Hapa duniani hakuna industry ambayo imefikia market capitalization ya usd one quadrillion ni space colonization peke yake ndo ina-hiyo market capitalization na iko untapped kwa zaidi ya asilimia...
Watu wa kimara wanateseka sana na ni mda mrefu sasa sahivi hata mtu akitaka kuhamia kimara na anafanya kazi posta au kariakoo na hana usafiri bnafsi basi anajifikiria mara kumi kumi sababu ya adha...
Nimesoma andiko la mtoa hoja mmoja kwamba kwa nini Wahaya festiva ifanyikie Dar es salaam na si Bukoba ili kuhamasisha ujenzi wa Barabara, Stendi na Soko, vitu vinavyotia aibu kubwa sana kimkoa...
Mhubiri 10:19
"Karamu hufanywa kwa ajili ya kucheka, divai hufurahisha maisha; bali fedha hujibu kila kitu."
Mungu huwapendelea wanaojituma. Miujiza haiji kwa wavivu, huja kwa wale walio tayari...
Wakuu hawa Vodacom kila mara wananipiga shambulio tamanishi kwa kuniomba nikope kiasi cha 830,000/= kupitia huduma yao ya mgodi ila kila nikijaribu wanasema huduma hii itakujia hivi punde.
Je...
Juhudi za kimwili na akili tulizonazo binadamu wote hazitoshi kuwa ushahidi wa imani ya Mungu mwenye nguvu kupita wote.
Kuna Mungu na miungu.
Viumbe kama miungu vina nguvu, na nguvu hiyo tunaita...
Waache kutuma jumbe zao zinazokera kila mara bila ridhaa yetu. Tabia hii inaboa sana. Huduma hizi zipo kwenye mfumo wa ESS sasa kuna haja gani kutuma jumbe zao mara kwa mara au kutembelea kwenye...
Kelvin Kibenje ni Motivational Speaker kwenye ubora wake, ukifuatilia post zake kama akili yako ndogo utahisi jamaa ni genius kweli kumbe brain insight yake kuhusu reality ya biashara iko chini...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Kamishna wa Uchunguzi wa Sayansi ya Jinai kushirikiana na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi kufanya...
Zipo alama ambazo umewekewa na jamii yako na alama hizo kuna wakati zinakupoteza sana. Kwa mfano, umeambiwa na kuwekewa alama kwamba wewe ni mjinga, huwezi kitu, ni maskini na pengine hufai...
Kuna mtu aliniomba 1M May, nikamwambia ntaangalia uwezekano ila akiona kimya ajue imefeli.
Leo August kanitumia ujumbe unasema, "NILIKUOMBA PESA ILA UMEKAA KIMYA INA MAANA HAINA UMUHIMU KWAKO"...
Yaani hotel ambayo mwaka mmoja uliopita ilikua lazima ufanye booking leo hii tupo wateja wa tatu tu.
Yaani hotel kubwa namna hii bei imeshuka to the minimum kabisa.
R.I.P Ndanda kucheleeeee...
Hali sio hali huko mashinani, CCM wanachama wamerudisha kadi za chama kisa kuenguliwa wagombea udiwani.. Tukio hiili limetokea uko Mtwara wilaya ya Newala kijiji cha Mkwedu.
Hapo zamani za kale, katika msitu mdogo uliokuwa umejaa matundu ya panya na majani mabichi, aliishi paka mmoja mjanja na mwenye hila nyingi. Paka huyu alijulikana kama Bwana Koma, na alikuwa...
Watu watatu wanaodaiwa kuwa ni majambazi wameuawa katika majibizano ya risasi na polisi mkoani Kigoma.
Watu hao wanaodaiwa kupanga kufanya unyang’anyi kwa kutumia silaha, wanadiwa kukutwa bunduki...
Wafanyabiashara katika Wilaya ya Busega, mkoani Simiyu, wamelalamikia kile walichokieleza kuwa ni michango ya lazima kwa ajili ya maandalizi ya Mwenge wa Uhuru, wakidai kuwa wanatozwa fedha...