tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,039
Duh!! Nan kama mama ni nature tu ambayo hukumba wengiHivi navyo havichelewi kuja kusema nani kama mama , mda mwingine tusijitolee kuhatarisha maisha gademiiit 🤔
KweliDuh!! Nan kama mama ni nature tu ambayo hukumba wengi
Sema Kuna wagerasi wengine viazi sana wao huwachukia kabisa baba zao kwa sababu za kupandikizwa na mama zwaoKweli