Kumekuwa na takwimu za vichocholoni hizo takwimu hazina uhalisia wowote tusijipe matumaini kwa mambo ambayo hayapo
♧ Deni la taifa lipo juu na linazidi kukua kila siku kutoka asilimia 28 hadi 40...
Natural satellite kama mwezi, titan, lo, mimas, europa n.k zina-zalisha wave ambazo zikitumika zinaweza kutumika kutumika kwenye mawasiliano na kama Internet
Kabla ya hii humanoid project (hii...
Huwa inatokea kuna mtu / watu mliwahi kuwa marafiki kipindi cha nyuma halafu inatokea mnakuja kukutana mindset zimebadilika u don't pair yaani hai kick tena
Habari za mda huu wadau.
Naomba kama kuna mtu humu aliewahi kununua Gari Prestige Auto Export anisaidie kuhakiki kama hizi taarifa na account ni sahihi.
Nauliza kwa Niagara ya jirani anaogopa...
Martin Pistorius, raia wa Afrika Kusini ambaye alipata ugonjwa usiojulikana akiwa na umri wa miaka 12, na baadaye akaingia kwenye hali ya coma (hali ya kupoteza fahamu) mnamo mwaka 1988. Akawa...
Watu wanaosadikiwa kuwa ni wezi wameiba mali na fedha kwenye maduka matatu tofauti katika eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar es Salaam.
Soma pia: Kimewaka wananchi Tegeta A wamvamia mwenyekiti...
Tunapokutana na matatizo au changamoto mbalimbali tunapata fursa ya kuchagua mambo mawili. Mosi ni kukabiliana na changamoto na kujaribu kuzitatua ili zisiwepo na jambo la pili ni kujaribu kuzoea...
Ni kitu cha kusikitisha sana mabenki hayapochaji hela za service charge wakati akaunti inapokuwa haina hela.
Sasa ni service ipi wanakuwa wametoa hapo?
Hongereni mliolipwa kipunguni
Mda ukifika na nyie mliobakia endeleen kumwamini Mungu
Kifupi tu kumezuka fomu za ajabu ajabu zikisambazwa na
Wajumbe mtoee 1.3mil kila anaelipwa
Naomba...
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza. Nimekuwa nikiitumia Basi hii mara kadhaa kutokana na unafuu wa Gharama za nauli pamoja na urahisi wa kukata ticket kwa njia ya mtandao.
Pamoja na matukio...
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliotajwa katika taarifa hii, waliteuliwa na Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, iliyoketi Jumatatu, tarehe 28 Julai 2025.
Majina yao...
Zahanati ya Tambukareli iliyopo kata ya Azimio wilaya ya Temeke DSM, ambayo ni tegemeo kwa wananchi wa kata ya Azimio na maeneo jirani imeanza kugubikwa na viashiria vya rushwa, hali inayotia doa...
SETNET
Sisi ni vijana wa Kitanzania tulioamua kuanzisha app ya kisasa kwa nia ya kuwa na jukwaa la kijamii, kibiashara, kielimu na kiburudani linalotoka Tanzania, kwa ajili ya Watanzania na dunia...
Aliyekuwa Mhe Diwani kata ya Mpombo -na Mwenyekiti WA Halmashauri ya Busokelo wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya anayejulikana Kwa Jina la Anyosisye Njobelo ameamua kutumia hongo ili Jina lake lirudi...