Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

1. Imesambazwa kwa wingi kushinda vitabu vyote duniani. Zaidi ya nakala bilioni 5 za Biblia zimechapishwa na kusambazwa ulimwenguni kote. Rekodi hii haijafikiwa na kitabu chochote kingine. 2...
1 Reactions
8 Replies
587 Views
Kwa Morombo jina kubwa ila ni sehemu mbaya sana kuna mda najiuliza inamaana sisi tuna allergy na mambo mazuri Mambo niliyokutana nayo kwa morombo Vumbi Kuchafu mazingira kwa ujumla Mazingira ya...
6 Reactions
49 Replies
2K Views
1. Hivi karibuni imeripotiwa Walimu wa kiume wa Madrassa kulawiti watoto huko Mafia, Zanzibar na Sumbawanga. Soma: Mkuu wa Wilaya ya Mafia: Watoto 15 wamelawitiwa na Ustadhi wa Madrasa Kisiwani...
14 Reactions
113 Replies
28K Views
Wakuu....tuachane kidogo na mambo ya Simba Leo ni serious issue Kuna hili suala linakuwa Kwa Kasi sana kwenye jamii ya kitanzania la mtu anakuja akiwa na shida nzito ya pesa huku akikulilia na...
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Ushawahi kuipiga kitakatifu adi ukimuangalia unabaki unacheka tu sio kwa makelele yale๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
3 Reactions
66 Replies
3K Views
Mimi ni kijana ambae bado kiumri ni mdogo pia muumini mkubwa sana wa HUSTLER, Huwa naamini katika kukua kidogo kidogo, Si muumini wa kulala Maskini na kuamka Tajiri. Naamini katika "Kidogo kidogo...
10 Reactions
23 Replies
3K Views
Ndugu karibuni katika mada hii japo nitasema kwa uchache. Pamoja na kwamba mimi ni fundi umeme na ujenzi lakini hapa kwa leo nitazungumzia zaidi umeme ambao upo ndani ya miili yetu zaidi. Nikiwa...
23 Reactions
93 Replies
4K Views
Wakuu, kwa wasioijua Dar wakafikiria Dar labda kila sehemu kuna umeme kila sehemu kuna Maji, aisee kuna maeneo mjini Dar-es-Salaam hakuna maji mpaka leo watu wanafukua maji Chini wanachota maji ya...
1 Reactions
5 Replies
314 Views
Habarini humu ndani dharau, kejeli na matusi yamekua nimengi sana mtaani. nimeamua kuzima zote kuwasha moja tu. Kelele zimekua ninyingi sana mtaani kuhusu kupata utajiri kwanjia ya kiganga...
2 Reactions
10 Replies
427 Views
Habari Nina kabiashara kangu ..ningependa nipate software ambayo itanisaidia biashara yangu kusambaza, kurecord kutrack ambao nowadai(madeni) kupiga haasara na Friday. Bajeti yangu ni 50k
8 Reactions
40 Replies
1K Views
Mazinge alikuwa anamponda Dr. Sule kwamba ni mchawi,sababu Sule ameamua kuwa wazi anasema anafuga majini na uislamu unaruhusi na yanamsaidia ,Mazinge alimuandama sana MWAMPOSA kwakutapeli watu...
0 Reactions
0 Replies
316 Views
Rais Samia amemteua Dkt. Jabir Bakari Kuwe kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) akichukua nafasi ya Eng. James Kilaba. Jabir Bakari Kuwe CV: Jabiri Kuwe Bakari (Ph.D)...
11 Reactions
69 Replies
20K Views
Unaumwa uchungu unaambiwa utazaa kesho, lakini siku inafika na uchungu unakatika. Unaambiwa ufanye mazoezi, bado kimya. Kesho kutwa unarudishwa nyumbani, ukifika uchungu unaanza tena. Unarudi...
1 Reactions
8 Replies
404 Views
Mambo si shwari kwa Anthony Mavunde kwani wajumbe wamezidi kumkataa.
1 Reactions
3 Replies
560 Views
Wakuu naombeni sana sana sana anayejua masilahi ya diwani kwa mwezi namaanisha posho na mshahara ni kiasi gani atupie hapa jamvini. Kuna watu wanafanya kazi za kuimarisha vyama vya upinzani huko...
1 Reactions
8 Replies
12K Views
Malaika Wanaowasaili Maiti Kaburini Malaika hawa ni wawili na wanajulikana kama Munkar na Nakiyr. Ni weusi wenye macho kibuluu, na humjia maiti ili kumuuliza baadhi ya maswali baada ya...
9 Reactions
50 Replies
2K Views
Wakuu! Leo ni Siku ya Kimataifa ya Bia, kinywaji cha zamani zaidi duniani. Siku hii ya Kimataifa ilianzishwa mwaka 2007 na Jesse Avshalomov huko Santa Cruz, California. Siku hii husherehekea...
13 Reactions
77 Replies
3K Views
Wakuu hili suala sio fix ni ukweli kabisa ....ukienda pale tukuyu utamkuta mmama anabeba mkungu wa ndizi kwa mkono mmoja Just imagine unaweza Kuta mkungu una kilo 60 ambao vijana wa kinondoni/...
13 Reactions
44 Replies
1K Views
๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟMZEE BABA๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ Nimekuja kwenu Watanzania kuongea yaliyo moyoni kwangu........ Baada ya uchunguzi wa kutosha na ushahidi upo..... ......MABAHARIA WANASEMA USITOE SIRI YA JANDONI SASA MIMI...
0 Reactions
11 Replies
773 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ