi kuna tarakimu 12. Hii inakuaje au kuna mahali mimi nakosea?
Msaada tafadhali
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa amekosoa utaratibu unaotumika wa abiria kuingia na kutoka stesheni kuu ya treni ya mwendokasi...
Kwa miaka mingi sasa, kila msimu wa uchaguzi unapokaribia nchini Tanzania, huambatana na kelele, malalamiko, na misuguano isiyoisha kutoka kwa wanachama wa vyama vya siasa haswa CCM, tena wale...
Data za elimu ziko TAMISEMI kwenye kiungo cha Basic Education Statistics (BEST). Nimejaribu kuingia kuangalia kitu lakini data zote zinaonesha kuna shida.
Hebu jaribuni kuongea na webmaster wa...
Kwa mujibu wa taarifa za shirika la "Centers for Disease Control and Prevention (CDC)",
(Areas with Zika | Zika virus | CDC), Tanzania ni moja ya nchi inayofahamika kuwahi kuwa na maambukizi ya...
Zahanati ya Tambukareli iliyopo Kata ya Azimio Wilaya ya Temeke - DSM, ambayo ni tegemeo kwa Wananchi wa Kata ya Azimio na maeneo jirani imeanza kugubikwa na viashiria vya rushwa, hali inayotia...
Tuko kwenye maombi ya siku 7 kuombea wanaume wa Tanzania kinyume na roho za mauti kama tulivyoagizwa na Mungu. Leo ikiwa ni siku ya 3, haya ni baadhi ya aliyoyafunua Roho Mtakatifu katikati ya maombi.
Ndugu zangu habari.
Kwa wazoefu naombeni mtujuze ni ipi njia bora ya kununua viwanja katika mkoa wa Arusha kati ya zifuatazo.
1: Manispaa / ofisi za ardhi
2: Kwa mtu binafsi
3: madalali au...
tabia ya wanawake kumtegemea mwanaume Kwa 100% imekuwa ni tabia ambaya wameifanya Kama sehemu ya maisha Yao. Unakuta mwanamke anamtegemea mwanaume, boyfriend/mumewe Kwa kila kitu.
Mwanamke wa...
Ninaondoka Bungeni Bila Mume Wangu, Bali na Mikopo Mikubwa na Aibu
Jana katika Sekretarieti ya NRM, nilifanya mahojiano yenye hisia kali na mbunge wa kike aliyekuwa amechukua fomu za uteuzi...
Mimi ni Mkazi wa Masasi, nilihamia huku miezi kadha iliyopita, moja ya changamoto ambayo niliikuta huku na wenyeji wanadai imekuwepo kwa muda sasa, ni suala la umeme kukatika mara kwa mara.
Huku...
Mimi ni mkazi wa Newala vijijini tumekuwa tukipata changamoto kubwa ya mgao wa umeme huku mamlaka husika zikishindwa kutoa sababu za mgao, kuna nyakati umeme unaweza ukakata hata siku 3 huku...
Umeme ni kero kubwa sana wilaya ya Newala kukaa siku mbili, tatu hata wiki ni kitu cha kawaida bila taarifa yeyote.
Tanesco tunaomba sana mliangalie Hili watu wanaumia, biashara hazifanyiki na...
Wakuu jioni hii hapa Newala(Mtwara) limetokea tukio la Jambazi mwenye silaha kuvamia kituo cha mafuta Kiduni na kupora fedha. Wakati anaondoka eneo la tukio kaua Raia mmoja, hata hivyo wananchi...