Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nafikiria kufanya hivo kwa kodi ninayodaiwa ni 250000 nafikiria kuacha kitanda na godoro maana maisha yamekuwa magumu sana Japo ninapoenda nimeshalipa kodi tayari
0 Reactions
5 Replies
398 Views
Kusave hela ni changamoto sana. Ili ufanikiwe inabidi ufanye kila siku ili iwe tabia hata kama ni kidogo usidharau just save.Mwezi wa nane unakaribia wale wakusave hela huu uzi ni kwa ajili ya...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Tajiri Victor, alipatikana akiwa amekufa katika chumba chake cha kusomea, risasi moja ikapita moyoni mwake. Kwanza, kulikuwa na elena, mke wa Victor wa miaka ishirini. Umaridadi wake ulifunika...
0 Reactions
4 Replies
540 Views
Aisee haya maisha yananoga Sana kuna sehemu nikaenda kunywa nikakuta jamaa Fulani ye haongei kazi yake akikuona anakuja kukupa 10000 au 2000...je hio NI roho njema au stress jamaa kachanganyikiwa.
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Je hana hata wajukuu? Hana hata wajomba? Nauliza tu LONDON BOY
3 Reactions
40 Replies
1K Views
Mkandarasi wa Kampuni moja ya ujenzi mjini moshi(jina kapuni kwa sasa)anadaiwa kuingia mitini na shilingi Milioni 51 alizopewa na Askafu Mstaafu wa Kanisa la Tanzania Asseblies of...
2 Reactions
13 Replies
858 Views
Ikiwa Mungu kweli ni wa wote mwenye nguvu zote, mwenye huruma na anayejali viumbe wake, basi ni vigumu kuelewa kwa nini mateso makubwa huwapata watu wasio na hatia. Watoto wanaokufa kwa njaa...
3 Reactions
23 Replies
654 Views
Hapa Quran 67.5 nimesoma eti shetani hushambuliwa kwa kurushiwa mizinga ya nyota, hii ina maana gani, au zile huwa tunaona kama shooting stars ndio hiyo mizinga dhidi ya shetani. Kwa walio...
5 Reactions
118 Replies
3K Views
Huyu ni Cristian Ronaldo anakipaji ana ujuzi na uzoefu wa kupiga penalty. Ila linapokuja suala la kupiga penalty ya mwisho itakayo amua ushindi wa timu yake ya Taifa huonekana kujawa na hofu plus...
1 Reactions
0 Replies
199 Views
Katika gazeti la The Independent, ambalo limebainisha katika tahariri yake kwamba Rais wa Marekani, Donald Trump ameanza kutambua waziwazi kwamba Rais wa Urusi Vladimir Putin "si mfanyabiashara...
0 Reactions
0 Replies
427 Views
Neno la Mungu linasema Kutoka 20:4-6 “Usijifanyie sanamu ya miungu wa uongo, au kinyago cha chochote kilicho mbinguni, katika nchi au majini chini ya dunia. Usiisujudie wala kuitumikia; kwa kuwa...
0 Reactions
7 Replies
397 Views
Ni ukweli usiopingika NASA wamefanya mambo mengi sana mazuri ila hili la kutaka kutengeneza mazingira ya MARS hapa duniani na kuwaweka astronauts ili wazoee mazingira yake kwa lengo la...
15 Reactions
115 Replies
4K Views
Mimi binafsi Naamini huko serikalini JANUARY NA BIABATO kuna kitu cha ajabu sana walifanya wakiwa mawaziri wa Mambo ya njee Na aliyemponza Biabato ni JANUARY hakuna mwingine Na walijua fika...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Katika hali inayoonyesha kwamba Uganda si tu kwamba ni Taifa lenye Wasomi walioiva kabisa bali kama hujasoma ama katika Shule zao za Msingi au Upili au Vyuo Vikuu vyao basi jua hujaiva Kichwani...
3 Reactions
81 Replies
11K Views
USIWE OVER-ACTIVE KIHOLELA SANA KWA KWATU, USIWE TOO OPEN KIHOHEHAHE SANA KWA WATU MAANA WATA FYONZA NISHATI YAKO HUKU WAKIONGEZA YAO. MAHUSIANO YASIO NA AFYA. URAFIKI USIO NA MIPAKA CONNECTIONS...
2 Reactions
0 Replies
209 Views
Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam ningependa kuendelea na mada yangu hapo chini. Nianze kwa kusema kuwa dunia ina mengi, na kamwe hauwezi kuyajua kama haujaambiwa au kuyaona. Ndio...
133 Reactions
483 Replies
25K Views
Ukisoma stori za wakati wa ujamaa kwenye nchi nyingine kama China unakutana na habari za kutisha sana. Shida kubwa ilikuwa njaa isiyoisha, kukamatwa na kuuawa na mateso mengi mengi. Humu...
1 Reactions
17 Replies
604 Views
Kijana aitwaye Muhunzi Azizi, mwenye umri wa miaka 20, amefariki dunia baada ya kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali katika Mtaa wa Kirika B, Kata ya Osunyai, jijini Arusha. Kwa mujibu wa...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Huu ndiyo ukweli,eti wasomi wooooote hao ndani ya Afrika sijui madokta,maprofesa, nk bado kuna wajinga na masikini wa kumwaga ndani ya Afrika sasa hao wasomi wamesoma nini kama siyo UJINGA waliosoma?
4 Reactions
22 Replies
657 Views
Narudia tena: kama wewe ni ajenti wa shetani usisome mada hii, utalia. Umenielewa? Nasema hivi: kama wewe ni mtumishi wa ibilisi, ukisoma mada hii, utatoa machozi kwa sababu mada hii inafunua...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Back
Top Bottom