Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau huu ni mkasa wa kweli kabisa miaka kumi na nne imeisha lakini Bado majeraha hayakauka. KISA kinaendelea;Miaka hiyo nilipewa uhamisho kikazi Mkoani rukwa nikiwa...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Namba za miamala ziko kwenye billions 1.Chunya-516.2bln 2.Geita-489.3bln 3.Kahama-295.7bln 4.Mara (Tarime)-293.5bln 5.Shinyanga-253.7bln 6.Mbogwe-246.1bln 7.Songwe-176.9bln...
4 Reactions
76 Replies
4K Views
Sikiliza tu huu utitiri wa redio za wakristo usikie vituko kama si vichekesho. Shetani na mapepo yanaogopwa na kutajwa mara nyingi kuliko Mungu. Wanabwabwaja usiku na mchana mpaka sauti zao...
5 Reactions
18 Replies
885 Views
Je, tuseme dini ni moja ya biashara nzuri. Pichani ni Mpaka mafuta wa Bwana Mwamposa kabla hajajipata.
5 Reactions
31 Replies
1K Views
Mnyama wa urefu wa mita 13 na kimo mita 4 ni mkubwa sana na lazima awe jambo la kushangaza na gumzo kwa binadamu ila hawa wanyama hawatajwi kabisa kwenye vitabu vya dini! Haya hapa ni mabaki ya...
4 Reactions
42 Replies
1K Views
Dunia Ina Mambo mengi sana na ni rahisi sana kupinga au kubisha Kama hayo Mambo ya ajabu hujayashuhudia na pia ni Bora uwe unasimuliwa tu na usije kukutana nayo maana unaweza ukadhurika ama ukawa...
75 Reactions
247 Replies
35K Views
Nchi Fulani watu wanapenda mpira na burudani muda wote kula bata Tu Kwa hiyo hamtaweza kumpindua mama Samia labda polepole ajage kufanya maajabu awe rais na polepole me namjua ninkweli mzalendo...
1 Reactions
2 Replies
170 Views
Kiukweli suala la kukosa mitaala ya elimu iliyothabiti ni janga la Taifa,,, leo hii serikali na watendaji wake wakuu wanakurupuka kuanzisha mifumo isiyokua na Tija katika mustakabali wa taifa; 1...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Mimi napika nikiwa na boksa , alafu nikimaliza kunywa maji narudisha kikombe kwenye vyombo visafi 😜😁 wewe je ??!!!
12 Reactions
45 Replies
1K Views
Wataalam Tender za nest au zinginezo zinazohitaji application. Bundle juu yangu Other cost juu yangu Ww n kazi tu Fursa hii
4 Reactions
8 Replies
383 Views
Kila mwanaume ana majukumu yake kwa mwanamke , kwa hiyo haupo peke yako kuna wa ........ Chakula Club Make up iPhone Mavazi Birthday Nywele Rent Small Cash Mwalimu Scratch card
5 Reactions
9 Replies
551 Views
Nimesikitishwa na hii habari ya gazeti la the citizen kuhusu maghorofa ya Magomeni Kota. Lawama wametupiwa zaidi wapangaji kwa kushindwa kutunza mazingira ya hilo eneo zikiwemo majengo. Pia...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Ni Septemba mosi ya mwaka 2000 mara baada ya mchakato mkubwa wa kurudi tena jikoni na kuipika na kufanyia kazi mapendekezo, na madhaifu ya Nokia 3210, siku hiyo ya Ijumaa ikawa ni siku bora kuwahi...
0 Reactions
2 Replies
562 Views
Jana usiku kulikuwa na ufunguzi wa michezo ya CHAN baina ya Taifa stars na Burkina Fasso. Hongereni sana Taifa Stars kwa kufanikwa kuwafunga timu ya Burkina Fasso magoli mawili kwa sifuri. Jana...
1 Reactions
3 Replies
287 Views
MOJA YA SABABU HAUFANIKIWI KATIKA MAISHA YAKO NIi UDUMAVU WA KIROHO. GROWTH AND DEVELOPMENT. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mwaka wa kumi sasa huna mbele wala nyuma. Umedumaa. Chumba kimoja...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
SHIKILIA HILI KWANZA: Waislamu wote katika madhehebu yao yote wanaamini kuwa Yesu hakusulubiwa msalabani, hakuteswa na ya kuwa hakuuawa. Kitabu cha waislamu (qurani) kinasema hivi. Quran 4:157...
0 Reactions
12 Replies
610 Views
Wachina wanadini ZAO, wahindi ndio balaa. CA ajabu watu wa haya maeneo hawana kiu kubwa ya kutaka watu wajiunge na dini yao kama Waarabu. Sababu ni nini?
4 Reactions
35 Replies
1K Views
Nina pacha mwenzangu tumezaliwa WAWILI Mimi KULWA pande la MWANAUME kijeba khaswa, ye DOTO ni mwanamke. Juzi nimewasiliana NAE VIZURI TU tukamaliza. Leo najulishwa kaja sehemu nilipo na anani...
9 Reactions
105 Replies
2K Views
Sanamu zilizopo makanisani kwetu ni picha tu, ni kama zile zilizopo maofisini za Nyerere, Samia, n.k. kwani mnaziabudu? Hapana ni vielelezo tu na sisi hatuwezi kuwa wajinga kiasi hicho cha kuabudu...
0 Reactions
0 Replies
339 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…